Ni kweli kampuni za kubeti zinadhulumu wawekezaji?

Ni kweli kampuni za kubeti zinadhulumu wawekezaji?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,615
Reaction score
20,525
Nimesoma sehemu kuwa kampuni za kubeti zinadhulumu watu walioshinda pesa nyingi. Kuwa zinabadilisha betting. Kama uliweka timu fulani ishinde wao wanabadili kuwa uliweka ifungwe kwa hiyo wanachana mkeka ulioshinda. Ukiweka over na kushinda wanabadili kuwa under. Na wengine wanakufutia kabisa account. Yana ukweli? Kampuni gani zimenyooka?
 
Chai
 
Hiyo post umeitoa kule mtandao wa X jamaa amelalamika et kashinda mil 57 amefutiwa acc sasa kwanini asiireport gaming board.Mi naamini kwamba ni fix huwezi kushinda kiasi hicho cha fedha kisha ukashindwa kujua wapi pa kureport tatizo
Kuna wakenya nao huwa wanalalamika kubadilishiwa mikeka waliyoshinda.
 
Kukufilutia account sidhani na kuedit slip sidhani.
Ninachojua ni kuwa ukiwapiga pakubwa na ikagundulika una account Zaidi ya moja kwao hupati kitu
Mpaka wanakufungia akaunti wewe unakuwa huja-withdraw tu.
Na kwanini wasubirie mpaka ushinde kiwango kikubwa ndio hoja ya kuwa na akaunti zaidi ya moja iibuliwe
 
Back
Top Bottom