kali

  1. Kibenje KK

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nyumba kali sana na furniture zake, Iko Bunju. Inauzwa

    Nyumba inauzwa bunju A Ina vyumba vitatu sitting room dining room kitchen store public toilet Uwanja ni sqm700 Inauzwa pamoja na fenicha zake ndani. Bei 150m 0762815104
  2. Merci

    JamiiForums Tanzania Angalia pambano kali la ndondi (Boxing) kati ya Canelo Alvare vs Caleb Plant

    Wale wapenzi wa boxing unaweza kuangalia sasa pambano la Canelo vs Plant kupitia link hii Boxing : Canelo Alvare vs Caleb Plant - HesGoal.Com Sports News
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Belarus: Serikali yaainisha chaneli maarufu za Upinzani kama Mashirika yenye itikadi kali

    Serikali imeainisha chaneli tatu maarufu za Upinzani Mitandaoni kama Mashirika yenye itikadi kali, ikimaanisha watu wanaweza kufungwa jela kwa hadi miaka saba kwa kujisajili. Chaneli katika Mitandao ya Kijamii zilitumika kwa wingi katika kuandaa maandamano makubwa dhidi ya Rais Alexander...
  4. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Natamani simu kali zisiwekwe kioo mbele na nyuma

    Siku hizi simu zote za ghali utakuta zina material ya kioo nyuma (battery cover). Hii ni kwa simu zote kuanzia iphone 8, samsung s8 kwenda mbele zote mfuniko wa nyuma ni kioo. Kwangu mimi naona kuweka kioo nyuma ya simu ni wazo la hovyo kwa sababu zifuatazo; 1. Kioo kinateleza. Simu yenye kioo...
  5. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Mtanzania anamkagua vizuri zaidi mbuzi wa kuchinjwa kesho kuliko anavyomkagua kiongozi atakayemtumikia kwa miaka 5

    Sikiliza…..
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania UN: Waafrika milioni 118 watakabiliwa na ukame, mafuriko na joto kali ifikapo 2030

    Umoja wa Mataifa(UN) umetahadharisha kuhusu mabadiliko ya Tabia Nchi ambayo yanahatarisha maisha waafrika milioni 118 ambao ni masikini wanaoishi chini ya dola 1.9. Imekadiriwa kufikia 2030 watu milioni 118 watakabiliwa na ukame, mafuriko na joto kali kama hatua za makusudi hazitachukuliwa...
  7. MTV MBONGO

    JamiiForums Tanzania Jamani Crown Athlete ni kali

    Hii gari ni TAMU na inakimbia
  8. K

    JamiiForums Tanzania Sheria kali za Ndugu zetu Taliban

    Wadau, hivi karibuni Taliban wameweka sheria Kali kwa wanaume. Hawaruhusiwi kunyoa ndevu. Sasa namna gani kwetu sisi Mayakhe ambao hatujajaaaliwa ndevu? Nchi hiyo tutaishije? Twaruhusiwa kuweka za bandia atiii?
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kama mke wako ni pisi Kali na anafanya kazi kwenye makao makuu ya halmashauri au kwa DC nakuapia wale vijana wa idara pendwa wakimtaka hachomoi

    Wale vijana kwenye ile idara kwanza ni wapole na sio wazungumzaji Sana Ila vikao vyote top vya DC au DED wanakuwepo. Na huwa hawaongei Sana ni wakimya Ila wenye nguvu za kimamlaka hatari. Kama mke ni pis Kali wakimtaka watamla tuuuu huwezi bisha. Kwanza wanafahamika kwa uwazi kutokana na...
  10. 2019

    JamiiForums Tanzania Hawa ni maDj wa Kenya wanaokimbiza sana Tanzania kwa mix kali

    Kwenye simu yangu sina mix hata moja ya dj wa kitanzania,sijawahi kupata. Madj maarufu wa kenya na wakali hawa hapa. 1. Dj Prince 2. Dj Perez 3. Dj Shinsk 4. Dj Layta Huwezi kukuta mtanzania ana mix yeyote ulakosaajina ya hawa jamaa. Ni wakali sana. Kuna jamaa mmoja anajiita mc fullstop...
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Biblia imetamka laana Kali sana kwa wanaofanya Ibada za mwenge

