Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.
Per Capital Income (PCI) ni kipimo cha wastani wa mapato ya kila mtu katika nchi fulani kilichohesabiwa kwa kugawanya Gross Domestic Product (GDP) ya nchi kwa idadi ya watu wake.
Tukianza na nchi ya Marekani
Per Capital Income ya USA kwa mwaka 2023/2024
GDP ya USA: = 25.5 Dola trilioni
Idadi...
Kesi imepelekwa Mahamakani siku ya hukumu Hakimu kapendeza adhabu tatu ,ila kakupa nafasi wewe mlalamikaji kumchagulia Mshtakiwa mojawapo ya adhabu alizotoa,Kila mmoja na adhabu yake.
Adhabu alizotoa ni kama ifuatavyo
1:Faini Milioni mbili
2:Jela miaka miwili
3:Msamaha
Washtakiwa wanakabiliwa...
Ongezeko la unywaji limekuwa kubwa.
Zamani ulikuwa ukikutana nae anayumba bara barani ni mzee mlevi ila siku hizi ni vijana wabichi.
Wadada nao wamekuwa walevi kupindukia tena wake za watu wanakunywa kuliko faza haus.
Sio kwamba pesa imeongezeka mifukoni vya vijana.
Ila ni kwamba vilevi...
Watu wengi hufikiri vita ya teknolojia ni kati ya USA na China… Lakini ukichunguza kwa undani, kuna vita isiyo rasmi kati ya China ndani ya china na diaspora yake Wachina walioko Marekani wanaoongoza makampuni makubwa ya AI ya Marekani.
1. Vita ya Teknolojia: USA vs China (Kiwango cha Serikali)...
Wanafunzi wa Sauti Mwanza wakisifia chuo chao, unaweza kuhisi unakosa kitu cha kipekee, kuna kipindi walikuwa wanajitutumua hadi kujilinganisha na UDSM, UDOM, MZUMBE, n.k. nilikuwa nadhani ni bonge la chuo ila nimekuja kukifuatilia nimekiona ni chuo cha kawaida sana.
Kitivo cha biashara hakina...
Kumekuwa na mlundikano wa vinywaji chonganishi au vinywaji vikali vya bei pwaaaa. Kwa wao wanaita visungura na vibom. NAITA VINYWAJI CHONGANISHI KWA KUWA MARA NYINGI VIMEKUWA VIKICHONGANISHA WANYWAJI NA WASIO NA PIA WANYWAJI NA SERIKALI. HAVILETI AMANI KWA WATUMIAJI.
Lakini pia kumekuwa na...
Wadau hamjamboni nyote? Ni suala muda
Trump baadaye alithibitisha kwamba baadhi ya wafanyakazi wa Marekani wanahamishwa kutoka Mashariki ya Kati "kwa sababu inaweza kuwa mahali hatari." "Tutaona kitakachotokea... Tumetoa notisi... Iran haiwezi kuwa na silaha ya nyuklia," aliwaambia waandishi...
Uzalendo na masilahi binafsi ni dhana mbili tofauti zinazohusiana na jinsi mtu anavyofikiri na kutenda katika jamii yake. Hapa kuna tofauti kuu kati ya hizo mbili:
Uzalendo
Maana
Uzalendo ni upendo na kujitolea kwa nchi yako. Inahusisha kuimarisha na kulinda maslahi ya taifa.
Mwelekeo...
Hawa ni wale ambao wamepewa madaraka makubwa katika maeneo mbalimbali na wanayatumia vibaya kwa masilahi yao badala ya kuangalia masilahi ya umma.
Hivyo, naomba nitoe wito watu wa aina hii Mungu akiwachukua, tumshukuru Mungu badala ya kusikitika kwa kuokoa jamii dhidi ya mtu au watu waovu...
Ile ya Simba SC kusema / kutangaza kuwa Mechi na Yanga SC ya tarehe 15 Juni Ipo ni Geresha / Zuga tu.
Hata hizi Press Conference mbili za juzi za Yanga SC na zenyewe ni Zuga / Geresha tu.
Kwakuwa Yanga SC wamegomea Kucheza na Simba SC tarehe 15 Juni, 2025 kama ilivyopangwa na Bodi ya Ligi na...
Sijaelewa kama Kuna Sheria inayoongoza matumizi ya Ardhi na ujenzi inavyotafsiri uhusiano uliopo kati ya Ardhi na aina ya jengo linalotakiwa kujengwa
Hizi "High, medium &Low density" zinajengwaje? Maana utakuta wanunuzi wa viwanja wanabadili aina ya jengo bila ya kuzingatia ukubwa wa kiwanja.
Hili ni swali nililoulizwa na dada anaitwa "Lahey" juzi majira ya Saa 10:45 hivi jioni.
Actually hii ni mara ya 17 naulizwa hili swali ndani ya miezi miwili.
Na jibu langu hua ni moja tuu kila ninapoulizwa hili swali.
"Sajili Kampuni"
Hua Nina sababu kadha wa kadha ambazo hua Zinafanya nitoe...
Habari zenu?
Swali hili nalielekeza kwa Wana-taaluma wa afya Madaktari, Manesi.... Je, uhai na PF3 kipi kina umuhimu zaidi, kuna case mbalimbali ambazo waliokumbwa na kadhia za ajali kuchelewesha huduma, na wengine kupoteza maisha kabisa kwa kigezo cha kuhitajika PF3 kwanza.
Kingine nawachana...
Nyumba ya kupanga tupo hapa Buguruni Mnyamani ni shida sana. Ni manyanyaso kwa sisi ambao ni mambo safi. Maana naona vijana hapa tunashindana sana kuweka madish ya visimbusi mbalimbali. Na kutumia masabuwufa ya sauti kubwa. Tuliwasha jioni hatusikilizani na hatuna shobo na mtu. Mi nimenunua...
Ukizingatia wenye mamlaka Wana assets zao , ukizingatia historia ya nchi ilivyo na inavyohusisha timu hizo mbili...
Na ukizingatia yoyote Yale
NI BORA IFUTWE TUUUU ILI KU BALANCE MZANI WA TIMU HIZI......LIGI IISHE TIMU MBILI ZINA PUNGUFU YA MECHI 1 WENGINGE 14 WAKO SAWA....
ASANTENI..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.