kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Huko ngorongoro kampuni ya uwindaji ya ortello ya UAE, je haihusiki?

    Huko Ngorongoro kuna wawekezaji wa kitalu cha uwindaji wa miaka mingi wanaitwa Ortello. Hii kampuni inahusisha vigogo wa kifalme wa falme za kiarabu. Inasemekana kigogo fulani wa ccm na serikalini wana maslahi na wamekua wanaibeba kampuni hiyo. Kila mwaka kunakuaga na kutangazisha vitalu ila...
  2. Je, kampuni Kemexon ya Ubelgiji ndiyo inayoiba mafuta na Gesi ya Mtwara?

    Salaam wakuu, Hivi karibuni tumeshuhudia Meli zikianza kubeba Makaa ya Mawe kutoka Mtwara. Watu wakadai Makaa ya Mawe Tanzania inayauza kwa kila tani moja ni Elfu sitini za kitanzania huku Soko la dunia kila tani ni Dola 300 zaidi ya laki saba za Kitanzania. Hivyo ikaonekana huu mkataba ni wa...
  3. Baba aliyepoteza binti mauaji ya Watoto 19 kuishtaki kampuni ya silaha iliyotumika kuua

    Baba wa mtoto wa miaka 10 aliyeuawa Texas katika shambulizi la lililoua watoto 19 na watu wazima wawili anataka kuishitaki Kampuni ya Daniel Defense ambayo silaha zake ndizo zilizotumika. Alfred Garza ameitaka kampuni hiyo itoe taarifa kuhusu utangazaji wa biashara zao kwa vijana na watoto...
  4. Namna ya kuwa mbia na kampuni za nje katika biashara huku ukitumia 'brand' yako

    Biashara yoyote ni ubunifu. Na si lazima mpaka uwe na mtaji mkubwa, ndio uweze kufanya biashara na kampuni za nje. Swali; utaanzaje anzaje? Muhimu sana huwa ni ubunifu wako; kichwa kifanye kazi yake. Itategemea wewe unataka uingie katika biashara ipi. Kwa anayeanza, anaweza kuanza hivi :-...
  5. Nape: Kampuni za simu acheni kutuma ujumbe ambao mteja hajaomba, hii tabia ikome

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye ametaka makampuni ya mawasiliano nchini kuacha mara moja tabia ya kuendelea kutuma ujumbe ambao wateja hawajaomba na kueleza kuwa kwa kufanya hivyo ni kuwapotezea muda wateja wao. Nape ametoa agizo hilo Mei 31, 2022 wakati...
  6. Kumekucha, Kafulila, Chongolo kula sahani moja na wahujumu Uchumi

    SIMIYU: KAMPUNI ZILIZOSAMBAZA DAWA FEKI ZA PAMBA KITANZANI Mkuu wa Mkoa Simiyu, Ndugu David Kafulila amesema timu aliyounda kuchunguza ukubwa wa tatizo la dawa feki za pamba itamaliza kazi siku ya Jumatatu, Juni5, 2022. Kafulila amesema hayo kufuatia malalamiko ya wakulima kuhusu bodi ya pamba...
  7. Je, unakwama kusajili kampuni au jina la biashara BRELA?

    Kama ni ndiyo basi DAY DREAMER TZ CONSULTANCY ni mkombozii Kwako. Sisi ni wazoefu wa masuala yote yakusajili biashara(kampuni au jina la biashara? kuanzia usajili hadi namna gani utaikuza biashara yako. Huduma zitolewazo 1. Kusajili kampuni 2. Kusajili jina la biashara 3. Kuandaa memorandum and...
  8. Pale katika kampuni unayotumikia unapokuta wamzifungia site za Movie ufanyeje?

    Nimejikuta siwezi kudownload movie kama nilivyozoea baada ya kufungia zile site za kudownload movie hata vpn niliyokuwa nikitumia wameipiga kitofa je wajuzi hapa tufanyeje kuruka kiunzi hiki ili maisha yaendelee??
  9. Fahamu kuhusu Kampuni za Mfukoni-Briefcase Corporations

    Habari za wakati huu; Je unajua kuwa biashara zote kubwa zilianza kama wazo? Je, unajua kwama biashara nyingi kubwa zilianza kama briefcase companies? Je, unajua kuwa biashara nyingi kubwa zilianza chini?Leo nataka nizungumze kuhusu Briefcase Companies na umuhimu wa kuwa na Kabiashara kako ka...
  10. L

