Tetesi: KFC kufungua mgahawa Katavi

Tetesi: KFC kufungua mgahawa Katavi

Ha haaa acheni utani, yaani wakulima watoke shambani, na wanahitaji vyakula vizito, alafu aende kula fast food or junk food?

KFC watafunga haraka sana huko Katavi, sbb wateja kwanza hawawezi bei zake na food type..!!
 
Mtaani kwetu mku
Eti mtu akila kidali kwa buku jero na kipaja kwa buku ndo MNENE hahah
Ivi vingine ni jero jero tuuh
Kidali buku jero ni cha panya au, kipaja cha buku ni cha panzi? Acheni masikhara mkuu tuoni pesa mle vizuri🤣
 
Back
Top Bottom