kagera

Kagera is one of Tanzania's 31 administrative regions. The region is located in the northwestern corner of Tanzania on the western shore of Lake Victoria. The region neighbors Uganda, Rwanda, and Burundi and lies across the lake from Kenya. The region was known as West Lake before June 1979. The regional capital is the city of Bukoba. According to the 2012 national census, the region had a population of 2,458,023, which was lower than the pre-census projection of 2,763,329. For 2002-2012, the region's 3.2 percent average annual population growth rate was tied for the third highest in the country. It was also the ninth-most densely populated region, with 97 people per square kilometer.On September 10th 2016, the region was struck by an earthquake measuring 5.9 on the moment magnitude scale.
It was the biggest earthquake to have been recorded in Tanzania.Its attempted annexation by Uganda in 1978 triggered the Uganda–Tanzania War which culminated in the overthrow of Ugandan dictator Idi Amin on April 11, 1979, at the Fall of Kampala.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kagera: Tunamuahidi Ndaisaba George ushindi wa kishindo ifikapo mwaka 2025

    "Tunampongeza Mhe. Ndaisaba George Ruhoro kwa kazi nzuri anayoifanya kwa kuwakilisha Jimbo letu la Ngara. Tunamuahidi ushindi wa kishindo ifikapo mwaka 2025" - Tamko la Wazee Mkoa wa Kagera, Wilaya ya Ngara. "Tunatamka kwa pamoja kwamba tuna uwezo wa kumchagua mwaka 2025. Lakini tunasema na...
  2. JamiiForums Tanzania Kagera: Watu wanne wamefariki na wengine watano walazwa kwa ugonjwa wa kipindupindu

    Watu wanne wamepoteza maisha yao na wengine watano wamelazwa kwa matibabu baada ya kutokea mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu katika Kijiji cha Buchurago, Wilaya ya Misenyi, mkoani Kagera. Taarifa hii imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fatma Mwassa, wakati wa mkutano wake na waandishi wa...
  3. JamiiForums Tanzania Kama Iddi Amin angekuwa na full support ya jeshi then vita ya Kagera ingekuwa ndefu sana na ingetugharimu kiuchumi vibaya mno

    Uganda tayari ilikuwa fractured kuanzia serikalini hadi kwenye jamii. Watu wa Uganda waliishi kwa kumuogopa dadaa ila hawaku muheshimu. So vita kutoka Tz ilikuwa ni fursa kwao kwa maana wanajeshi wa Tz walikuwa wanapata support kwa kila kituo walichokuwa wanafikia na naamini jeshi letu...
  4. JamiiForums Tanzania Kagera: Nyota ya Paul Makonda imewaka tena, apokelewa kwa kishindo Bukoba

    Mbegu bora ikipanda lazima iote. Na Mbegu ili iote, inakufa kwanza kisha inachipua na kukua na Kuzaa matunda. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi Paul Makonda ni Mbegu ambayo imeota, sasa CCM wanajiandaa kula Matunda yake 2025. Kwa ziara yake Bukoba, ni dhahiri Makonda...
  5. JamiiForums Tanzania FT: Kagera Sugar 2 - 1 Tanzania Prisons NBC Premier League: 3 Nov 2023

    Ni kivumbi tena, Kagera Sukari wakiwa wenyeji kuwakaribisha wajelajela wa Tanzania. Hadi sasa Dakika ya 45 Wakata Miwa wanaongoza kwa goal 1 lililotupiwa na Chirwa Obrey kwa mkwaju wa penati, dhidi ya Prisons wakiwa na Sifuri
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kagera: Viongozi wa Chama cha Ushirika Karagwe wahukumiwa kwa Ubadhirifu wa Tsh. Milioni 40

    KAGERA: Mahakama ya Wilaya Karagwe imewahukumu waliokuwa waajiriwa wa Chama cha Ushirika Caisalius Mathias Rugemalira (Kaimu Meneja), Renatus Gerald, (Kaimu Mhasibu) na Revelian M. Makune, (Mwenyekiti wa Bodi) kwenda jela Miaka 2 au kulipa faini ya Tsh. 1,800,00 kwa Ubadhirifu wa Fedha za Chama...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini Wahaya hawana maendeleo kama Wachaga wakati kote elimu ilifika mapema?

