Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.
Mazungumzo ya ngazi ya juu ya uchumi na biashara kati ya China na Marekani yamefanyika hivi karibuni huko Geneva, na kupata matokeo muhimu. Hali ambayo inaonyesha kuwa baada ya mvutano mkali wa zaidi ya mwezi mmoja, nchi hizo mbili zimechakua njia ya mazungumzo kutatua maoni yao tofauti. Matokeo...
Hivyo ndivyo tutakuwa na amani.
Tunasikitika kuhusu mateso wanayopata raia wengi wanapogombana na Serikali.
Machawa wanataka tuisifu Serikali kama wao ambao wamepewa zawadi nyingi.
Lakini hiyo isiwe kisingizio cha kuleta kebehi.
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa ufafanuzi wa aina gani ya mizigo abiria anayoruhusiwa kusafiri nayo katika mabehewa ya abiria ya SGR.
Akitolea ufafanuzi huo Aprili 12, 2025 katika stesheni ya Magufuli Jijini Dar es Salaam, meneja wa Treni za abiria wa TRC Bw. Ringo Mboma...
“All imperialists are nothing but paper tigers.”
- Mao Zedong
Dunia itakumbuka jinsi siku ya Ijumaa 4, April, 2025 Trump alivyopandwa na wazimu.
Na kuongeza ushuru kwa kila taifa duniani hadi visiwa vya Herd na McDonalds vya bara la Antarctica wanapoishi Penguins tu.
Siku hiyo kwa tambo na...
Mimi ni Mzazi wa Mwanafunzi anayesoma mojawapo ya chuo cha Kati Ngazi ya Diploma ya Udaktari, moja ya changamoto kubwa katika vyuo hivi ni matumizi mabaya ya malipo yanayofanyika kwa ajili ya kurudia mitihani ambayo Mwanafunzi amefeli.
Ukifuatilia katika mamlaka ya NACTE wao maelekezo yao...
Kati ya maajabu niliyokutana nayo Duniani yapo sita ambayo mpaka Leo yanaishi kwenye fikra zangu.
1.ilikuwa kati ya miaka 96 ad 98 wakati mdogo niliona nyoka ana vichwa viwili niliogopa sana..hii ilikuwa Moro vijijini.
2.miaka hiyo hiyo nikiwa kwa bibi maeneo ya kibungo juu kuna siku mvua...
Wadau hamjamboni nyote?
Huu ni ushauri wa bure kabisa kwa ndugu zetu Wapalestina na waarabu kwa ujumla wao
Njia pekee ya kumaliza vita Mashariki ya kati na kuishi kwa amani ni kutambua na kukubali kuwa Mayahudi ni taifa teule lenye baraka zote za Mungu
Watambue kuwa kushindana na wsteule hao...
Kumuamini Mungu ndio risk (kujihatarisha) kikubwa kuliko vyote KWA mwanadamu wa kawaida.
Unamuamini Mungu kupitia maneno ya BIBLIA (wakristo). Na hautakiwi KUWA na ushahidi mwingine wowote wa hicho unachokiamini isipokuwa maneno hayo peke yake.
Mfano.
Ukisema huogopi, ushahidi wako uwe ni...
Utafiti wa Finscope 2023 unaonyesha kati ya Watanzania 10 tegemezi na wasio na njia ya kupata kipato, saba ni wanawake. Wadau na wachumi wamesema bado kuna ombwe katika kupima mchango wa wanawake katika uchumi.
Wakati jitihada mbalimbali zikifanywa na Serikali na sekta binafsi katika kuwainua...
Hivi kuna mbunge huko amewahusisha JWTZ kwenye azimio lililotolewa na watu wa ulaya kuhamasisha mabadiliko ya haki nchini hebu naomba JamiiCheck mnisadie kupata majibu.
Yani mtu amekushauri wewe jambo zuri na jema halafu wewe unaanza sijui JWTZ hivi unakuwa na akili timamu kweli ?
Nimesikia...
TUNDUMA
Kamati ya Pamoja ya Wataalamu wa Tanzania na Zambia (JTC) inayokutana katika mji wa Tunduma mkoa wa Songwe kujadili Mpango Kazi wa Uimarishaji Mpaka wa Kimataifa imetembelea na kukagua alama za mpaka wa nchi hizo mbili kwa lengo la kuona uharibifu uliofanyika.
Mpaka wa Tanzania na...
Wakuu wangu wa kazi, nahitaji kuwa konki kwenye kiswahili na hapa nimejipanga kwanza niweze kumiliki kamusi ili kila siku nipate maneno kadha wa kadha.
Nahitaji pendekezo lenu kwa upande wa kamusi, nichukue ipi kati ya TUKI na BAKITA na kwa mwenye uzoefu, uniambie ni yupi mwenye chapisho jipya...
Huku mabaki zaidi ya ndege kadhaa za kivita za India yakiendelea kuokotwa ndani ya mipaka ya India kabla kuvuka mpaka wake na Pakistan,nchi ya Uiengereza imesema inataka nchi hizo ziache kupigana
Uiengereza ina wajibu wa kufanya hivyo ikijua kwa sasa haina uwezo kuisaidia India wakati yenyewe...
"Mwijaku asiwaongopee watu kuwa amejenga atuonesha hati kama kuna jina lake mke wake ana msitiri tu kuishi kwake alichokisema @officialbabalevo kina ukweli ndiyo maana alikaa kimya" Alisema Haji Manara.
Chanzo Taarifa: manaratv
Ila Haji Manara muhuni sana Wewe jamaa yaani hata hujaogopa kusema...
Mwaka huu Jeshi la Ethiopia limeanzisha kiwanda cha kutengeneza ndege vita zisizotumia rubani kwa shughuli za ulinzi wa ndani na biashara.
Picha hizi hapa👇
Haya yakifanyika nchini Ethiopia huku Tanzania hapo jana Mkuu wa Majeshi kazindua mradi wa kuponda kokoto wa Jeshi. Picha hizi hapa👇...
Mimi nijuavyo vyombo vya dola kama polisi, jeshi, na idara za usalama vinapaswa kuwa huru na kutenda kazi kwa misingi ya sheria bila upendeleo. Kujihusisha na siasa kunaweza kusababisha ubaguzi na matumizi mabaya ya madaraka dhidi ya wapinzani wa kisiasa au raia wa kawaida.
Taasisi za serikali...
Yesu alikufa bikra wa kiume hakutaka kujushughulisha na hisia,aliishi kukemea na kuabudu.
tunapata picha kuwa sex ni inshu ya energy consuption ibilisi anaweza akakukosa wewe na akaingia kwa mwanamke na akaweza kutrap your mind.
Inawezekana mungu alimkataza Adamu asilisogelee tunda lakini...
SIWATISHI
HALI YA SASA ILIYOPO
VIJA A WAMEJIPANGA...NA MOJA YA SILAHA WANAYOENDA KUWANYOOSHA SIMBA N PENALTY AMA VIA REDKADI
WACHEZE KWA HESHIMA SANA NA NIDHAMU
WASIJISAHAU WAKAJUA WAKO UWANJA WA MKAPA
HALI YA SOUTH SIO RAFIKI KWAO KUANZIA CHAMA NK WAMEJIPANGA HII TIMU KUPITA KWENDQ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.