Nina kampuni ya general supply ninatafuta tenda

NYAMOZEHOKO

Member
Apr 18, 2020
67
66
Habarini za asubuhi wakuu!

Wadau nina kampuni ya general supply ( building materials and stationeries). Naomba mwenge connection ya kazi mbalimbali huko kwenye maofisi tusaidiane wakuu.
 
Kwann ufungue kampuni na huku huna masoko au michongo yoyote ya kusupply useless idea ndo maana badaye mnakujaga kufilisika bila kujua?
 
Mkuu kufungua kampuni Kama huna plan ya kuiendesha hiyo kampuni utafeli Muda si mrefu au ulijua ukiwa na kampuni utawahi kutajirika...???
Mkuu plan ninazo.by the way nilikuwa mwajiriwa kwanza then ndo nimefungua kampuni kwa ajiri ya biashara. Nemomb agenda mbalimbali serikalini na Ngo bado hazijatiki.na Nina connection sehemu sehemu kwa washkaji.
 
Vijana wengi wa natafuta ajira wamesoma marketing toa ajira temporary kwa muda wa miezi michache tu akutafutie masoko
 
Habarini za asubuhi wakuu!

Wadau nina kampuni ya general supply ( building materials and stationeries). Naomba mwenge connection ya kazi mbalimbali huko kwenye maofisi tusaidiane wakuu.
Umechelewa kidogo ..kuna Taasisi inaitwa Ifakara Health Institute iko pale mikocheni ..juzi walitangaza hzo tenders.. Ila deadline ilishapita

Uwe unafuatilia magazeti na forum mbali mbali zinazotangaza Ajira pia
 
Thanx mkuu
 
Habarini za asubuhi wakuu!

Wadau nina kampuni ya general supply ( building materials and stationeries). Naomba mwenge connection ya kazi mbalimbali huko kwenye maofisi tusaidiane wakuu.
Ushauli wangu tafuta mtu wa marketing mwenye uzoefu na biashara ya stationery pamoja na building material
 
Back
Top Bottom