Mkapa wakati akigombea urais 1995, alikuwa hafahamiki sana. Hivyo wanaccm wengi, ikiwa ni pamoja na Anna Makinda walikuwa wakiwaunga mkono "Boyz II Men" (nick name ya Kikwete/Lowasa & Co) .
Wakiwa Chamwino kwenye kampeni za hapa na pale kabla ya kuanza kwa vikao vya maamuzi, Anna Makinda akiwa...
Rais Donald Trump amealika nchi zote za maziwa makuu kwenye tukio la kutia sain makunaliano ya amani baina ya DRC na Rwanda maarufu kama "Washington Accord"
Kilichonishtua zaidi Tanzania haikualikwa licha ya kuwa na mchango mkubwa wa kupigania amani ya Mashabiki mwa Congo
Wanajeshi wetu wengi...
https://youtu.be/Bp5NaZ4sYY8?si=SO4lrmpVo9Qm7bQK
Nimeshangazwa sana kwenye teuzi za Rais Samia uliotokea juzi. Rais anatumia vigezo gani kuteua mtu aliyestahafu tena ambaye amepitia nyadhifa kubwa kubwa na zenye heshima?
Hii nchi ina raia milioni 60+ na kati ya hawa zaidi ya 40% ni VIJANA...
Kuna wauminj humu wanajisifu kwamba ndio wasomi na wanawakebehi wengine hawakusoma shule, wamewekeza kwengine. Cha ajabu hao hao kila kukicha humu wanalalamika.
1. Kila siku tunalalamika haki za binaadam
2. Umaskini
3. Rushwa
4. Bara bara mbovu
5. Haki na usawa haupo
Haya yote yanasababishwa...
Kero hii ya kukata umeme ifikapo saa mbili kasoro usiku kila siku katika mji ya Mpanda tumechoka kwani wala hatufahamu mnakata umeme kwa masirahi ya nani?.
Jambo ambalo hatupendezwi nalo wala taarifa yoyote ile hamtoi kwa wakazi wa Mpanda na tunaona waziwazi hizi ni hujuma kwetu Wananchi wa...
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa ameeleza kwamba sheria ambayo ilitumiwa na serikali kuishurutisha kampuni ya simu ya Vodacom kusajili asilimia 25 ya hisa zake katika Soko la Hisa Dar es Salaam DSE imekuwa na matokeo mabaya.
Slaa ambaye alikuwa...
1. Hapakuwepo na maridhiano, bali mazungumzo ya kuelekea maridhiano ambayo yangetupeleka kwenye maridhiano
2. Mbowe hakuandaa warithi:, swali hilo hakulijibu inavyopashwa. Chama ndicho kinachoandaa warith na si Mbowe maana hiyo itakuwa kama anarithisha cheo
MY OBSERVATION: NILIWAHI KUWASHAURI...
Habar za jion wakuu,
I hope mko good.
Kama kichwa cha hoja kinavyojieleza, nilikua najihusisha sana na mambo ya dini na hiyo ilikua baada ya kuwa najikuta kuwa na doughts nyingi kuhusiana na uwepo wa mungu. Kwa sasa nimepata majibu lakin ndipo nikaja kugundua pia kwamba huyu Mungu niliekuwa na...
Haya ndio makosa ya mara zote yanayofanywa na waandaji wa hafla za Dar es Salaam, Wanaandaa mambo mengi yote vizuri sana lakini kwenye Burudani wanaboronga.
Kwa mfano, kwenye Tuzo za leo 90% ya waliohudhuria ni Wazee, tena Wazee hasa, yaani Waziri Mkuu ndio miongoni mwa vijana waliopo, sasa...
Ni ukweli mchungu kuwa ipo siku tutakufa na kila kitu kilichopo katika ulimwengu hakitodumu bali kinapita.
Ni muhimu sana katika shida zote ukatambua na wewe unahitaji kupata muda wa kuyafurahia maisha yako kwa hali yoyote ile iwe kwa kingi ama kidogo ulichonacho.
Katika mahusiano, wapo watu...
Wana JF nina huzuni, tena sana, kwanini kwenye nchi yenye watu wazima tunataka kuamini na kugundua zaidi mapungufu, kasoro na hitilafu za MUUNGANO WETU matukufu badala ya kutafuta namna ya kuutia cement?
Kwanini tusifikiri mwaka mmoja bila MUUNGANO unaweza kutupa hasara gani? Naogopa kufikiri...
Pamoja na ukweli kwamba Ibara ya 107A(2)(e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaitaka Mahakama kutoa haki bila kujifunga na mambo ya kiufundi kiasi cha kushindwa kutoa haki,mambo kwa upande wa mahakama zetu ni tofauti kabisa hususan kwenye mashauri ambayo yanahusu kushitakiwa kwa...
Hbar wadau,
Awali kbsa mwanangu nilikuw nae maeneo ya bard kiasi alpofk miez 6 walihama na mama yao kwenda Zanzibar maisha kule yaliendelea ya kupambana na joto alpo fka miez 8 akaw na tabia ya kulala sakafu kimtazamo Wangu nikajua joto tu sasa tuko Dar na hasa tupo kwenye room yenye AC usiku...
Binti ana Four ya 28 (arts pure) sasa anataka kujua anachoweza kusomea
>>>Ameambiwa aingie humu achague kozi zinazoendana na ufaulu wake>>>
NIT
DIT
NACTE
Ndugu zetu Islam na wazee wa Mila wameweza kudumisha ndoa za wenza wengi na kutokana na elimu waliyonayo ni jambo linalowezekana sana na linatibu jamii ambayo infidelity imekuwa order of the day.
Wakristo na Serikali wamejikita kwenye ndoa ya mme mmoja to mke mmoja ambapo ukiangalia ratio ya...
Mimi nimekuwa nikifuatilia kwa karibu kinachoendelea kuhusu ziara za Makonda mikoani, na zoezi la kusikiliza kero mbalimbali za wananchi. Kimsingi hali inafikirisha sana, na hapa Mwanasheria Mkuu wa serikali ameliona hili. Tuna wakuu wa Wilaya,wakuu wa mikoa , wabunge Takukuru nk wote kweli...
Naona timu zote zinazoshiriki michuano ya Afcon jezi wanazotumia chata ni Puma, kasoro Algeria tu.
ao wapo na chata ya Adidas na ndio jezi nzuri zaidi kwenye mashindano haya.
Tanzania sijaona chata yoyote. Namibia ndio jezi mbaya zaidi.
Katibu mwenezi wa CCM ndugu Paul Makonda hajafanya kosa lolote kumpa maagizo Waziri Mkuu kutatua changamoto za ardhi, Serikali ipo kwa niaba ya CCM na hao mawaziri wote ni wanachama wa CCM na boss wao ni hio secretariat ya CCM.
Mazombi mnapanic kama vibwengo acheni hizo. Tanzania mmezidi kuwa...
Niseme tu ukweli kuhusu huyu mwanangu wa kiume
Ana mwaka na miezi tisa hajajua kuongea vizuri ndo anajifunza, kwanza kabisa Nina uwezo wa kwenda naye kazini kwangu na asinisumbue wala kulia,
Anasalimia kila mtu tunayepishana naye barabarani,
Ni msikivu kwa kila ninacho mwambia
Akichukua kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.