kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Unahitaji Hizi Documents Sita (6) ili Kusajili Kampuni yako TRA

    Habari mjasiriamali, Kwema thread iliyopota niliongelea namna ya kujisajili Brela, kwenye thread hii nitaelezea documents 6 unazohitaji ili Kuisajili Kampuni Yako TRA baada ya kumalizana na BRELA. 1. Copy ya TIN certificates za directors Utatakiwa kuwasilisha printed copies za TIN directors...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni ya Sea Bus Express acheni utapeli

    Kampuni ya Sea bus express inayofanya route ya Mwanza to Tabora, wanapakia abiria wa kwenda Mbeya badala ya kuwafaulishia Nzega ili wapite njia ya Dodoma Iringa kama walivyokubaliana wao wanawafaulishia Tabora na kupitia njia ya Chunya ambayo ni Barbara ya vumbi. Nauli ya kutoka Mwanza hadi...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ukisajili Kampuni Hakikisha Una file beneficial ownership haraka

    Habari mjasiriamali, najua pengine hujawahi kusikia kuhusu beneficial ownership. Kwa kifupi Beneficial Ownership ni taarifa za umiliki wa Kampuni ambazo zinaonesha nani haswa ni mnufaika Kampuni hata kama hayupo kwenye list ya shareholders. Mfano, mtoto wako anaweza asiwepo kwenye list ya...
  4. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kwanini madereva wanaogopa kufanya kazi kampuni ya Asas?

    Kampuni pekee ambayo Ina magari mengi lakini madereva wanaogopa kufanya kazi. Dereva yupo radhi akae bila kazi kuliko kufanya kazi ASAS. Kwanini?
  5. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Je ni kampuni gani bora za KUBET kwa sasa hapa Tanzania?

    Naomba wawekezaji wazoefu mnisaidie kampuni bora kwa sasa ya betting Tanzania. Uniambie na sababu.
  6. Chibike

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona kampuni mbovu kama Star Times

    Narudia kama wapo humu wasome SIJAWAHI KUONA KAMPUNI MBOVU KAMA STARTIMES Mwaka Mpya nafungua na DSTV...hio taka taka nyingine ya startimes naenda kutupa jalalani. 🚮
  7. Pakome

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kampuni ya ByteDance kuchutama, mamlaka imeamua kuondoa zuio la TikTok

    Uhusiano kati ya China na Tanzania umekuwa ni wa muda mrefu tangu Tanzania ipate Uhuru China imekuwa mstari wa mbele kusahihisha makosa yake ya Kibiashara yanayotokea Tanzania Kampuni ya ByteDance imeamua kuchutama ili kuondolewa zuio la TikTok lililodumu kwa muda mrefu Makosa ya TikTok...
  8. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Pawepo na Kampuni ya Vijana Ujenzi Taifa: Vijana wataajiriwa zaidi ya 5,000,000 nchi zima

    Habari Tanzania ! Napenda kuleta wazo hasa kwa Serikali Tanzania na Vijana wa Tanzania endapo ikiwapendeza. Tuanzishe taasisi ya Vijana Ujenzi Taifa; waajiriwe vijana wenye nia na kutumika kwenye sekta ya ujenzi Taifa. Itungwe Sheria ya usimamizi miundombinu na ujenzi majengo Taifa. Pia...
  9. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Waziri Nanauka: Serikali kuanzisha kampuni laki moja na ajira Milioni moja

    Serikali imetangaza mpango wa kuanzisha Youth Special Economic Zones (YSEZ) utakaotekelezwa ndani ya kipindi cha miaka mitano ijayo, kwa lengo la kuwawezesha vijana kuingia kwenye uchumi wa uzalishaji na utengenezaji badala ya uchumi wa usambazaji na uuzaji pekee. Akizungumza kuhusu mpango huo...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ili jengo kampuni nyingi za mawasiliano ziliomba kuweka vifaa vyao cha kushangaza waligomewa.

    Pale mawasiliano tower sio wageni ila hii sehemu ndio unaambiwa kama vitafungwa vifaa vya mawasiliano juu kama huduma za internet za majumbani au vifaa vyengine. Hapa mpaka aliye morogoro,kibaha,znz na bagamoyo anaweza kupata signal safi. ila kwa nini wamekataa kampuni nyingi
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni ya Ujenzi iliyopo Madale Midizini ina changamoto ya kutotoa mikataba kwa baadhi ya wafanyakazi wake

    Mimi ni Mfanyakazi wa Kampuni ya Ujenzi wa miundombinu yenye makazi yake Madale Midizin Jijini Dar es Salaam. Changamoto ni kwamba mpaka sasa nina Mwaka wa nne kazini ila sijawahi pewa mkataba, nakosa haki zangu muhimu, bado najulikana ni kibarua tu wa hii kampuni. Tabia hiyo imekuwa ikitokea...
  12. coockie monster

