kali

  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mashabikiwa wataka TFF waombe radhi na kuwarudishiwa Viingilio vya Mchezo wa Simba na Yanga ulioahirishwa

    Pisi kali huwa inakupa uhakika wa kuja mpaka mida ya kukaribia. Halafu dakika za mwisho kabisa inazingua bila kutoa sababu au kutoa sababu za kijinga. TFF walitupa uhakika wiki nzima mpaka leo asubuhi kuelelea mchana. Imekuja kuzingua dakika za majeruhi na haijatoa sababu kabisaaaaa. Pisi...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Haijawahi kutokea rap song kali Afrika kama ya Father Nelly

    Nimesikiliza hip hop zooote Tanzania,hakuna rap kali kama hii ngoma ya Fr Nelly. Huwa naiskiza mara moja kwa wiki kuitoa kasoro bado sijafanikiwa huu mwaka wa 3.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Meli mbili Ziwa Nyasa zakumbwa na dhoruba kali

    3 May 2021 Matema Beach, Tanzania MELI ZA TANZANIA ZAKUMBWA NA DHORUBA KALI KTK ZIWA NYASA Kutoka Ziwa Nyasa meli mbili zinazomilikiwa na Mamlaka ya Bandari ya Tanzania zimekumbana na dhoruba kali inayoambatana na mvua kubwa. Meli ya abiria MV Mbeya II imepigwa na mawimbi makali jioni hii...
  4. Surya

    JamiiForums Tanzania Jamani wengine tuna hisia kali

    Kuna tukio leo limenitokea. ngoja nisimulie hapa nipate kujua kiundani, nimefanyiwa makusudi au bila kujua. Leo mida ya jioni nilikua maeneo fulani kitaa nipo na washikaji zangu tunapiga story, ilikua nje ya ukumbi wa Games (PlayStation) tulikua watatu tunapiga story tumekaa kwenye bench na...
  5. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Stereo Singasinga album yako kali sana, inabidi ujiongeze

    Moja kati ya wasanii wachache wa Hiphop nchi hii naoweza kukaa na kuwasikiliza ni Stereo aka Singasinga aka Chundabadi. Katoa album kali sana inaitwa Experience, naweza sema ni kati ya album kali sana za Hiphop ya kizazi hiki. Nachoshangaa ukienda YouTube hakuna wimbo uliofikisha views 100...
  6. Mlolongo

    JamiiForums Tanzania Kariakoo: Nimenunua Raba kali kinoma kwa 15,000/=. Madukani huwa naona zinauzwa 70,000/=

    Kariakoo baba lao. Nilikua nimeenda kununua Tende pale Msimbazi msikiti wa Idrisa kwa ajili ya iftar (kufuturisha). Sasa wakat naondoka nikapita mitaa ya katikati mule, nikaona meza moja Raba kali kinoma, zile wanaziiitaga Air Jordan, Nike, NBA snickers. Kuulizia bei zake akaanzia 20,000...
  7. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Majina ya movie kali

    Habari za weekend wakuu. Bila kupoteza mda naomba kujulishwa majina ya movie kali hasa zinazoelezea historia ya kweli either ya mapinduzi au historia tu ya kitu fulani.Pia naomba kujulishwa movie gani kali za kivita au ngumi. ASANTENI SANA. NB: MOVIE ZA KIJASUSI NAPENDA ZAIDI.
  8. IBRA wa PILI

    JamiiForums Tanzania Wale wapenda series tuje tupeane series kali za kutizama bila kuchosha jicho kwa kioo bila kupepesa

    Wakali wa series mje na vyuma vikali vya moto hapa jf amkosekani tupeane. Izo chini nsha zicheki ziko poa sana na binafsi nazielewa za mtindo huo zenye mwendelezo na sio za kuunga matukio kama 24 hrs.mseries za action kama izo na upelelez wa kusaka wahalifu like prison break hua zina nikosha...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Jay amekiri kuwa msoto ni mkali nje ya uheshimiwa, atangaza kurudi na albamu kali

    Prof. J. Mzee wa Mitulinga leo ndani ya 360 amekili kurudi mchangani alikotoka baada ya kuiambia 360 kuwa mashabiki wake wakae mkao wa kula kwani zile singo zilikuwa cha mtoto. Profesa huyo ambaye hata historia yake ya shule haijulikani vizuri kama aliishia fomu foo au wapi amejinasibu kuleta...
  10. EJOSMAT

    JamiiForums Tanzania Mtindo mpya wa ujenzi Tanzania hiden roof (contempolary)

    Contempo.(hiden roof) ni mtindo mpya wa ujenzi wa nyumba Tanzania lakini wengi wanaishia kupata hasara kwasababu wanajenga bila kua na michoro ya kitaalamu hivyo zinaishia kuvuja. Ili ujenge mtindo huu unatakiwa kwanza kuwasiliana na wataalamu wa ramani wakuandalie mchoro hutapata shida...
  11. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Hii ni kali sana...

