Timu zote AFCON jezi ni Puma kasoro Algeria!

BigBro

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
3,210
9,861
Naona timu zote zinazoshiriki michuano ya Afcon jezi wanazotumia chata ni Puma, kasoro Algeria tu.

ao wapo na chata ya Adidas na ndio jezi nzuri zaidi kwenye mashindano haya.

Tanzania sijaona chata yoyote. Namibia ndio jezi mbaya zaidi.
 
Jersey nzuri ya Algeria? Wew huangalii AFCON,
Umeona uzi wa cape Verde,
Kwa hio sandaland pale kwa stars humuoni?

Wew kwa kifupi hujielews
Sandaland nani anaijua nje ya Kariakoo, nazungumzia chata zenye akili. Mimi Uzi wa Cape Verde nimeuelewa, lakini wa Algeria ndo naona uko poa sana hauna mambo mengi. Zote walizotumia hasa jezi ya leo dhidi ya Mauritania
 
Naona timu zote zinazoshiriki michuano ya Afcon jezi wanazotumia chata ni Puma, kasoro Algeria tu.

ao wapo na chata ya Adidas na ndio jezi nzuri zaidi kwenye mashindano haya.

Tanzania sijaona chata yoyote. Namibia ndio jezi mbaya zaidi.

Tanzania huoni kuna Sandaland?
 
Inajulikana Kariakoo tu. Chata gani hiyo local
Hizi ndio akili zinazohitaji kutawaliwa tena na wazungu,
Kwa hio wew kwako inabidi uvalishwe na Nike, Puma na Adidas kujiona umevaa? Hao Nike walianza tu na kujulikana dunia nzima ?

Badala ya kulalamika kwann kampuni za Africa haziwavalishi waAfrica wew unalilia kuvalishwa na Nike 😂 unatia huruma sanaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom