Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,992
- 5,665
Mambo yanayondelea CHADEMA inawezekana yakaonekana mageni machoni mwa watu wengi
CHADEMA ina vita mbili, vita ya kwanza kati ya CDM ya sasa na iliyopita
CDM ya sasa imeshindwa kuvaana na iliyopita nadhani sababu kubwa ni maslahi ya Chama na Nchi
Vita hii ingeweza kuisha kwa njia tatu, ya kwanza
-Kuivana kati ya CDM ya sasa na ya zamani
-Njia ya pili ni CDM iliyopita kuiachia nafasi CDM ya sasa na kutokujihusisha tena na maswala ya uongozi wa Chama
-Njia ya tatu CDM ya sasa kuanzisha Chama chake kipya ili kujiondoa kwenye mgogoro wa kung'ang'ania Chama
Madhara ya kutokuchagua njia mojawapo kati ya hizi ni ni moto kuwaka yaani kuendelea kwa vita isiyoisha kwasababu ni vita ya maslahi ya Chama na Nchi
Vita ya pili ni kati ya CDM na CCM
Hapa ndipo moto utakapowaka kwasababu vita hii ni ya maslahi mapana ya nchi
Vita ya maslahi ya nchi ni kubwa sana duniani tangu inaumbwa
Hii ni vita kubwa kiasi kwamba ungemweleza Muumba unahitaji kufanya vita hii basi ungemkumbusha vita ya Refidimu kiongozi akiwa Musa
Vita hii ni nzito sana, matukio yake yanakuwa makubwa sana habari za idadi kubwa ya watu kupoteza maisha na kuishia Gerezani wala zisikushangaze kwasababu haya ndiyo matokeo mabaya ya vita hii
Vita hii huwa haifanyiki kwa amani kama watu wanavyodhani na kulalamikia vyombo vya Sheria kulinda amani ni lazima yatokee matukio makubwa kwasababu ni vita nzito sana swala la amani huwa linawekwa pembeni mpaka pale itakapoisha
Namna ya vita hii kuisha ni upande mmoja kushinda au upande mmoja kuamua kuachana na vita hii
Kwahiyo kama vyama hivi vimeshaamua kuingia hasara yaani liwalo na liwe basi ngumi zitakunjwa sana na kukabana koo kusikoisha pamoja na matukio makubwa ya kutisha lakini kama Chama kimoja kimeamua kutokuingia hasara basi kitaachana na vita hii