Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.
Katika mahusiano mengi ya watu wanaoishi kinyumba, mara nyingi mwanaume anaendelea kubaki na mwanamke hata kama moyoni alishamaliza safari—si kwa sababu ya mapenzi, bali kwa huruma. Unakuta kabisa mwanamke hana ile spirit ya kupambana na maisha; kwa wenzetu wengine kulelewa na kutegemea ni kama...
Rais Mwinyi Enzi hizo ni Waziri wa Ulinzi,analijua
Mkuu wa Majeshi akiwa Mwamnyange ,analijua.
Waziri Mkuu Kasimu analijua.
Mwaka 2014 Vijana zaidi ya 50 wa JWTZ waliokua wanafanya Mafunzo ya Ukamandoo pale Morogoro, Kwa kunyimwa posho zao waliamua Kutoroka Kambini na kwenda makao makuu ya...
Wengi wamedhalilishwa na njaa kiasi cha binadamu kugeuka chawa.
Wengi wameponzwa na uzwazwa kiasi cha binadamu kumuabudia binadamu.
Je kati ya viwili hivi kipi ni bora kuliko mwenzie?
Kuna njia 5 tu zinazojulikana ambazo watu wengi duniani (na hapa Tanzania) wamezitumia kufikia utajiri. Hebu tuziangalie moja baada ya nyingine kwa macho ya ukweli:
1. Kurithi Mali
Kama ulizaliwa kwenye familia yenye pesa aubkwenu kuna ukwasi wa kutosha basi maisha yako yanaanzia juu. Urithi...
Kama huna upande wowote, ingilia kati. naamini unaweza kuepusha kupasuka chadema.
Naamini busara zako ni kubwa kulinganisha na wengine.
Ulikuwa na nafasi ya kuiba kura ukashinda. Hukufanya hivyo. Hilo linanipa uhakika kuwa unaweza kuwa msuluhishi mzuri....neutral one!
Mwanaume anaweza ku-do mara 100 na mwanamke ila katika 100 hizo ni mara 20 ndio unakuta mwanamke alikuwa na appetite na utayari wa kweli.
Yani ni kama Mwanaume ni sex machine inayotembea muda wote yupo tayari ila mwanamke hisia zake hadi azicollect at a specific time ndio maana muda mwingine...
Heshima kwenu,
Naomba ushauri juu ya uchaguzi wa ununuzi wa Toyota Rush au IST, kiupekee napenda muundo wa Rush imekaa kama gari Fulani yenye hadhi ila sio mjuzi wa magari hata punje, nimeileta kwenu nisaidieni kufanya maamuzi kwa kuzingatia sifa za gari hizo.
Mtu yeyote akikuuliza tofauti ya Mbowe na Lissu mjibu hivi ili uchukue maksi zote 100.
1. Mbowe is a stateman, Lissu hata robo hajafika huko
2. Mbowe ni kiongozi mwenye strategies nyingi sana, Lissu ana no reforms no election
3 Mbowe ni mvumilivu wa kisiasa, Lissu hajui neno kuvumilia
4...
Nimeona hili suala mtaani twitter na nimseoma comments zinasema ni MBET, nimesikitika sana, yani wafanyakazi wanaibia kampuni mpaka mtu anafunga kampuni na kuondoka? Nikikumbuka hivi ndivyo imalaseko, nakumatt na game na shoprite ilivyofunga, ukiwauliza wengi wanasema hawaoni faida ila bidhaa...
B-1 Ndege-Vita ya Kimkakati kutoka Marekani nayo inaelekea huko Mashariki ya kati ili kuungana na Baba wa madege yote B-52 watakuwa huko Mashariki ya kati kusubiri kupangiwa kazi ya kufanya Katika eneo hilo!!! Safari hii kuna jibu lazima lipigwe!!!!
SOMA: Markets mixed as investors brace for Trump tariffs
Vita ya kibiashara kati ya Marekani na Uchina imekuwa gumzo kubwa kwenye anga za uchumi wa kimataifa tangu mwaka 2018.
Rais wa wakati huo wa Marekani, Donald Trump, alianza kuweka ushuru mkubwa kwa bidhaa zinazotoka Uchina, hatua...
Haya maeneo yanasemwa sana kwa sayansi ya gizani aka ulozi aka ndumba aka mambo ya busara.
Hivi hapa kwa kuwa-rank unafikiri nani watakuwa vinara zaidi ya wenzao?
Je kuna waliosahaulika hapo?
Katika mji wa Moshi, kumekuwa na hali inayotia wasiwasi kutokana na kuingia kwa malori mazito yenye uzito wa zaidi ya tani 10 hadi 40 katikati ya manispaa.
Hali hii imesababisha uharibifu mkubwa wa barabara na miundo mbinu ya maji taka, ambapo mji umejaa mashimo na hali mbaya ya miundombinu...
BOT wamejibu tuhuma kwamba shilingi ya Tanzania imekuwa ikiporomoka kwa kasi ambayo inaifanya mbaya kuliko nchi zote duniani. Sasa BOT wamekuja na majbu kama vile yameandaliwa kutoka makao makuu ya chama tawala na sio wachumi wanaojisifia kuwa na degree za first class za Economics.
Jibu la BOT...
Naenda maonyesho ya sabasaba kila mwaka, huwa napitia mabanda ya VETA, SIDO na Kitivo cha UHANDISI UDSM kote nakutana TU na mashine za kufyatua matofali zenye ingini kutoka China, ninashindwa kutofautisha viwango vya ujuzi kati ya taasisi hizi tatu. Je, ni mhitimu yupi Bora kati ya wanafunzi wa...
Serikali ingeliboresha sera ya elimu kufuta A-level na kuacha vyuo vya kati . Sioni kama kuna umhimu wa kwenda kidato cha tano na sita ikiwa kuna vyuo vya kati
Ambapo moja kwa moja student anaenda kupata ujuzi kuliko kwenda advance kusoma notice na practical za mchongo za kupasua vyura siku 10...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.