Karibu Mwenge wa Uhuru mkoani Mbeya

the horse

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
621
500
KARIBU MWENGE WA UHURU MKOANI MBEYA.

Mwenge wa Uhuru baada ya kumulika maeneo mbalimbali nchini sasa ni zamu ya mkoa wa Mbeya. Ni Jumamosi hii ya Septemba 11, 2021 Mwenge wa Uhuru utapokelewa wilayani Mbarali katika eneo la Igawa tayari kwa kuanza kukagua miradi na shughuli mbalimbali mkoani Mbeya. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Juma Zuberi Homera anawakaribisha wananchi wote wa Mbeya katika mapokezi hayo.

KAULI MBIU YA MWENGE WA UHURU 2021: TEHAMA NI MSINGI WA TAIFA ENDELEVU, ITUMIE KWA USAHIHI NA UWAJIBIKAJI.
 

Nyumisi

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
8,534
2,000
Kukimbiza moto ni ibada ya kishetani, ndo maana hii nchi ni kama imelaaniwa.......
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom