kali

  1. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Naomba tupate maelezo ya kina ya kisayansi, hivi inakuwaje mtu anashangilia na kupata furaha kali pale nchi yake au wenzake wanapopata matatizo?

    Mfano hai kabisa ambao nimeshuhudia kwa macho yangu mitaani na pia katika mitandao, ni ile hamu na shauku waliyokuwa nayo baadhi ya waTz kuona ugonjwa wa Corona ukiingia Tz, na unamuona kabisa mtu huyo anaumia kila walipoambiwa kuwa ugonjwa bado haujafika. Ile siku yule dada wa huko Kaskazini...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Watoa huduma za afya wasikimbie wagonjwa, sio kila homa kali ni Corona

    Waziri wa Afya wa Tanzania, Ummy Mwalimu amesema watoa huduma wa sekta ya afya hawatakiwi kuwakimbia wagonjwa na badala yake, wanatakiwa kuzingatia Kanuni za Udhibiti wa Maambukizi katika kutoa Huduma (IPC). Ummy amesema sio kila homa kali au kikohozi ni CoronaVirus hivyo watoa huduma...
  3. technically

    JamiiForums Tanzania Ukiutazama Utawala wa Rais Magufuli kwa upande mwingine unatoa somo kali sana

    Mwigulu Nchemba wakati ni Waziri wa Mambo ya Ndani nilitoka nikamshutumu waziwazi kupotea kwa Ben Saanane, Mauaji Soweto na kuuawa kwa Police wetu kule Mbagala ila alianzisha uzi humu kunishambulia kwamba hakuna ninachokijua ila kama angejiongeza angejiuzulu kuliko kungoja kutimuliwa kama mbwa...
  4. Superbug

    JamiiForums Tanzania Getamycine aja na kali (mrithi mwandamizi wa upumbavu Tanzania)

    Gwiji la makeke hapa jamiiforums limekuja na msemo mpya unaosema MRITHI MWANDAMIZI WA UPUMBAVU TANZANIA) Hebu fikiria Mambo ambayo ukiyafanya unakuwa MRITHI MWANDAMIZI WA UPUMBAVU TANZANIA Mfano Serikali inapiga kelele kuhusu korona wewe hujali as if HAKUNA kitu ukiwa hivyo ujue wewe ni...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Nimeamka na homa kali

    Nimejaa na wasiwasi wakuu, Jana jioni nilianza kama dalili za mafua leo asubuhi nimeamka na homa kabisa, ila mafua yapo kwa mbaali. moyo umetanda hofu kwa kweli
  6. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Ipi Filamu/Tamthilia Kali?

    Habari za time hii wanabidi Naombeni kujuzwa zipi filam au series Kali za 1/kibongo 2/kifilipino 3/kihindi Mm sinaga time na hii mambo sema kuna demu namzimia kila time anataka nimtaftie muviie Kali naombeni msaada
  7. H

    JamiiForums Tanzania Prison break vs 24 ipi kali?

    Tuambie Kati ya hizo series ipi kwako ni Kali na sababu zipi kwako unaona moja yapo ni Kali zaidi nyingine?
  8. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Nadhani watu wanaotaka kuleta taharuki ya tetesi za Lockdown nchi nzima wakamatwe na kuchukuliwa hatua kali za kisheria

    Yaani jitu kisa limeweza kuafford kununua smartphone na kuweka bando basi linatiririka tu tetesi za ajabu ajabu anazojitungia kichwani kwake bila kufikiria Impact yake, eti kwamba kuna total lockdown hivyo kila mtu ajaze mahitaji yake ndani! Jamani, hivi hayo mahitaji ya mwezi mzima huko...
  9. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Mkali wa "Imekaa Vibaya" Msanii Kali P?

  10. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mali: Wapiganaji wa itikadi kali wawaua wanajeshi 29

    Wanamgambo wanaosemekana kuwa ni waisalamu wenye itikadi kali wamewauwa wanajeshi 29 na kuwajeruhi 5 huko Mali, walipoivamia kambi ya jeshi iliyoko kaskazini mashariki, Machi 19, 2020 Jeshi la Mali limekuwa likipata mashambulizi ya mara kwa mara kutoka kwa waislamu wenye itikadi kali ambao wana...
  11. Hero

    JamiiForums Tanzania Hebu tujuane tuliokumbwa na homa kali ilioambatana ni kikohozi na hata kushindwa kupumua katika mwezi 1 uliopita na tuelezane tulifanyaje

    Wiki 2 zilizopita yalinikuta hayo, nilipata homa kali sana iliambatana na kikohozi na koo kuuma. Pia kushindwa kupumua vizuri ikiambatana na kuchoka! Kwa mara ya kwanza katika miaka zaidi ya 15 nililala kitandani siku mbili, pumu si pumu, mafua si mafua, joto mpaka wife alikuwa ananipoza kwa...
  12. uran

    JamiiForums Tanzania Samsung A30s na Tecno Camon 12 pro. Simu ipi kali?

