karibuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nini sababu ya Migogoro ya Ndoa/Wapenzi kuongezeka sana siku za hivi karibuni?

    Takwimu za Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu zinaonyesha migogoro 28,773 ya wanandoa imepokewa kati ya Julai, 2022 na Aprili mwaka huu. Kati ya migogoro hiyo, 22,844 ilisuluhishwa, huku 5,929 ikikosa usuluhishi licha ya kukatiwa rufaa ngazi ya Mahakama. Kutokana...
  2. JamiiForums Tanzania Kwenu wachambuzi, mashabiki, mnaochambua hadi nguo, karibuni darasani mjifunze kuhusu nguo, jersey

    Ubora wa nguo unapimwa kwa vigezo kadhaa. Hapa kuna mambo muhimu yanayochangia ubora wa nguo: 1. Vifaa vya malighafi: Vifaa vya malighafi vinavyotumika kutengeneza nguo ni muhimu sana katika ubora. Nguo zilizotengenezwa kwa malighafi bora zinakuwa imara, rahisi kutunza, na zinadumu kwa muda...
  3. JamiiForums Tanzania Mo Dewji: Karibuni nitaikatia tamaa Simba

    Rais wa heshima wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji 'Mo Dewji'kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema "Transformation ya Simba bado haijakamilika. huu ni mwaka wa 6. Karibuni ntakata tamaa" Mohammed Dewji aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu Simba miaka minne mfululizo hadi...
  4. JamiiForums Tanzania Hizi sekta/Wizara ya Afya na Elimu zimekumbwa na nini siku hizi za karibuni..?

    Habarini za wakti Wana JF, On the point, nimekuwa napigwa na mshangao sana kwa haya yanayoendelea katika Wizara zetu hizi nyeti ambayo ni Afya na pacha wake pia Elimu. Nianze kuzungumzia sekta ya Afya ambayo imekuwa muhanga wa hii kadhia,, hivi karibu kumekuwa na mambo mbalimbali ya ovyo ambayo...
  5. JamiiForums Tanzania Ukisikia jina la beki Kelvin Yondan unakumbuka wapi?

    haya leo tumkumbuke legend mwenyewe Kelvin Yondan Engineer Cotton Juice Pamba. Unamkumbuka Yondan kwa lipi?
  6. JamiiForums Tanzania Mashujaa FC karibuni NBC Premier ila mkitumika na Yanga SC kama Mbeya City FC nanyi tutawashusha Daraja

    Tayari baada tu ya Kumaliza Mechi yenu huko Mkoani Mbeya nimemsikia Mmoja wa Kiongozi wenu Said Swedi 'Scud' akifurahia na kutamba kuwa Msimu ujao wa Ligi Kuu Timu zitawakoma. Said Swedi Scud ni mwana Yanga SC lialia tena ni Mwanachama kabisa na alishawahi pia kuwa Mchezaji ( hasa Mshambuliaji...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nani Ameanza kumwandikia nyimbo Alikiba hivi karibuni?

    Ningependa kufahamu anaye mwandikia Ali mashairi siku hizi. Kwani Toka Ngoma ya UTU to the latest songs ie mahaba and on fire it seems mwandishi ni mmoja kabisa. Kusema kweli mashairi ya kwenye hizi nyimbo yamepangiliwa na kupangika kwelikweli. Ndiyo maana nyimbo zake hizi latest vijana...
  8. JamiiForums Tanzania Tetesi: Baraza la Maaskofu (TEC)kukutana hivi karibuni

    Vyanzo ndani ya Kanisa Katoliki vinatabanaisha kutakuwa na kikao rasmi cha Baraza la Maaskofu huku pamoja na mengine litajadili SINTOFAHAMU kubwa inayolikumba Taifa kwa sasa kuhusu suala la BANDARI. "...baba Maaskofu watapewa mwaliko wa kutaniko ndani ya wiki hii na tayari Mhashamu Rais wa TEC...
  9. JamiiForums Tanzania Toa Maoni yako Kuhusiana na Mchezo wa Koinange utakaoanza hivi karibuni nchini Sweden

    Yapi maoni yako kuhusiana na mchezo wa Koinange utakaoanza rasmi nchini Sweden hivi karibuni. Je unafaa kushiriki ama haufai kushiriki? Kwako habari hizi zinakupa picha gani?
  10. JamiiForums Tanzania Ajira mpya za TRA

