Mo Dewji: Karibuni nitaikatia tamaa Simba

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,403
Rais wa heshima wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji 'Mo Dewji'kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema "Transformation ya Simba bado haijakamilika. huu ni mwaka wa 6. Karibuni ntakata tamaa"

IMG_6825.jpeg

Mohammed Dewji aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu Simba miaka minne mfululizo hadi alijiuzulu nafasi hiyo mnamo Septemba 21, 2021.

Wakati akitoa taarifa yake ya kujiuzulu alisema "Nimeachia nafasi hiyo lakini nitaendelea kuwa Simba mpaka siku ya mwisho, sijajiondoa kwenye Simba bado ni mwekezaji mimi kwa sasa mara nyingi sipo nchini Tanzania nakuwa nje"
 
Huyu jamaa huwa ni mbabaishaji sana , kila kukicha kutishia watu, hili ndiyo tatizo la timu kumilikiwa na mtu mmoja! Ifike wakati sasa Simba waige mfano wa namna Yanga namna wanavyoendesha mambo yao, hawako perfect lakini Simba wana mengi ya kujifunza kutoka Young African SC.
 
Back
Top Bottom