kali

  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Vita ya Tundu Lissu vs Magufuli na Vita ya Kambona vs Nyerere, ipi Kali?

    Jaribio la mapinduzi la mwaka 1964 lilihusishwa kwa sehemu kubwa na Oscar Kambona. Hapa wakituhumiwa Kambona na Lusinde kuvunja kitengo maalum cha intelijensia kilichoitwa SPECIAL BRANCH na kujaza UVCCM (wakati huo TYL) 1 ambao hawakuwa na mafunzo na ujuzi wowote hivyo kukwamisha upatikanaji wa...
  2. luangalila

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Mikocheni, poleni kwa Mvua

    Habarini za Usiku, Mvua zinazo shambulia Jiji la DSM linashambulia mitaa mbali mbali ya jiji, leo nilipita mitaa ya MIKOCHENI kwa WARIOBA nilichokishuhudia pale leo ni wazi serikali inapaswa ichukue jambo Leo kwa warioba kuna bajaji ilisombwa na maji kutoka barabarani ikapelekwa ng'ambo ya...
  3. GLOBAL CITIZEN

    JamiiForums Tanzania Pesa bhana, kama Mwanamke Mzuri vile (Pisi Kali) usipompa attention anakukimbia

    Kwanza kabisa napenda kuwasalimu Jf family. Ni tumaini langu u buheri wa afya. Kama sivyo nakuombea upate afya njema ili uendelee na kazi zako zakusaka noti. Leo nataka nikuonyeshe jambo kuhusu pesa na pengine itakusaidia kubadili fikra zako vile unavyoiwazia pesa. Kwa wanaosoma nyuzi...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Hili ndio litakua hiphop kali na lenye beat funiko mwaka 2020

    Haina ubishi wakuu hakika hili ndio litakua hiphop kali na lenye beat funiko mwaka 2020. Beat lake tu ni hatari. Kama una sabufa lako jirani hapo jaribu kuconnect utasikia bonge la dundo.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Hili ndio song kali kuliko masong yote Tanzania kwasasa

    Wakuu kiukweli tukubali tukatae hili ndio song Kali kuliko yote Tanzania kwasasa. Ukilitizama hili song unatamani uendelee kutazama tu.
  6. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 IGP Simon Sirro, mchukulie hatua kali OCD wilaya ya Hai

    Ni wazi kabisa kwamba huyu OCD amelichafua na kulidhalilisha kwa kiasi kikubwa sana Jeshi la polisi nchini. Haiwezekani kiongozi ambaye ni well trained kwenye maduka ya kijeshi anaongea ujinga kiasi hicho. Polisi ni kazi ya shurba siku zote, ukitaka kuifanya upendavyo wewe utamaliza watu. Ni...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Ramani kali ya nyumba ya kuishi

    Habari za leo wakuu, Kama nilivyo ahidi kwamba bado naendelea na mradi wa uchoraji wa ramani. Ambapo nimefanikiwa kuchora ramani za nyumba 20 mpaka sasa. Na hii ni moja ya nyumba moja ambayo naendelea kuipamba zaidi.
  8. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii kali bandugu - Kenya Institute of Curriculum Development, TSC, Microsoft and Safaricom to train teachers on digital skills

    What you need to know: The partnership also includes Safaricom that has offered education bundles to teachers and learners. Last week, KICD council appointed a new director, Prof Charles Ong’ondo, an academic from Moi University. The national curriculum regulator is rolling out a digital...
  9. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Tanzanian Opposition Press for Single Presidential Candidate

    Tanzania’s biggest opposition parties will proceed with plans to name a single presidential candidate for elections later this month, even as the country’s electoral body temporarily barred their most likely flag bearer from campaigning Wakuu kama mnavyojua Bloomberg ni chombo cha habari...
  10. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dar: Jeshi la Polisi lasitisha wito wake kwa Tundu Lissu, lamtaka aendelee na Kampeni zake

    Mambosasa: Polisi tumesitisha kumuita Tundu Lissu, tunamtaka aendelee na Kampeni zake Baada ya mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu, kukataa kuitikia wito uliotolewa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, uliotolewa jana ukimtaka...
  11. B