    Wakuu kati ya hayo matoleo mawili hapo, simu gani ni kali zaidi?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Upepo mkali jijini Dar usiku wa kuamkia Machi 1, 2020

    Wana bodi usiku huu huku maeneo ya Bunju kuna upepo mkali sana unavuma, labda pengine utakuja na mvua unavuma sana kiasi cha kuhamisha hadi vitu kama vikombe vya plastiki, vyombo vya udongo, viti vya plastiki! Upepo ni mkali.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Arusha: Kamanda wa Polisi ACP Shana ampa onyo Godbless Lema kuhusu picha za barabara mbovu

    February 17, 2020 Katazo la kupiga picha mbugani Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha, ACP Jonathan Shana atoa tamko kali la onyo huku akigonga mimbari ya press conference wakati akijibu maoni ya Mh. Godbless Lema mbunge wa Arusha mjini kuhusu picha za barabara mbovu za mbuga zilizopo nchini...
  15. Samedi Amba

    JamiiForums Tanzania Kati ya AliBaba na Amazon, nani mkali Bongo?

    Juzi nilikuwa mtandaoni, nikastumble upon uzi unaolinganisha Alibaba na Amazon. Nikaona jinsi ambavyo wanaendana bega kwa bega kwa vitu vingi tu. Tukizingatia pia kuwa watanzania wengi wanaelekea Mashariki china dubai nk kununua vitu. Lakini swali linabaki, kati ya hawa magwiji wawili, nani...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Kati ya hizi Nyimbo za Diamond alizowaimbia Zari na Wema, zipi zilikuwa Kali, je ndo alipendwa zaidi

    Katika maisha ya mapenzi ya Diamond amekuwa akiimba nyimbo kali na za hisia hasa anapokuwa katika mahusiano. Kati ya wapenzi wake wawili tu ndo wameimbiwa nyimbo nyingi, yaani wema na zari. Sasa kwa kucheki ni collection ipi Ina nyimbo kali tunaweza jua nani alikuwa anapendwa zaidi akatungiwa...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Watu 46 wafariki kafuatia maporomoko ya ardhi yalaiosababishwa ba mvua kali Brazil

    Mvua kali zilizonyesha nchini Brazil zimepelekea maporomoko ya ardhi ambayo yamesababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu. Watu 46 wafariki katika maporomoko ya ardhi yaliosababishwa na mvua kali zilizonyesha nchini Brazil. Kiongozi wa kitengo kinachohusikana na usalama wa rais katika eneo la...
  18. Cobra70

    JamiiForums Tanzania Serikali iwapeleke A Level shule za vipaji maalumu wanafunzi waliopata division one kali kutoka shule za kata kwanza baadae za private

    Namaanisha mwanafunzi mwenye division one kutoka shule ya kata ni hazina ya taifa kama ataendelezwa kikamilifu. Hii ni kwa sababu anaweza kutumia mazingira magumu kama changamoto na changamoto hiyo anaitatua kikamilifu na kwa usahihi sana hivyo IQ yake ni kubwa mno tofauti na wa mazingira...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Nchi zenye speed kali ya internet duniani

    Singapore ndio nchi yenye speed kali ya internet ina wastani wa 60.39Mbps. Taarifa hizi zilikusanya na M-Lab, ikiwa ni ushikiano wa New America's Open Technology Institute, Google Open Source Research, Princeton University's PlanetLab na wabia wengine, Kumi bora ya Nchi kumi zenye speed ni: 1...
  20. blogger

    JamiiForums Tanzania Weka hapa ngoma yako moja kali ya mapenzi na tueleze kwanini hiyo

    The secret behind this song is that it's Big.. Biiig! Wimbo huu nilimsikilizisha my girl back in 2006. Hakuwa shabiki wa muziki kihivyyo, kama mnavyokumbuka miaka hiyo. Niliandika hizo lyrics nikamtumia kwa karatasi. Nitaendelea kuwapa what happened. Story hii ni ndefu ila nashukuru wimbo...
Back
Top Bottom