Simba aliishia karibu caf champions league msimu uliopita, msimu huu timu ya wananchi imefika mbali sana hadi NIGERIA!!

Tatizo lile tangazo la Visit Kilimanjaro limeonekana mara moja tu.
Mdhamini kaingizwa chaka mapema kabisa.
Na
The Return of Champions
 
Hiyo timu pamoja na mashabiki wake wamenifurahisha sana hasa baada ya ushindi wa mazembe, walishangilia sana mpaka nikaielewa ile dhana ya Utopolo.

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
 
.
IMG-20210921-WA0001.jpg
 
1)Yanga ndo timu ya kwanza kukodi ndege kwenye michuano ya cafcl.
2)Yanga ndo timu pekee Duniani kuingia mkataba mfupi zaidi kuwai kutokea.
Hizo ndo record muhimu kwa Yanga wanazojivunia.
 
Ata simba haita fika mbari sana kama last time
Yanga mbona imefika mbali sana hadi NIGERIA!! Simba itaishia karibu tu kama last time!! Itaishia kuingia hatua ya makundi, ishike moja ya nafasi mbili za juu na iishie robo au nusu fainali!! Jiandaeni kufurahi Simba itakapotolewa robo, nusu au fainali!!
 
Back
Top Bottom