    Karibuni tupeane Updates kuhusu nafasi za kazi zilizotangazwa TRA, tusaidiane jinsi ya kujaza form na kukamilisha maombi kwa pamoja. Wasilisha hapa changamoto unayokutana nayo katika kufanya maombi yako, kisha wadau watakuja hapa kutoa msaada. karibuni sana
  11. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kwa usajili huu Simba, maumivu hayatokwisha karibuni

    Kwa mujibu wa vyanzo nyeti kutoka klabu yetu pendwa, ni kwamba kocha Robertinho ametoa mapendekezo yafuatayo. Beki wa kati wa rayon sports, na winga wa rayon sports Henry ntima. ( Wachezaji 2). Winga wa Vipers Martin kiiza, na yule golikipa wa Vipers yule mkongomani. ( Wachezaji 2). Huyu...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi karibuni nitakuja na kisa cha kusisimua kuhusu JPM, Kasesera na Mchungaji Msigwa

    Ulishawahi kujiuliza, kwa nini JPM alibaki na Kasesera ambaye ni mwandani lia lia wa Benard Membe?! Utaamini kwamba pamoja na mbwembwe zote Mchungaji Msigwa alikuwa mlisha habari wa JPM kutoka upande ule?! Kwa nini JPM alimrejesha RAS yule kuwa DG....?! Simulizi hiyo ifuatayo itakufanya...
  13. JamiiForums Tanzania Karibuni tushiriki pamoja kwa Sauti Moja

    Assalaam, Napenda kuchukua fursa hii kuwakaribisha ili tushirikiane katika fursa hii ambayo, bila shaka ni njia mojawapo ya kuleta maendeleo ya kijamii na kiuchumi miongoni mwetu. Kama unadhani uko tayari kivyovyote kushirikiana na Team yetu unakaribishwa ili tuweze kujenga jambo lenye...
  14. JamiiForums Tanzania Karibuni

    Tuanze siku
  15. JamiiForums Tanzania Karibuni Lumwe Tax & Consulting service

    Tangazo: Habari za leo wateja wetu wapendwa, Tunapenda kuwatangazia huduma zetu za ushauri wa kodi. Kama mmiliki wa biashara au mtu binafsi, tunaelewa ugumu wa kuendesha shughuli zako za kila siku na wakati huo huo kukidhi mahitaji ya kodi. Hapa ndipo tunapokuja na kusaidia kufanya maisha yako...
  16. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa uwanja wa Michezo wa Nyasa Mkoani Ruvuma kuanza hivi Karibuni

    Wananchi na viongozi wao wa Wilaya ya Nyasa wameamua kushirikiana kwa pamoja ili kuhakikisha ujenzi wa uwanja huo wa Michezo unakamilika kwa wakati. Ukanda wa ziwa Nyasa umebarikiwa kuwa na vipaji vya kweli vya mpira lakini wanakosa daraja la kupitia kwa hoja ya kuendelezwa.
  17. JamiiForums Tanzania WanaYanga karibuni tumpigie kura chezaji la kimataifa Kahraba kuchukua player of the week CAFCL

    Link hii hapa, MAHMOUD KAHRABA VOTE Bonyeza hapo kwa Kahraba.
  18. JamiiForums Tanzania Karibuni Liwale

    Liwale ni wilaya inayokuwa kwa kasi sana kiuchumi na inajengeka mno tofauti na Ruangwa ambayo boss Majaliwa anaiforce iwe mji ila Karuangwa ni kadogo kama ngumi, kamji gani kama tarafa? Liwale ina fursa sana ukianzia na ufuta, alizeti na korosho. Korosho ya Liwale ni bora ukilinganisha na ya...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Karibuni kuijaribu - Microsoft Excel translator add-in

    Habarini wakuu Nimewatengenezea MS Excel add-in ambayo inakusaidia kufanya translation, mfano kuna wakati unaweza kuwa na column ambayo ipo na rows nyingi ambazo content zake zipo kwa kiingereza na unataka kuzitafsiri kwenda kiswahili au lugha nyingine. Si rahisi sana kufanya hivyo kwa kuandika...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini miaka hii ya karibuni wanaume wanajipamba kuliko wanawake au kufikia kuwazidi wanawake

    Ebu ngoja niende moja kwa moja kwenye mada leo nilikutana na kijana ana heleni masikio yote na puani ana kipini na nyusi ana wei na kichwani nywele Katia rangi yaani mpk ujue ni mwanaume umuone usoni.....moja kwa moja nikawaza na kujiuliza aya mabadiliko ni usasa au nini iki yaaani mwanaume...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…