karibu

PachiPara DL (DownLoad) Hyper Sea Story In Karibu (パチパラ DL(ダウンロード)ハイパー海INカリブ) is a downloadable game released on the Japanese PlayStation Store on July 2, 2008.

View More On Wikipedia.org
  1. Webabu

    JamiiForums Tanzania Ukraine iko karibu kukubali imeshindwa kivita.

    Ukiondoa ushabiki wa Marekani na vyombo vyake vya habari wanaowachochea waukraine wapigane kwa niaba yao lakini ukweli unaopatikana katika matamshi ya waukreni wenyewe kuanzia raisi Zelensky mpaka mameya wa miji mbali mbali ni kwamba vita baina yao na Urusi vimeshawarudisha nyuma sana.Kwanza...
  2. bernard10

    JamiiForums Tanzania Urusi wathibitisha shambulizi la ghala la mafuta Lviv

    Jeshi la Urusi, Limethibitisha kwa njia ya video SHAMBULIZI lao huko Magharibi mwa lviv karibu na mpaka wa Poland ambalo shambulizi hilo lilipigwa kwa njia ya Rocket lililenga ghala la mafuta (fuel Depot) jumamosi. Wazili waulinzi wa Urusi alisema eneo hilo lilikuwa likihudumia majeshi y...
  3. pingli-nywee

    JamiiForums Tanzania Karibu Kanairo, Karibu Kenya

    Hii expressway mpya 'imeua'...
  4. Walt white

    JamiiForums Tanzania Maombi gani ya watu wako wa karibu yanakukera? Ukiachilia mbali pesa?

    Wakuu, tukiachana na watu wako wa karibu kukuomba pesa kipi kingine ukiombwa huwa unakereka sana? Binafsi ni haya matatu. 1.Simu yako ina dakika uniazime? 2.Kuombana vifaa vya kazi. 3.Kuombana mavazi hasa viatu. Je wewe kuna mengine yanakukera au yote ni sawa kwako?
  5. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Chalinze, Pwani: Rais Samia azindua mradi wa maji na kuzungumza na Wananchi

    Kutoka Mlandizi, Chalinze - Mboga mkoani Pwani ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Samia Suluhu Hassan anazindua mradi wa maji na kuzungumza na wananchi leo tarehe 22 Machi 2022. ====== Rais Samia Suluhu Hassan amesema upatikanaji wa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Utaratibu uendeshaji wa Uchaguzi Tanzania wadaiwa kudorora miaka ya karibuni

    Vyama Vikubwa vya Siasa nchini hasa vya upinzani vimekuwa vikilalamikia mchakato mzima wa uchaguzi kwenye nyanja zote, madai yao makubwa ni kuwa chama Tawala (CCM) kimekuwa kikibebwa na kupewa upendeleo wa wazi na mamlaka. Vyama vingine vimekuwa vikinyimwa uhuru na haki sawa ya kuweza kufanya...
  7. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dodoma: Humphrey Polepole na Waziri Kindamba waapishwa

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan anawaapisha viongozi aliowateua kama ifuatavyo: WAZIRI KINDAMBA WAZIRI...
  8. Superbug

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni team waungwana adui hawamuumizi wala hawamtesi, wanamvuta karibu na kummonita

    Mama ni muungwana na anafwata ushauri wa kikwete na jk alikuwa ni mtu muungwana. MFANO WA MWANDOSYA Wakati wa utawala wa jk MWANDOSYA alikuwa tishio sana na infact MWANDOSYA na JK walishazinguana miaka ya 90 wakati wa utawala wa mwinyi. Wakati huo JK alikuwa waziri wa nishati na MWANDOSYA...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni salama kujenga karibu na mgodi?

    Habari wakuu, Kuna kiwanja nimekipenda kiko umbali wa karibu km 2 kutoka kwenye mgodi. Nikiangalia material waliokusanya kwenye huo mgodi naona kabisa kwenye hiki kiwanja kushachimbwa chini kwa chini. Kama ni kweli kushachimbwa chini kwa chini je ni salama kujenga nyumba kwenye ardhi tabaka...
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Hasira ya kumfumania mume wake na rafiki yake wa karibu mke aamua kuchoma pesa

  11. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Karibu 75% ya vitu vinavyouzwa na Russia&Ukraine vinapatikana Tanzania. Serikali ina mpango gani walau kuwa mdau kwenye Trade exp

    Kwa pamoja Ukraine na Russia wanaongoza kwa kuwauzia na ndio wazalishaji wakubwa wa: 1. Ngano Hii n malighafi kwenye viwanda vya CHAKULA na pombe Russia n muuzaji mkubwa wa ngano kwa nchi za ulaya. TANZANIA Kuna maeneo Kama Manyara huko unaambiwa enzi hzo mahekari kwa hekariz zililimwa ndio...
  12. init