    JamiiForums Tanzania Kampuni za sigara. Msikubali kuchafuliwa

    Kwanza binaadamu kaanza tabia kuvuta tumbaku kabla ya yesu kuja,Tanzania watu wameanza kuvuta tumbaku zaidi ya miaka 200 iliyopita. Tumbaku inapendwa na kuna watu tunaifurahia. Inakuaje nyie TCC mnakubali sigara zipande bei kiholela mtaani wakati nyie mna hela zetu nyingi na nguzo ya uchumi...
  13. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya ndege Tanzania ATCL imeongeza ofa ya Krisimasi

    Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) inayofuraha kuwaongezea wateja wake ofa nyingine, maalum kwa abiria wa ndani msimu huu wa sikukuu.
  14. Pakome

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa tetesi ya upatikanaji wa huduma ya Internet inayosambazwa na kampuni ya Starlink kupitia Roaming

    Kwanza kabisa nianze na maana ya Roaming Roaming ni huduma inayoruhusu mteja wa kampuni moja ya mawasiliano kutumia mtandao wa kampuni nyingine, pale ambapo Mtandao wa kampuni yake haupatikani au Yuko nje ya eneo analohudumiwa kawaida (ndani au nje ya nchi) "Unapotumia nyumba ya jirani kwa...
  15. buffalo44

    JamiiForums Tanzania KERO Msaada wa NIDA Verification kugoma kwenye kusajili Kampuni au Shirika, licha ya Taarifa kuwa sahihi

    Hello Wakuu. Nimekua najaribu kusajili NGO yangu kupitia mfumo wa NIS jamii. Lakini kila nikifika kuverify NIDA yangu naandikiwa "something is wrong, please try again" Nimeenda office ya NIDA wilayani nimehakiki kila taarifa na kuangalia status za NIDA inaonesha haina shida wala kukosewa...
  16. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Serikali ya India imezilazimisha kampuni za simu kuinstall Sanchar Saathi app kwa ajili ya kutrack wananchi, inatufaa pia hii bongo

    Katika harakati za kuimarisha ulinzi wa nchi serikali ya india imezilazimisha kampuni za simu kuinstall app hio kwajili ya kufuatilia maongezi ya wananchi pamoja na wqnachoandika, hii inaifaa sana tanzania haswa kwa iki kipindi watu wanapanga maadamano na itakua effective sana --- "This is...
  17. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Miaka ya tisini - elfu mbili kulikuwa na Bus maarufu sana zilizokuwa zikijulikana kama Meridian, vipi kampuni ipo bado?

    Miaka ya tisini - elfu mbili kulikuwa na Bus za Meridiani, vipi kampuni bado ipo? Hawa jamaa Meridian walikuwa maarufu sana wakishindana na Dar Express, safari zao zilikuwa Dar es Salaam to Kilimanjaro & Arusha Zamani bila kupanda bus hizo ulikuwa hujioni matawi ya juu Dar Express nawaona...
  18. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Kuelekea D9 kampuni za mabasi haziuzi tiketi za tarehe 09/12

    Tanzania ya Sasa hivi ni ya moto sana, zamani yalipoitishwa maandamano watu walichukulia poa tu, Kwa kujua hakuna atakayetoka. Kilichotokea MO29, kimetoa blueprint ya maandamano nchini. Sasa Toka maandamano ya D9 yatangazwe, serikali imenywea kabsa inaogopa kutoa vitisho,na kufanya mazoezi ya...
  19. X

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Wadachi wamewarudishia Wachina kampuni ya Nexperia

    Serikali ya Uholanzi imesitisha uamuzi wake wa kuingilia kampuni ya kutengeneza chipu, Nexperia, inayomilikiwa na China, baada ya mazungumzo kati ya pande hizo mbili. Mnamo Septemba, serikali ya Uholanzi ilisitisha kampuni hiyo kutokana na wasiwasi kuhusu usalama wa upatikanaji wa chipu barani...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Samia ni kama Mhasibu aliyekula hela za kampuni lakini hajui risiti anaipata wapi

    Yan yupo yupo tu hadi Auditors watafika na kumdaka kwa wizi ama matumizi yasiyo na maelezo; anajijua mwizi lakini mishe za mjini hazijui, hana namba ya winga hata mmoja Kariakoo. She’s completely lost. Ukimtazama ni mtu ambaye yupo yupo tu hata haelewi afanye nini. Nadhani ukiacha Wazanzibar...
Back
Top Bottom