kanisa

The following list consists of concepts that are derived from both Christian and Arab tradition, which are expressed as words and phrases in the Arabic language. These terms are included as transliterations, often accompanied by the original Arabic-alphabet orthography. Although Islam is the dominant religion among Arabs, there are a significant number of Arab Christians in regions that were formerly Christian, such as much of the Byzantine empire's lands in the Middle East, so that there are over twenty million Arab Christians living around the world. (Significant populations in Egypt, Lebanon, Brazil, Mexico, Jordan, Syria, Palestine, Sudan, Iraq, USA, Canada, UK and Australia.) Christianity has existed in the Arab world since the 1st century. Readers should also note that Arabic is written with the Arabic alphabet, and that different individuals and Christian groups may transliterate certain Arabic words into the Latin alphabet in various ways.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Je, Baba askofu wa Kanisa Katoliki anaweza kugombea Ubunge?

    Nauliza tu wadau kama baba askofu wa Kanisa Katoliki anaweza kugombea ubunge. Kwa mfano baba askofu Ruwaich anaweza kugombea ubunge jimbo la Ilala? Maendeleo hayana vyama!
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TEC yakanusha kuondoa zuio kwenye huduma zake

    Baraza la Maaskofu Tanzania, TEC limemwandikia mhariri mkuu wa gazeti la Nipashe. Kukanusha taarifa iliyotolewa na toleo Na 0580265 la June 23, lilisomeka kuwa ‘Kanisa Katoliki laundoa zuio kwa shughuli zote’ Baraza hilo limekanusha kutoa waraka wowote wa kuondoa zuio katika kipindi hiki cha...
  3. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ahutubia Taifa au Kanisa?

    Jumapili 17-05-2020 Rais wetu mpendwa aliongea "kutoka KKKT ambapo yeye siyo muumini, ila aliamua kwenda kushiriki Je, Taifa la Tanzania lina dini? Je, Muislamu ililazimika kuangalia ibada ya wakristu, kadhalika wasio Walutheri walazimike kuangalia ibada hiyo ili kumuona Rais akipewa nafasi ya...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya corona: RC Makonda aiombea Dar na Tanzania

    Salamu kwenu. Kupitia Wasafai FM 89.9 Mh. Makonda ameongoza ukemeaji kwa njia ya maombi dhidi ya corona. Ameendelea kutoa tafakari/mahubiri ya mistari kadhaa kutoka ktk biblia. Mf. Isaya 18:1. Hakika Dar tunakiongozi mwenye kipaji kama ambavyo daima amethubutu katika maamuzi mbali mbali...
  5. S

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Pentecoste Mwananyamala jijini Dar-es-Salaam, Dkt. Nasobile Mwanjela afariki dunia

    Mchungaji kiongozi wa kanisa la Pentecoste Mwananyamaa jijini Dar es Salaam Dr.Nasobile Mwanjejele amefariki dunia.
  6. chinchilla coat

    JamiiForums Tanzania Spika: Mazishi ya Mama Rwakatare yatahudhuriwa na watu wasiozidi 10, Serikali itasimamia

    Akifunga kīkao cha Bunge jioni ya leo, Spika Job Ndugai ametangaza kuwa mazishi ya Mama Rwakatare yatafanyika siku ya tarehe 23 Aprili na yatahudhuriwa na watu wasiozidi 10, pia familia imeomba azikwe kwenye eneo la kanisa Mlima wa Moto. Taarifa rasmi zinasema mama hajafariki kwa Corona...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Je, mama Rwakatare atazikwa ndani ya Kanisa kama wanavyozikwa maaskofu wa Kanisa Katoliki?

    Nafahamu kuna huu utaratibu wa maaskofu kuzikwa ndani ya makanisa yao na hili nimelishuhudia kwa madhehebu ya Anlican na Katoliki. Nakumbuka askofu Sepetu wa Anglican aliziikwa ndani ya Kanisa la mt Nicolaus Ilala Dsm na pale Njombe askofu wa jimbo Katoliki alizikwa Kanisani hata wa Anglican...
  8. Influenza

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lasema ndoa zitaendelea kufungishwa ila watahusika Wanandoa na Wasimamizi wanne tu

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania anaitwa Padri Dr. Charles Kitima amefafanua tamko la Kanisa Katoliki kuzuia watu kufunga ndoa nakusema hawajazuia sakramenti hiyo ila wamezuia wale wanaotaka kufanya sherehe. “Ibada ya kupokea Sakrament ya ndoa na kipaimara hizi shughuli...
  9. bahati93

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki Tanzania linapaswa kusitisha misa

    Habari wanajamii, Katika kipindi hiki cha wasiwasi na sintofahamu juu ya coronavirus ndani ya taifa letu viongozi wa taasisi mbalimbali yapaswa kuonyesha umahiri na umadhubuti kukabiliana na janga hili. Nitaongelea taasisi za kidini kwani kwa macho yangu naona zimevurugwa zaidi Mpaka sasa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lasitisha huduma za kufungisha ndoa na ubatizo hadi pale ugonjwa wa COVID-19 utakapodhibitiwa

