TEC yakanusha kuondoa zuio kwenye huduma zake

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,879
Baraza la Maaskofu Tanzania, TEC limemwandikia mhariri mkuu wa gazeti la Nipashe. Kukanusha taarifa iliyotolewa na toleo Na 0580265 la June 23, lilisomeka kuwa ‘Kanisa Katoliki laundoa zuio kwa shughuli zote’

Baraza hilo limekanusha kutoa waraka wowote wa kuondoa zuio katika kipindi hiki cha janga la #COVID19. Aidha wamesema waraka wowowte wa baraza hilo husainiwa na viongozi husika na huwa hawatoi miongozo kwa njia nyingine isyokuwa waraka rasmi

TEC imeliomba gazeti la Nipashe kukanusha taarifa hiyo ili kuondoa usumbufu kwa waumini
1593013888598.png
 
Back
Top Bottom