Leo hii unajiuliza maswali lukuki yanayokuumiza kichwa bila majibu, maswali kama;
(a). Inakuwaje TRA wananiletea assessment za madeni ya riba na adhabu (Interest and penalties) wakati kampuni yangu haijaanza kazi?
(b). Kwanini TRA wananisumbua kila mwaka wakinitaka kufile annual return wakati...
Ukiachana na wachache kama kina Bakhresa, makundi hayo kazi ni msuli tembo lakini hadi hio hela umeipata ni kwa manyanyaso sana.
Boss tajiri lakini ukichunguza mishahara wanayowalipa wafanyakazi wao unabaki shangaa
Kero yangu ni kuna kampuni inauza viwanja inaitwa Landmatrix Ltd walikuja ofisini kwetu na kutueleza kuwa wanauza viwanja vilivyopimwa maeneo mbalimbali mnamo mwaka 2024 kwa wakati huo walikuwa na mradi eneo la Vikonje 'BM', Dodoma.
Malipo yalikuwa ni kwa awamu ndani ya miezi 24 na makubaliano...
Umeshawahi kujiuliza kwanini asilimia kubwa ya watu waliosajili Kampuni Hujikuta na madeni makubwa ya malimbikizo ya Kodi?
Kwa takwimu zilizotolewa 51.58 ya wamiliki wote wa Kampuni Wana madeni makubwa yanayotokana na malimbikizo ya Kodi.
Na hii inasababishwa na mambo mawili;
1. Kutoku file...
Mteja akishindwa kulipa rejesho lako unaandikishwa barua ya maelezo pia watu wako wa karibu yaani wazamini waliokuzamini wakati wa kuajiriwa wanapigiwa simu.
Kampuni ya kutoa mikopo ya BRAC kwa wajasilimali wadogo hapa Tz
Hii kampuni imekuwa ikitanabsisha kutoa ajira kwa vijana wetu wa kitanzania amabo kazi zao ni kusaidia kupata wateja wa kuwapa mikopo na mikopo hiyo Ina ya aina mbili
1.Mikopo ya vikundi
2. Mikopo binafsi
Changamoto wanayopitia...
Peculiar Enterprises Ltd. ni kampuni ya teknolojia inayobuni na kutengeneza mifumo ya kidijitali kwa makampuni, mashirika, taasisi na biashara zenye mahitaji ya kitaasisi.
Mbali na kuendesha mfumo unaosimamia zaidi ya biashara 20,000 Africa unaojulikana kama SmartBusiness, pia tunatengeneza...
Naandika waraka huu kwa masikitiko makubwa nikiwakilisha sauti za vijana wengi ambao wanapitia mateso na unyanyasaji ndani ya kampuni ya utoaji mikopo iitwayo Orbit Microfinance Services inayofanya shughuli zake Zanzibar.
Kampuni hii imekuwa ikiendesha utaratibu wa kuajiri vijana unaoambatana...
Anonymous
Thread
jinsi
kampunikampuni ya mikopo
mikopo
vijana
wafanyakazi
wake
Tuko mwaka 2026 jamani, lakini Kiwi shoe polish bado manatuuzia makopo yanayofunguliwa kama vile ni mtihani wa mwisho! 😂
Simu zimekuwa smart, magari yanajiendesha yenyewe, AI inafanya vitu vya ajabu… lakini huo mkebe wenu kufungua ni kama unafanya mtihani wa practical
Kwanini Kiwi msijaribu...
Magufuli kweli ni nyoko.
Aliwaondoa kabisa kwenye ramani hawa jamaa. Jamaal na Dioniz Malinzi ambao ndio walikuwa wamiliki wa kampuni ya clearing and forward iitwayo Cargo star.
Walitamba enzi hizo kabla ya Rais Magufuli kufuta na kufungia kampuni nyingi za clearing & forward.
Tangu wakati...
Hakikisha unawasilisha hesabu za kampuni yako kwenda TRA kabla ya 30 Juni 2026, tofauti na hapo kampuni yako itakuwa hatarini kulipa faini ya Tshs 300,000 kwa kila mwezi ambao hujawasilisha hesabu zako. Hii ni kwa mjibu wa kufungu 89 (1) ya Sheria ya usimamizi wa kodi (R.E 2023).
Epuka kuingiza...
Hii kampuni hipo siku na kama siku mtakuja kusikia wamefikishwa mahakamani nchini mwao kuhusu wao na serikali ya CCM.
Nacho furahi wenzetu hawa kurupuki wakija kukupeleka mahakamani A to Z wanazo.
Kampuni za Algeria zatafuta wabia wa biashara na uwekezaji Tanzania
Kampuni za Algeria zinazojishughulisha na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali zikiwemo za viwandani na kilimo zinatafuta wabia wa kufanya nazo biashara ya mazao na uwekezaji katika sekta ya viwanda nchini Tanzania.
Kampuni hizo...
Mwezi January mwaka huu 2026, kampuni ya mabasi ya mwendokasi MOFAT ilituma ombi kwa LATRA kwamba walikuwa wakipata hasara ruti ya Mbagala kutokana na uwepo wa bajaji, bodaboda na daladala. Sisi wa zamani tunakumbuka wakati wa zoezi la ubinafsishaji sekta ya benki, benki binafsi za nje walitaka...
Kama mnavyojua, linapokuja suala la miradi mikubwa ya miundombinu (mega projects) katika ukanda wetu wa Afrika Mashariki, mambo huwa hayaishi vituko. Baada ya kelele nyingi, migomo ya wafanyakazi, na kesi mahakamani zilizopelekea kufutwa kwa ule mkataba tata wa uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilituhakikishia kuwa hatua mbalimbali zilizochukuliwa zimepunguza kwa kiasi kikubwa, au hata kutokomeza, utapeli wa mtandaoni. Hata hivyo, uzoefu wangu binafsi unaonyesha taswira tofauti.
Katika kipindi cha miezi mitatu tu iliyopita, nimepokea jumbe nyingi...
Kenya walishawai kupata dili la Microsoft wafungue data center ila kampuni ili hitaji gigawati 1 ya umeme.wakat Kenya kwa wakati huo ilikuwa na uwezo wa kuzalisha takribani MW 3,000–3,200 tu.
Hapo ni kenya.
Leo hii unajiuliza maswali lukuki yanayokuumiza kichwa bila majibu, maswali kama;
1. Inakuwaje TRA wananiletea assessment za madeni ya riba na adhabu (Interest and penalties) wakati kampuni yangu haijaanza kazi?
2. Kwanini TRA wananisumbua kila mwaka wakinitaka kufile annual return wakati...
Kwa kuwa mchakato bado ujamalizika na wengine wakisubiri juwa la jioni kuweka misamahaa yao kwenye vitabu.
Kuna jambo mtakuja kubaki midomo wazi kuhusu META hii kampuni ya facebook na ubagazaji wa afrika kuficha maovu na nchi zinazo walipa mpaka urusi yupo,USA yupo,israel yupo,afrika ndio...
Ni either mimi hesabu za Kihasibu sijui au Hawa jamaa waheshimiwe!
Makala inaniambia kampuni la Marekani Apple, wenye iPhone, Mac, na iPads zao, wana net-worthy ya zaidi ya US$4.5 trillion tunavyoongea.
Hapo hapo budget yetu kwa mwaka ni US$24 billion.
Kwahiyo ukigawa hapo si kwamba Apple...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.