    JamiiForums Tanzania Rais Samia karibu Kusini mwa Tanzania

    Imekuwa muda mrefu sana, Watanzania waishio Kusini mwa Tanzania pia wanatamani uwatembelee hata kama utakwenda mikono mitupu. Hakuna makuu kule, 2025 si mbali.
  13. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya kutumia umeme hayafai kwenye majiji yetu, majiji si makubwa na vituo vipo karibukaribu

    Mabasi ya kutumia umeme hayafai kwenye majiji yetu,majiji sio makubwa vituo vya mabasi viko karibu karibu hayana ukubwa kivile. Mfano ndege ya Boeing haiweze ruka Dar to Zanzibar injini itaharibika sababu Dar to Zanzibar kwa Ndege ya Boeing ni dakika saba ina maana ikianza tu kuruka angani...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Karibu nyumbani Rais Samia, siku 10 nje ya nchi zimelijaza Taifa mapene ya maendeleo

    Karibu nyumbani Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan. Siku 10 ulizofanya ziara Ufaransa na Ubelgiji, tayali tumepata Fedha nyingi sana kwenda kuongeza nguvu kwenye sekta mbalimbali za maendeleo kama reli na usafiri wa mwendokasi, kilimo, Uchumi wa Buluu, masuala ya Bahari na maendeleo endelevu. Tayali...
  15. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Rais Putin asifia uhusiano wa karibu wa Urusi, China

    PUTIN ASIFIA UHUSIANO WA KARIBU WA URUSI, CHINA Rais wa Urusi, Vladmir Putin, leo ameyasifu mahusiano ya karibu ya nchi yake na China, katika mkutano na mwenzake wa China, Xi Jinping, kabla ya kufunguliwa kwa Michezo ya Olimpiki ya majira ya Baridi mjini Beijing. Viongozi hao wawili...
  16. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Pale mtu wa karibu anapofariki tunaumia, kwanini pia tusifurahi endapo maisha ya marehemu yalikuwa na mateso makali sana na kifo kikaweka tamati?

    Kiukweli kifo cha mtu wa karibu huwa kinauma sana kwa wafiwa kitu kinachotupelekea hata wanaume wazima kujifungia vyumbani kulia machozi hadi kamasi kwa maumivu jinsi yalivyo. Tukiachana na upande wa maumivu, kuna muda unakuta marehemu katika maisha yake alikuwa na matatizo yaliyomtesa sana...
  17. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Job Ndugai karibu CHADEMA, utapata heshima kubwa kwa kusimamia misingi ya katiba na kuhoji harufu ya ufisadi. Utapata kick kubwa

    Nadhani hukujua kuwa wanaCcm kuwa ni watu wabaya na wenye unafiki kiwango cha Phd. Hukufanya kosa lolote kuhoji na kueleza unavyoumia baada ya Rais Samia kukopa pesa kwa ajili ya ujenzi wa madarasa ili hali kuna tozo na kodi. Walikuvizia, ukaomba msamaha kinafiki kama walivyowanaCCM na...
  18. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nyambizi za Urusi zenye makombora ya nyuklia zapelekwa kwenye eneo la maji karibu na Marekani

    Hali ya usalama wa dunia iko hatarini kwani baada ya Marekani kuwahimiza NATO waunganishe nguvu dhidi ya Urusi kama ataivamia Ukraine, nao Urusi wamepeleka sub mbili za nyukilia karibu kabisa na eneo la Marekani. Lengo la nyambizi hizo ni kujibu hatua yoyote Marekani atakayochukua dhidi ya...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kwaheri Ayubu Ryoba, karibu Zuhura Yunus TBC?

    Mzee Ayubu Ryoba b4 TBC alikuwa vocal tukadhani ana strategies lakini alipokwenda TBC akawa mpole,shirika likayumba na kukosa hadhi SAWA na matarajio ya umma. Zuhura Yunus alipokuwa TBC alionyesha ufanisi mkubwa sana wenye utangazaji. Lakini alikuwa sehemu ya ma activist wanawake akiwa close na...
  20. Gerald1

    JamiiForums Tanzania Hii idea naigawa kwa wenye kuhitaji. Kijana pambania fursa usiwaze kununua gari wekeza katika biashara

    Karibu tupeane ya nayo pendekezwa mitaani kwetu JE UNAWAZA KUHUSU UJENZI AU KUHUSU BEI YA HIYO PUMP NA TENK NA VIPI KUHUSU UTOAJI WA MAFUTA BANDALINI BILA USHURU MKUBWA NICHEK KAMA UNANIA YA DHATI KWELI NAMBA YANGU NI 0788317776 or 0672281230 mda wote napatikana.........✓✓✓.
Back
Top Bottom