Mimi ni mpenzi sana wa movie za wazungu napenda sana kuangalia..
Toka utoto wangu nilikua nikishika remote lazima nipitie chaneel za kizungu kuangalia kama kutakua na movie nzuri niangalia,
Nilipofika darasa la saba, nilianza kuangalia kila movie anayoitoa Dj Afro, jamaa ni anajua na siku zote...