Luhamba II
Senior Member
- Mar 22, 2025
- 137
- 218
Habari mjasiriamali, kama wewe ni mmiliki wa Kampuni au unatarajia kufungua Kampuni haya ni mambo Matatu ambayo natamani uyajue mapema kuhusu Kampuni
1/3 Ni lazima ku file beneficial ownership ndani ya siku 30.
Beneficial owners ni watu wote ambao ni wanufaika wa Kampuni hata kama sio direct shareholders and directors kwenye Kampuni.
Taarifa zao zinatakiwa kujazwa mapema ndani ya siku 30 baada ya kumaliza usajili wa Kampuni.
2. Annual Returns
Kila Kampuni ni muhimu I file annual returns kila mwaka ikifika tarehe ya accounting au tarehe ambayo Kampuni ilisajiliwa.
Failure ya ku file ni penalties lakini pia huwezi kufanya mabadiliko yoyote ya Kampuni mpaka utakapo file annual returns
3. Shares
Wakati wa Kusajili Kampuni ni muhimu usichukue shares zote, baadhi ziachwe open kwa ajili ya shareholders wengine watakao kuja, hii inapunguza ukubwa wa processes zitakazo hitajika wakati wa kumpa share muwekezaji mpya.