kampuni nyingi bado kufuatilia laptop, printer, furniture au vifaa vya kazi kwa makaratasi au Excel.
Changamoto inaanza vifaa vinapopotea au kukosekana kwa taarifa nani anatumia kifaa gani.
Asset Management System inasaidia,
1. Kufuatilia vifaa vyote kwa urahisi
2. Kujua nani amepewa kifaa...
"Ninunue hisa za kampuni ipi ?"
Hili ni moja ya swali ambalo kila Mwanahisa alishawahi kujiuliza au huwa anajiuliza. Leo nitatoa njia nyepesi ambazo utatumia katika kuchagua kampuni utakayoenda nunua hisa zake
NJIA hizo ni
1. Bei ya hisa : Unapofika sokoni,bei huwa ni moja ya kipimo kizuri...
Kampuni ya Amsons Group yenye makao makuu yake nchini Tanzania, inaripotiwa kuwa katika mazungumzo ya hatua ya juu ya kuinunua kampuni ya Oryx Energies katika dili linalokadiriwa kuwa na thamani ya dola milioni 250 (Zaidi ya shilingi bilioni 650 za Kitanzania), kwa mujibu wa taarifa kutoka...
Moja ya kipengele muhimu cha kuangalia kabla ya kununua Hisa za kampuni flani,ni Mapato ya kampuni.
Kampuni inaweza ikawa ina thamani kubwa labda kutokana na muhemko wa soko katika hiko kipindi lakini unapokuja kwenye biashara,ni kampuni nyengine ndiyo inayoongoza kwa kuzalisha mapato makubwa...
"Tukija kwenye mitaji... hii mitaji, twende kwenye uwekezaji. Nyinyi biashara ndio mnaotakiwa mtoe ushauri.
Mgeni anakuja, anatoa dola laki tano, eti huyo ni mwekezaji. Hivi Watanzania wangapi wana dola laki tano? Si wengi hapa! Alafu anakuja na briefcase, anaenda kuchukua ukandarasi wa...
Ushawahi kujiuliza ipi ni kampuni kubwa hapa nchini...?
Japo msemo "Kampuni kubwa ni tungo tata" lakini mara nyingi huangazia ukubwa wa Thamani ya kampuni katika soko la hisa
Thamani ya Kampuni/Market value hupatikana kwa kuzidisha idadi ya hisazilizopo sokoni za kampuni husika kwa bei ya hisa...
Peculiar Enterprises Ltd tunabuni na kutengeneza mifumo ya kisasa kwa biashara, kampuni, taasisi na organizations za aina zote.
Huduma zetu ni pamoja na:
✅ Corporate & Company Management Systems
✅ Project Management Systems
✅ Financial & Business Management Systems
✅ Websites za kampuni na...
Nimesoma sehemu kuwa kampuni za kubeti zinadhulumu watu walioshinda pesa nyingi. Kuwa zinabadilisha betting. Kama uliweka timu fulani ishinde wao wanabadili kuwa uliweka ifungwe kwa hiyo wanachana mkeka ulioshinda. Ukiweka over na kushinda wanabadili kuwa under. Na wengine wanakufutia kabisa...
Kampuni ya Samsung hivi karibuni ilitangaza kuwa itaacha kuuza vifaa vyake vyote vinavyotumika nyumbani nchini China. Chapa ya Samsung ilikuwa alama ya vifaa vya kielektroniki vya nyumbani vya hali ya juu na vyenye ubora wa juu zaidi, lakini sasa imeshindwa kabisa na kampuni za ndani za China...
Kuna ndugu yangu anafanya kazi Kampuni ya HAINAN INTERNATIONAL LTD kwenye mradi wa ujenzi wa Bohari ya Dawa (MSD) mkoani Geita, Wilaya ya Chato pembezoni mwa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato.
Mradi tangu wameanza ni takribani miezi minne, unaenda mitano sasa lakini hakuna kuingiziwa fedha za...
Anonymous
Thread
kampuni
katika
malipo
mradi
msd
nssf
wafanyakazi
wake
Shida ni kwamba hizi kampuni ambazo zinajihusisha na services za home internet zinakuwa kwanza hazisemiukweli interms of amount ya data unayopata, mfano unaweza kulipa unlimited kwa speed kiasi flani lakini unakuta kumbe limit ni 1tb, so wanakuwa wana advertise uongo na hawajulishi watumiaji...
Anonymous
Thread
data
internet
kampuni
kuhusu
mteja
nyumbani
ukweli
Sasshivi wanamiradi iko Tanga na wanaiuza kwa raia wa Zanzibar, nimekwenda kuuliza endapo wana miradi Zanzibar wameniambia ipo, baada ya kuonesha nia ya kununua wakaniambia siruhusiwi maana mimi ni Mtanzania bara.
Nikawauliza kwanini wananchi wa Zanzibar wananunua ardhi bara, akaniambia hata...
Leo nilikuwa Ofisi ya wauzaji wa viwanja kampuni ya " VIWANJA TANZANIA "
posta mpya
Mtaa wa Ohio, Nyumba ya Maarifa, ground floor. Jirani na IT Plaza, inatazamana na ATCL.
unaweza kuwachek wanaviwanja sehemu mbali mbali ndani na nje ya Dsm
viwanja vya biashara
viwanja vya makazi
sea view...
Nimekuwa nikijiuliza sana.
Nikiweka vocha ya 10,000 napata 10,000 exactly.
Sasa hawa makampuni ya simu wanapataje faida kama wanarudisha hela ile ile?
Au kuna kitu sielewi hapa?
Naomba nieleweshe kwa lugha rahisi maana kichwa changu kimegoma kabisa 😅
Ndio sijakosea kwa Tsh.200,000 Tu utajipatia website ya kisasa ya biashara au kampuni yako.
Ikijumuisha
usajili wa jina la website
Hosting ya mwaka mzima
Utapata emails rasmi za website yako.
Ndani ya siku 3 tu tayari utakuwa umeshapokea kazi yako.
Mfano ya kazi ambazo nimeshatengeneza na...
Kampuni iliyoniajiri inaelekea kufa kwa kukosa uongozi bora, hakuna namna ya kuwawajibisha mabosi sababu ndio wanaomiliki Mifumo ya uwajibishaji
Nafanya kazi kwenye kampuni moja ambayo ina miaka mingi tangu kuanzishwa kwake, imeshakuwa na wakurugenzi kadhaa, ila mara nyingi huwa wanaondoka kwa...
Mfanyabiashara, Rostam Azizi kupitia kampuni yake ya Taifa Gas Tanzania Limited, kwa kushirikiana na Amber Energy Investment L.L.C-FZ, wameingia makubaliano ya kununua biashara ya gesi ya kampuni ya Orca Energy Group nchini Tanzania inayomiliki mradi wa Songo Songo.
Kwa mujibu wa taarifa...
Habari mjasiriamali, kama wewe ni mmiliki wa Kampuni au unatarajia kufungua Kampuni haya ni mambo Matatu ambayo natamani uyajue mapema kuhusu Kampuni
1/3 Ni lazima ku file beneficial ownership ndani ya siku 30.
Beneficial owners ni watu wote ambao ni wanufaika wa Kampuni hata kama sio direct...
Habari wakuu,
Natoa huduma za kitaalamu za kutengeneza website kwa biashara, taasisi na miradi mbalimbali. Ikiwa unahitaji website ya haraka, inayovutia na inayofanya kazi vizuri, hii huduma ni kwa ajili yako.
✅ Website yako itakuwa tayari ndani ya siku 3 tu
✅ Inafaa kwa biashara ndogo...