The Katavi mouthbrooder (Haplochromis katavi) is a species of cichlid fish endemic to Tanzania where it is found in the Lake Rukwa drainage. This species can reach a length of 9.9 centimetres (3.9 in) TL.
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuripoti juu ya kutelekezwa kwa Mradi wa upandaji miti eneo la Bwawa la Milala, Manispaa ya Mpanda unapojengwa mradi mkubwa wa maji wa Miji 28, Serikali imechukua hatua ya kupanda miti mtingine.
Awali, Mwanachama huyo alisema kulikuwa na Kampeni ya...
Wanajukwaa!
Habari iwafike kutoka CHADEMA. Baadhi ya makada wa chama hicho wamendelea kuonyesha upande katika kuelekea uchaguzi wa CHADEMA taifa ambao utafanyika mwaka 2025.
Inavyoenyesha Mbowe ni kama time yake ya kuachia ngazi wengi wanatamani kumuona Lissu kwenye nafasi ya Uenyekiti wa...
Kasongo mbona wewoo, mobali Nangaa, habari za tetesi huko Katavi inasemekana hivyo Mkuu wa kituo cha POLICE kapigwa kama zote na wananchi wenye hasira Kali na machungu kama yote.
Baada ya uthibisho neno tetesi litaondoka.
Habari ndio hivyo
Pang Fung Mi
Polisi mkoani Katavi inawashikilia askari wawili wa Shirika la Hifadhi Tanzania (TANAPA) kwa kosa la kumuua kwa risasi mfugaji aliyetambulika kwa jina la Gimbagu Mandagu mwenye umri wa miaka 25.
Kamanda wa Polisi mkoani humo, SACP Kaster Ngonyani amesema tukio hilo limetokea katika kijiji cha...
Mbunge wa jimbo la Mpanda mjini mkoani Katavi Sebastian Kapufi amepiga kua katika kata Ya Nsemulwa kuchagua mwenyekiti wa mtaa na wajumbe wa serikali za mitaa.
Akiwa hapo Kafupi amesema kuwa hali ya watu kujitokeza ni nzuri huku akisisitiza watu kujitokeza mapema kwakuwa utaratibu unaotumika ni...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Katavi, Rhoda Kuchela amebainisha kutokea kwa kasoro nyingi katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaofanyika leo Novemba 27, 2024.
Akizungumza mara baada ya kupiga kura katika Kituo cha Shule ya Msingi Kashato, Manispaa ya...
Mkuu wa Mkoa Wa Katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko akiwa kwenye foleni kusubiri kupiga kura kuchagua viongozi wa serikali za mitaa katika kituo Cha shule ya Msingi Ilembo manispaa ya Mpanda Mkoani hapa.
Soma Pia: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Katavi
Katibu wa siasa na Uenezi CCM Mkoa wa Katavi Ndg.Teonas Revocatus Kinyonto Amewaomba wananchi kuchagua viongozi walioletwa na Chama cha Mapinduzi kwani wameandaliwa kuwa viongozi watakaotanguliza maslahi Mapana ya wananchi katika Maeneo yao.
Soma Pia: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa...
Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko amewataka wadau wa uchaguzi kuendelea kuzingatia sheria, kanuni, taratibu na miongozo mbalimbali iliyowekwa kwaajili ya Kusimamia shughuli za uchaguzi wa serikali za mitaa.
Mrindoko ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake...
Kauli za kishujaa zinazidi kutawala kutoka kwa viongozi wa CHADEMA. Hii ni kuwajengea kujiamini wananchi katika kipindi hiki cha uchaguzi wasibabaishwe na watu wenyenia ya kuharibu uchaguzi.
==================
Mwenyekiti wa CHADEMA @chadematzofficial Mkoa wa Katavi, Rhoda Kunchela, amesisitiza...
Bado siku moja kutoka sasa kuelekea katika siku ya uchaguzi wa serikali za mitaa ambao utafanyika Novemba 27, 2024.
Wagombea kutoka vyama mbalimbali wamendelea kunadi sera zao na Ilani ya chama ili wananchi wakafanye hukumu yupi anafaa kuwa kiongozi katika Kitongoji, Kijiji, au Mtaa wao...
Wakuu,
Lungo hilo la kuwanyamazisha waandishi wa habari kipindi hiki cha uchaguzi. Habari za Uchochezi ni zipi?
=====
Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi limefanya kikao kazi na Waandishi wa Habari na kuwataka kujiepusha kuandika, kuripoti habari za uchochezi hususani kipindi hiki cha kuelekea...
Wakuu
Akina mama wa CCM wapiga magoti ili kuwaombea kura wagombea wao kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Wakija kuomba kura mpaka wanatambaa, wakishazipata wanaanza kutupiga matukio, hata kuwasogelea huwezi, unasikia unajua mimi ni nani? Tutaona mengi wakati huu.
Kupata taarifa na matukio...
Wakuu,
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Katavi, Rhoda Kunchela, ametoa wito kwa wakazi wa mtaa wa Kachoma, kata ya Makanyagio, jimbo la Mpanda Mjini, kuwanyima kura wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024.
Akizungumza katika...
Wasimamizi wa uchaguzi ngazi ya vituo halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi wametakiwa kuzingatia muda wa kufungua na kufunga vituo vya kupigia kura ili kuepusha vurugu zinazoweza kutokea katika vituo hivyo.
Akizungumza mara baada ya kufanga mafunzo hayo Msimamizi wa uchaguzi halmashauri ya...
Katavi: Hali ya Ugonjwa wa Kipindupindu kufikia Novemba 2024
Wagonjwa waliojitokeza - 441
Walioruhusiwa kutoka Hospitali – 419
Waliopoteza Maisha – 6
Mgawanyiko wa Wagonjwa hao wa Kipindupindu
Wanaume – 235
Wanawake - 206
Umri
Miaka 15+ : 187
Miaka 5 - 15: 150
Miaka 1-4: 92
Chini ya Mwaka...
Sisi Wananchi wa Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi tunaomba uongozi wetu wa Manispaa uchukue hatua za haraka kuwaondoa wajasiriamali wanaoweka bidhaa pembezoni mwa Barabara ya Mpanda Hotel kwenda Kigoma kwa kuwa ni hatari kwa usalama wao na wale wanaotumia Vyombo vya Moto
Wananchi wa hapa...
Kama mada tajwa hapo juu wakuu hivi ni mkoa gani rahisi kutoboa Kati ya katavi na morogoro hasa hasa kwa watumishi wa umma maana kuna mikoa mingine kutoboa ni kipengele kiukweli maana hali ya maisha ipo juu sana kwahiyo kati yq katavi na morogoro ni mkoa upi rahisi kutoboa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.