    Sitaki kuamini kuwa mnyama anaweza kuwa na kiwango kikubwa cha akili kiasi hiki!Pure science
  12. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Mtoto amekua, kawa pisi kali

    Naona binti huyu amekuwa sijui Rayvany mla watoto hajamuona. Hivi anafanya mishe gani huyu mtoto kwa sasa. Ni binti ambaye hana skendo za kipumbavu kama wenzake
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC mlimpenda sana Rage alipokuwa akiinanga Simba SC, sasa na Leo kuweni pia Wavumilivu tu kwa hizi ' Sindano Dozi ' zake Kali Kwenu

    " Ni Tanzania tu TFF ndiyo imekuwa wapole ila kwa Kitendo alichofanya Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC Fredrick Mwakalebela huku akijua tena Kikanuni tu the right channels za Kupeleka Malalamiko yake Hukumu aliyopewa ni halali yake kabisa * " Kitendo cha Uongozi wa Yanga SC kujitokeza Kumtetea...
  14. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Lawd hamercy!! This can’t be!!

    Is this really real or my mind is playing tricks on me? Everyone involved in this phuckery got to go.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ampa onyo Waziri wa OR-TAMISEMI, Selemani Jafo

    Mh. Rais amesema Wizara ya Tamisemi ina matumizi ya ovyo ya pesa za Serikali, yenyewe haikusanyi ni mwendo wa matumizi kwa kwenda mbele hivyo kamwagiza Waziri Jafo afuatilie vizuri matumizi ya wizara yake na kama akishindwa Basi asaidiwe(atumbuliwe) Ushauri. Mh Seleman Jafo jipange...
  16. music mimi

    JamiiForums Tanzania Nyimbo kali ambazo hazikupewa nafasi katika mainstream media

    Nakutajia baadhi ya nyimbo kali ambazo zilistahili kuwa kubwa lakini hazikupewa nafasi kwenye mainstream. All my love - Ryan Leslie Never die- DJ Drama Going down- DJ Drama Hiphop - DJ Khalid All aboard- Romeo Santos ft Lil Wayne Not that simple - Mike Posner Reminded - Tyga ft Adele...
  17. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya vyombo vya habari vya nchi jirani vinaeneza uongo, vichukuliwe hatua Kali

    Magazeti ya nchi moja jirani yanaandika habari za uongo na kusababisha taharuki, naomba mamlaka zinazohusika zichukue hatua stahiki. Mfano People Daily online hasa la leo. Ni wakati mzuri Sasa Watanzania tushikamane kuitetea nchi yetu.
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Tafakari: Vita Kali Tanzania vs Mabeberu

    Katika ulimwengu huu uliostaarabika Mabeberu wametengeneza magari, ndege, meli, Traini, pikipiki mpaka baiskeli. Mabeberu wametengeneza simu za Kila aina, mitandao ya Kila aina , yahoo, google, tweeter, Facebook..Instagram,telegram,viber, Skype , zoom , Microsoft teams nk Hii yote ni kupata...
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Asikwambie mtu, tendo baada ya kumsamehe au kusamehewa na mpenzi wako baada ya ugomvi huwa linakuwa na hisia kali sana

    Unakuta basi mmegombana huko na mpenzi wako full kununiana hata simu hazipokelewi na ukifika home hamuongeleshani zaidi ya salam. Sasa siku ya siku umeamua kuomba msamaha au mpenzi wako kakuomba msamaha, hapo mara nyingi mtakumbatiana na kifuatacho huwa ni tendo. Yani hapo..... Hebu tiririkeni
  20. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Twende kazi: Ipi gari kali kati ya "Toyota IST" vs "Toyota Alex"

    Wakuu kama unataka kuvuta chuma ambacho kipo vizuri kwenye barabara kati ya toyota ALEX na IST, ipi ya kununua wakuu? Toyota IST Toyota Alex
Back
Top Bottom