    JamiiForums Tanzania WAZEE WA CHAMA CHA CHADEMA WATOA ONYO KALI KWA SERIKALI YA MAGUFULI NA JESHI

    30 September 2020 WAZEE WA CHAMA CHA CHADEMA WATOA ONYO KALI KWA SERIKALI YA MAGUFULI NA JESHI Huu wa Uchaguzi Mkuu 2020 vyama vimeamua kusimama kidete na kusema basi dhidi ya chama-dola cha CCM Mpya kinachotumia Tume ya Uchaguzi, Wasimamizi wa Uchaguzi na vyombo vingine vya dola kujaribu...
  12. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 John Magufuli wa CCM anakiuka sheria ya maadili ya uchaguzi waziwazi. Naziomba jumuiya za kimataifa zimchukulie hatua kali sana

    Mimi ni muumini wa usawa kwenye uchaguzi. Tumeshuhudia huko duniani mamlaka zikiingia kwenye uchaguzi mkuu huku wakijitahidi kuweka usawa. Kwa Tanzania mwaka huu tumefeli na tunajichafua kwelikweli. Sasa basi, kabla taifa zima halijachafuliwa kutokana na huu upuuzi anaoleta mgombea aa CCM...
  13. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu iliwakataa hawa watu, Mahakama ya Rufaa ikarudisha kwa rufaa ya Mwanasheria Mkuu. Hivi Mwanasheria Mkuu ana jicho kali la kisheria?

    Kesi ilifunguliwa mahakama kuu kukataa wakurugenzi wa halmashauri ambao ni wateule wa Rais na baadhi yao wakiwa makada wa CCM kuwa wasimamizi wa uchaguzi mkuu. Mahakama kuu iliona kuwa hawana sifa ya kuwa wasimamizi. Mwanasheria mkuu wa serikali alikata rufaa kwa madai kuwa wanakula kiapo, hivyo...
  14. A

    JamiiForums Tanzania INAUZWA T shirt Kali za Mtumba

    Jipatie T shirt Kali za Mtumba Kwa ubora wa hali ya juu na bei nafuu..zinapatikana dar Kwa bei ya Tsh 20,000..call/what's up 0744002351
  15. trust 1

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Ofa baab kubwa: T-shirt kali zinauzwa kwa bei nafuu

    Ofa ofa ofa T-shirt kali zinauzwa kwa bei nafuu, bei karibu na bure, Kuanzia 5-10 bei ni Tsh 6900 . 11-30 bei ni Tsh 6600 . 31 + bei ni Tsh 6400 Mkoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa sana Wahi ofa hii mapema kabla mzigo haujaisha Kwa mawasiliano zaidi ## 0715477041
  16. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gov’t allocates Ksh.1.9 billion for purchase of school desks from jua kali artisans

    The Government has allocated Ksh.1.9 billion for the purchase of locally assembled desks to both public primary and secondary schools. In a notice published in the local dailies on Tuesday, the Ministry of Education invited interested local juakali workshops and artisans to apply for the job to...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop kali sana core i5 Dell inauzwa

    p
  18. Dam55

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa CHADEMA ndio kundi la watu wenye hasira sana kwa sasa

    Wafuasi na wapenzi wa CHADEMA. Kwa maoni yangu binafsi kwasasa hapa nchini wafuasi na wapenzi wa CHADEMA ndio kundi la watu wenye Hasira kali zaidi. Watu hawa wamegawanyika sehemu mbili 1: Tabaka la Uongozi wa CHADEMA. Viongozi wa hiki chama ni watu wenye Hasira kali Sana, Chuki, husuda...
  19. olele

    JamiiForums Tanzania Matangazo (advertisement) makali ya kwenye TV

    Tangazo la coca cola kwenye kombe la dunia la mwaka 2010 (sina hakika sana) Jamaa (mchepuko) yuko ndani na mke wa mtu, mwenye mke karudi ghafla, akajificha kwenye kabati la nguo, mwenye mke akakaa chumbani anaangalia mpira, Goli limefungwa jamaa akaanza kushangilia, mara gafla anaona mtu...
  20. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Mabinti wanaoikaribia 30 wana kiu kali ya ndoa

    Mabinti ambao wako Dakika za majeruhi wanakaribia kuinusa miaka 30 wana kiu kali ya ndoa, ukiwa naye kimahusiano hata kama mahusiano mabichi yana wiki mbili ataanza kauli za kuhusu ndoa, wako desperate sana. Yuko tayari kukupiga hata limbwata akuteke.
Back
Top Bottom