    Mwenge ni mungu wa Tanzania Ndio maana wanamuomba alete Amani na kuna sala maalum huitwa sala ya mwenge. Hebu tuone kitabu cha Isaya 50:11 unavyosema. Kumbe ndio maana tuna utajiri mkubwa wa rasilimali na mali zetu zinaliwa kirahisi na wageni
  12. F

    JamiiForums Tanzania Mchumba wa Nikki wa Pili awa best student kwenye CPA...

    Pisi kali with brain inapendeza sana. Wale wa tuma na ya kutolea jifunzeni kwa mwenzenu. Mitihani ya CPA sio ishu ndogo. Mrembo anastahili pongezi
  13. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ile pisi ni kali imenifanya mpaka niunde business card

    Mpaka sasa najiuliza hivi ni mimi kweli nimefikia hatua ya kupelekwa puta na pisi. Wakuu nipo Mwanza kuna pisi moja matata rangi nyeupe imenipiga ganzi nikienda kupata huduma kwenye moja ya taasisi za fedha hapa Mwanza. Mara ya kwanza nimeenda pale hakukuwa na foleni kubwa kwa hiyo nikapata...
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Siri ya pipi kifua kwenye mapenzi ya unyonyaji

    Kwenye mapenzi ubunifu hauishi, hata hatujamalizana vizuri na utundu wa kufinyiwa kwa ndani (utalia kama mtoto 😁), Lishaibuka jipya saizi kuna utundu mpya umebuniwa. Pipi Hizi hutumika pale wapenzi wanaponyonyana mdomoni (denda) au mmoja wao anapomnyonya mwenzake sehemu zile (wanawake wanaimbia...
  15. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kali ya mwaka; Kenya Overtakes US as World Leader in Crypto Trade

    Tuko front kwenye yote na vyote, chochote kinachohusu matumizi ya ubongo. Kenya has emerged among countries to watch globally after a report by Chainalysis ranked it top in peer to peer (P2P) cryptocurrency trading. The report published on August 18, indicated that Kenya was the leading...
  16. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Jezi ipi kali kati ya Simba na Yanga?

    Jezi ipi kali kati ya Simba na ile ya Yanga kwa msimu huu 2021/22
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TMA yatabiri joto kali na ukame

    MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema kuna uwezekano mkubwa wa kutokea kwa ukame kutokana upungufu mvua unaotarajiwa kutokea katika kipindi cha mvua za vuli zinazotarajiwa kuanza kunyesha hivi karibuni. Imebainishwa kuwa katika kipindi cha mvua za Oktoba hadi Desemba mikoa mingi...
  18. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke mzawa wa Kenya atunukiwa tuzo la urembo Uingereza

    Alikwenda ukubwani kupata elimu ya juu, sasa kuiwakilisha Uingereza kwenye shindano la urembo duniani kote.... A Kenyan-born model has been crowned Miss England and will now represent the European country in the 70th Miss World that will be held in Puerto Rico. Rehema Muthamia, 25, received...
  19. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kama huna hela usioe pisi kali

    Kuoa pisi kali huku huna hela au hela yako ni ya mawazo ni kutafuta magonjwa ya moyo na presha. Kwa sababu zifuatazo:- Pisi kali haijui kutumia kuni Pisi kali haijui kulima Pisi kali haijui kuchumia ng'ombe majani Pisi kali haijui kushinda njaa Pisi kali haijui kula vyakula vya kawaida Pisi...
  20. MabatiBeiNafuu

    JamiiForums Tanzania Fashion Kali ya Msanii Barnaba

    Hii ndio fashion aliyekuja nayo mkali wa Bongofleva hapa Tanzania. Ukipata Nafasi ya Kukutana na Msanii Barnaba AKA Mopao Mkali wa Fashion Je Utampa Neno Gani. kwa Fashion hii.???
Back
Top Bottom