PachiPara DL (DownLoad) Hyper Sea Story In Karibu (パチパラ DL(ダウンロード)ハイパー海INカリブ) is a downloadable game released on the Japanese PlayStation Store on July 2, 2008.
Vifurushi vina faida nyingi kwa kwetu Wana nchi wa chini .
Kwanza ndipo chanzo Cha mapato, kwani Kuna wajasiliamali wanaotegemea vifurushi vya internet kufanya biashara zao.
Pili wanafunzi wanaotegemea vifurushi vya internet kujisomea
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja amesema wananchi wanatakiwa kulima mazao ambayo hayatawavutia tembo na wanyama wengine kufanya uharibifu. Tembo huvutiwa na maboga na matikiti.
Ili kuepuka changamoto ya wanyamapori kuvamia mashamba na vijiji, vilivyo karibu na hifadhi za...
CCM HUWA IMARA ZAIDI INAPOTISHWA KIFO
Na Philipo Mwakibinga.
0758910403.
Ndugu zangu Wana wa CCM Kidumu Chama Cha Mapinduzi! Nawasalimu kwajina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Naomba niendelee kusisitiza kuwa lazima tuendelee kusimama imara kama sote tunaamini Mungu na tunapokea kila...
Kwanin siku zote ndugu wa karibu wanakuwaga wanafk sana na ndugu wa mbali anakuwa bora na ujio wake lazima ufurahie ila ndugu wa karibu akikutembelea unahisi anakuja kukuchora tu!!!!
Na asilimia kubwa ukiishi na ndugu wakaribu lazima maneno ya kinafki yanatokea sana japo sio wote ila asilimia...
Kwa Tanzania, Export processing zones authority(EPZA) ndiyo husimamia na kuendesha hizi (SEZ) special economic zones.
Haya ni maeneo ambayo bidhaa huzalishwa kwaajili ya kuuza nje ya nchi. Mara nyingi huwa kunakuwa na punguzo kubwa la tozo. Mtu anaaigiza mashine na malighafi za viwandani bila...
Kwa huduma zinazohusiana na nyumba kuweka wiring bei nafuu, kupaka rangi za kisasa, kuweka CCTV Camera, Umeme wa Fensi, Alarm systems.
Karibu sana tupo kanda ya ziwa mikoani tunafika.
Hutajutia huduma zetu popote tupo.
Biashara ni uaminifu huna haja ya kuni-pm.
Sijui waziri husika hajaliona hilo au vipi.
Vijana wetu wanaoomba ajira ni dhahili serikali haina huruma nao kabisa.
Sera za ajira siyo rafiki kwa wasaka ajira.
Leo hii unamuita kijana kwenye interview Dodoma, nafasi moja (one post) unaita watu 200 wakagombanie nafas moja kutoka mikoa ya...
Mimi sikuwa muumini wa Magufuli, lakini naomba kuwaeleza kwa body language ya mwanamke aliyekaa karibu na CAG inasema yote Ripoti ya CAG imejaa siri nzito na siku si nyingi tutaona kuna nini nyuma ya hii report
Huyo mama aliyekaa karibu na msoma repoti simfahamu lakini hisia zangu zinaenda...
Habari zenu waungwana wa humu jamiiforums
Tanzania na Uganda zikiunganisha nguvu ya pamoja tunaweza kuandaa mashindano ya AFCON 2027, 2029 au 2031?
Nilitamani sana kusema Tanzania na Kenya ila nimeona Waganda hatunaga nao mivutano sana ukilinganisha na Kenya.
Uganda imetupa dili la bomba la...
Kutokana na ugumu wa ajira kwenye nchi hii naomba Mh Rais urahisishe mchakato wa watu kwenda nje ya nchi kutafuta ajira na kazi.
Kikwazo kikubwa cha watu kwenda nje ya nchi ni passport na masharti yake. Hili limepelekea watanzania walio nje ya nchi wawe wachache sana.
Nchi kama US kuna...
Kuna Tofauti kubwa sana kati ya kuwa Msemaji wa Ikulu na kuwa Msemaji wa Serikali ama kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo , Ikulu unaongea wewe tu na wala huhojiwi na mtu yeyote , kuna maswali uchwara tu yaliyojaa uoga uoga hivi , tena unaweza hata usiyajibu na shughuli ikaisha tu.
Idara...
Alphayo Kidata, Rais Samia Suluhu amekurudishia heshima yako iliyoondolewa kwa sababu ambazo hazikuelezwa, tunafahamu kwamba ulitukanwa sana hadi ukavuliwa ubalozi, yaliyopita si ndwele tugange yajayo.
Nakuomba sana mkuu, tafadhali sana Mzee wangu fanya kazi yako kwa haki huku ukizingatia...
Siasa za Tanzania haziishi mambo but this one is very serious.
Tanzania imepakana ki jeografia na nchi 8 lakini ni nchi mbili tu Watanzania wana wasi wasi nao sana.
Fikiria
Kwanini Rwanda na Burundi?
Kiasili hizi nchi zimezalisha watu wakatili sana, angalia Rwanda Genocide and the like...
KWAHERI HAYATI MAGUFULI (JESHI),KARIBU RAIS SAMIA SULUHU HASSAN(IRON LADY)
Taifa letu teule lipo katika wakati mgumu sana wamaombolezo na majonzi kwa kuondokewa na mpendwa wetu aliyekuwa rais wa tano jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh. John Pombe Joseph Magufuli.
Kwa upendo Wa Mungu juu ya...
Ni mengi yatakimbia na kuonekana kama ndoto iliyootwa usiku na kusimuliwa na baadae kutoweka.Inaeleweka wazi na bila ya chenga zozote kuwa Mheshimiwa marehemu Raisi John Pombe Magufuli alikuwa kioo cha utawala bora Tanzania, kwa maana mema yake yalionekana na mabaya yake hayakujificha.
Kwa...
Mke wangu amepata nafasi ya kujiendeleza kimasomo nchini Uingereza ambako sasa ana miezi miwili tangu aondoke.
Alipoondoka alimleta mama yake mzazi kutoka huko kwao, Kaskazini mwa nchi ili aje hapa nyumbani (sikuelewa haswa dhumuni la ujio wake) maana dada wa kazi yupo, house boy yupo, na mtoto...
Pamoja na majonzi na masikitiko makubwa ya kumpoteza Team Leader wetu, Hayati Dkt John Joseph Pombe Magufuli, Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Katiba yetu imetupa faraja kwamba Mama yetu Mpendwa unashika rasmi kiti cha Urais.
Tunaishukuru sana katiba hii na wale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.