    Rais wa TEC baba Askofu Nyaisonga ambaye pia ni askofu wa Dayosisi ya Mbeya amesema katika kupambana na maambukizi ya Covid 19 wanasitisha Huduma za sakramenti ya ubatizo na ile ya Ndoa. Baba askofu amesema Huduma hizo zitarejea tena kama kawaida pale ugonjwa huo utakapokuwa umedhibitiwa. Baba...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wanandoa wadai fidia baada ya kanisa lao kuvunjwa saa 48 kabla ya ndoa yao

    Muhwezi Benson and Akankwasa Sophie Wamedai fidia ya Tsh milioni 376 kwa kanisa la ‘Church of Uganda’ baada ya kufuta ndoa yao iliyogharimu takribani milioni 471 kuiandaa Mwanasheria wa wanandoa hao alisema kuwa wateja wake wamekuwa na hali ngumu hivi sasa kisaikolojia na wameingia madeni...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali yalifunga kanisa la EAGT Moshi kutokana na mgogoro wa Viongozi na Waumini

    Serikali ya Wilaya ya Moshi imelifunga kwa muda kanisa la Evangelist Assembles of God (E.A.G.T) Mawenzi lililopo Mtaa wa Vigae kutokana na mgogoro kati ya waumini na uongozi wa juu wa kanisa. Chanzo cha mgogoro kinadaiwa kuwa ni uongozi wa juu wa kanisa hilo kumuondoa mchungaji mwanzilishi wa...
  13. maganjwa

    JamiiForums Tanzania Kwanini kanisa linaadhimisha misa siku ya mwaka mpya?

    Hili suala linanipa taabu sana la mwaka mpya. Kwa mfano mimi Mkatoliki mwaka wa Kanisa unaanza mwezi wa kumi na moja lakini siku ya mwaka mpya wa tarehe moja January linasherekea pia usiku na asubuhi kuna misa. Kwanini lisifanye hilo kwenye mwaka wa kanisa ambao unaanza mwezi wa kumi na moja...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Zitto usipoacha uzushi Karma itakucharaza kama inavyowacharaza CHADEMA

    Heri ya Noeli wanaJF, Nimelazimika niandike makala hii ili kumuonya mdogo wangu Zitto kuacha siasa za uzushi ili kuepuka "viboko" vya karma. Nimkumbushe jinsi karma inavyowacharaza CHADEMA kwa kutoa mifano miwili; awali, sasa hivi wanamkumbuka JK huku wakibubujikwa na machozi huku wakitubu kwa...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Msimamo: Sitashiriki Misa ya Christmas kwenye kanisa ninalolishiriki miaka yote kwa vile halipigi vita utekaji

    Baada ya kutafakari kwa muda mfupi nimefikia hitimisho kwamba kuanzia leo sitashiriki ibada zote kwenye kanisa ninaloshiriki siku zote na nililozoeleka kuabudu baada ya kanisa hilo kufumbia macho utekaji unaofanywa nchini mwetu. Kanisa hili ni miongoni mwa makanisa ambayo watuhumiwa wa utekaji...
  16. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Je, nasi tutafika walipo Uingereza kwa sasa? Jengo la kanisa kuwa ukumbi wa kampeni za uchaguzi!

    Hakuna ubishi kuwa Mr Nigel Farage anafanya kampeni ya uchaguzi mkuu ambao utafanyika kesho - 12/12/2019 ndani ya jengo la kanisa. Architecture ya jengo hilo ni ya kanisa. Wamefikia hapo baada ya wengi kuelimika na tech kupanda na demokrasia kukuwa. Je, nasi tutafika huko na haya makanisa...
  17. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika, na nafasi ya Kanisa Katoliki

    Maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika yanaweza kutupa sura mpya tusiokuwa tukiifahamu sote, Pengine ni kwa mara ya kwanza Kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi ndio kinaeleza uhusika kikamilifu wa Kanisa katoliki duniani katika uhuru wa Bara la Afrika na hasa Tanganyika chini ya shirika nguli la...
  18. The Genius

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki na uhuru wa Tanganyika

    Maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika yanaweza kutupa sura mpya tusiokuwa tukiifahamu sote, Pengine ni kwa mara ya kwanza Kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi ndio kinaeleza uhusika kikamilifu wa Kanisa katoliki duniani katika uhuru wa Bara la Afrika na hasa Tanganyika chini ya shirika nguli la...
  19. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Papa Francisko amteua Askofu Ludovick Minde kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki la Moshi

    Baba Mtakatifu Francisko amemteua Askofu Ludovick Joseph Minde, ALCP/OSS kuwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki Moshi, nchini Tanzania. Kabla ya uteuzi huu Askofu Ludovick Joseph Minde alikuwa ni Askofu wa Jimbo Katoliki Kahama. Itakumbukwa kwamba, Askofu Minde alizaliwa tarehe 9 Desemba 1952 kwenye...
  20. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Wajibu wa Kanisa ni kuomba na sio kulalamika

    Kanisa lililoanzishwa na Mungu msingi wake ni kuomba ili kutawala maamuzi yote katika ulimwengu wa roho kabla hayajatokea kama majibu katika ulimwengu wa mwili. Mwakasege (2013,uk.88) katika kitabu cha Ujue Ulimwengu wa Roho Ili Kufanikiwa Katika Maombi Yako alisema "Dalili ya Kanisa lisiloomba...
Back
Top Bottom