    Benki Kuu ya Kenya yafungua jengo lililojengwa na kampuni ya China

    Benki kuu ya Kenya CBK imefungua jengo lililojengwa na kampuni ya China (CBK Pension Towers), ambalo liko katika kitovu cha Nairobi, nchini Kenya. Kampuni ya ujenzi ya Wu Yi ya China imejenga jengo hilo la kisasa ambalo lina majengo marefu pacha yenye urefu wa mita 110. Jengo hilo lina sehemu...
  11. Afanya kazi miaka 84 (tangu 1938) katika kampuni moja

    Kutana na Walter mpaka Guinness world record wamemtambua.
  12. L

    Ofisa wa Ethiopia apongeza kampuni za China kwa kutekeleza majukumu ya kijamii

    Serikali ya Ethiopia imepongeza kampuni za China kwa juhudi zao za kutekeleza majukumu ya kijamii nchini humo. Taarifa hiyo imetolewa na naibu meya wa Addis Ababa Bw. Yasmin Wohabrebbi kwenye hafla ya kukamilika kwa ujenzi wa barabara ya Mekanisa Abo. Mradi huu umefadhiliwa na kujengwa na...
  13. L

    Kampuni ya China yazindua mfuko wa maendeleo kusaidia jamii nchini Sierra Leone

    Kampuni moja ya uchimbaji madini ya China jana ilitangaza kuzindua mfuko wa maendeleo ya kijamii ili kusaidia kuhimiza maendeleo ya jamii nchini Sierra Leone. Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na kampuni ya Leone Rock Metal, kampuni hiyo itachukua asilimia 1 ya mapato yake ya kila mwaka kwenye...
  14. Waziri Bashe amkosoa Mpina, amtaka alete kampuni inayouza mbolea kwa bei rahisi

    Dodoma. Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amemcharukia Waziri wa zamani wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina ambapo amesema ni hatari kwa mbunge wa muda mrefu kuupotosha umma. Mpina wakati akichangia mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka 2022/2023 bungeni leo...
  15. Sehemu kubwa ya pesa inaenda USA na simu ni kampuni ya China

    Hesabu ziko HIVI; ukinunuwa SIMU yeyote iliyotengezwa china kama Tecno, Itel, Huawei, Redmi, sumsung, etc,etc sehemu kubwa ya hela INAENDA USA. Kwa Nini? SIMU zetu Zina hardware na software, yaani program kama fb, Whatsapp, Twitter, etc,etc. Sehemu kubwa ya hizo software ni makampuni ya USA...
  16. Kampuni hii itaajiri Wakenya 4,000 pindi tu ujenzi wa ofisi yake utakapokamilika

    Kuna hii kampuni ya call centre na BPO inayojenga headquarters yake Kenya ndani ya Tatu city. Ujenzi utakapokamilika, wataajiri Wakenya 4,000 kufanya kazi ya call centre na BPO. Biashara hii ya BPO India na Phillipines ndio zimedominate. ========= CCI Global, the largest international...
  17. J

    CHADEMA mnapenda Namba lakini hamjui Hesabu

    Wazungu husema hivi "Once is an accident, Twice is a Coincidence, but Thrice is a Pattern". Hizi namba zipo kamili kama hesabu za hela? CHADEMA mnapenda namba lakini hamjui hesabu.
  18. Kampuni ya Silverlands Tanzania miongoni mwa kampuni zinazokuwa kwa kasi Afrika

    London, 3 Mei 2022 Ripoti ya utafiti ya ‘Financial Times’ imeitaja Kampuni ya Silverlands Tanzania kuwa ni miongoni mwa kampuni zinazokuwa kwa kasi barani Afrika. Ripoti hiyo imezitaja jumla ya kampuni bora 75 barani Afrika kwa kuzingatia vigezo vya ukuaji mkubwa wa mapato kati ya mwaka 2017...
  19. Kampuni Shell yatangaza faida ya Dola Bilioni 9 kwa miezi 3 Iliyopita

    Ni wazi kabisa kupanda kwa bei ya mafuta ni makampuni yanayoagiza mafuta yameamua kupandisha bei wala suala hili halihusiani na vita vya Ukraine ni muhimu kwa serikali kuangalia huu mfumo wa uagizaji kwa Bulk. Ikumbukwe wakati wa serikali ya awamu ya 3 mfumo huu wa kuagiza mafuta kwa (Bulk)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…