    Watu wa Kagera hasa Wahaya, sambamba na Wachaga tunaambiwa elimu ilifika huko mapema kabla ya maeneo mengine nchini. Tunaambiwa elimu ni ufunguo wa maisha, ila naona huu ufunguo umefanikiwa zaidi kwa wachaga kuliko wahaya. Chanzo cha tatizo ni nini, hawa watani wangu walikwama wapi? Ni hayo tu.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

    Nakumbuka, ilikuwa katikati ya miaka ya 90 nikiwa nasoma katika moja ya shule za sekondari katika moja ya wilaya zilizopakana na nchi za Rwanda na Burundi. Ikumbukwe ni katika miaka hiyo yalikuwa yameanza mapigano ya kikabila yaliyokuwa yamezuka nchini Rwanda Kati ya Watutsi na Wahutu nchini...
  9. JamiiForums Tanzania Wana Kagera ( Watani zangu Wahaya ) taratibu Kadinali Rugambwa siyo wa Kwenu Bukoba, bali ni wa Tanzania kote

    Tena kwakuwa GENTAMYCINE ni Mtani wenu mkubwa kutoka Uzanakini Wilayani Butiama Mkoani Mara ( Musoma ) leo nawachana na mtulie kama mmemwagiwa Maji Baridi sawa? Kanisa Katoliki halikumteua Kadinali Rugambwa atokae Kwenu Kagera ili awe ni wa Kwenu na muanze Kumtambia na Kutukoga Sisi wengine...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi, wanasiasa na wafanyabiashara wazaliwa wa SINGIDA, Manyara na Kagera ni chanzo kikubwa cha umaskini kwenye mikoa yao

    Kila ukipita Singida unaona hali ni ileile miaka nenda rudi same applies to Manyara. Na hapa tunapita mjini hata maji ya kunywa shida, ukienda huko wilayani kisha vijijini hali ni mbaya zaidi. Mkoa wa Kagera ni moja ya mikoa maskini nchini kwa sasa. Pamoja na hali ya hewa nzuri na kuzalisha...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa vanilla Kagera kutapeliwa na kampuni ya SOSAKA

    Sisi Wakulima wa Zao la Vanilla Kagera tulimuuzia Kampuni ya Sosaka Limited iliyopewa vibali na Ofisi ya Mkoa wa Kagera, vanilla zetu mnamo tarehe 19-23 July 2023 lakini mpaka sasa hatujalipwa hela zetu. Sosaka alikua ananunua vanilla kwa bei ya 15,000 Tsh na alikusanya takribani kilo 80,000...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa mkoa wa Kagera wanaongoza kwa kipato cha chini licha ya Wahaya kutamba sana?

    Takwimu zinaonesha kwamba, Kagera ni kati ya mikoa ambayo watu wake wana kipato kidogo zaidi. Pamoja na yote tunayofahamu kuhusu wenyeji wa mkoa huo (Si unajua tena: wasomi, wenye pesa, watu wa kwenda nje ya nchi na mengine). Mkoa huo umezidi kudorora kwenye kila nyanja ya maendeleo. Toa Maoni...
  13. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Kagera Bi. FATUMA agundua uozo mkubwa, Mbunge BKb Mjini na Meya wakalia kuti Kavu, waanzisha ujenzi Bila Ramani

    Wana JF Kagera imepata mwarobaini wa matatizo makubwa waliyokuwa wanayapata kwa muda mrefu. Mkuu wa mkoa kagera afichua uozo hatari uliokuwa unaendeshwa chini chini na genge la wahuni kuhujumu miradi mbali mbali ya maendeleo. Nisikuchoshe sana hii hapa hotuba kali ya mkuu wa mkoa pamoja na...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba kujua maana ya majina ya utani ya Majenerali wetu waliopigana vita ya kagera

    Vita ya Kagera ya mwaka 1978/79 iliyopiganwa ili kuokoa mipaka yetu ilikuwa ya aina yake. Tulifanikiwa kushinda lakini ilituachia maumivu pengine mpaka leo. Moja ya vivutio ilikuwa ni uzalendo mkubwa wa wapiganaji wetu kutoka JWTZ. Palikuwa na Majenerali walioongoza brigedi mbalimbali...
  15. JamiiForums Tanzania FT: NBC Premier League: Kagera Sugar 1 - 1 Namungo FC | Kaitaba Stadium

    Kuanzia saa 1 jioni, hawa wanapambana.
  16. JamiiForums Tanzania Kagera: Watumishi wa Umma washtakiwa kwa Kuficha Mapato ya Manispaa Tsh. Milioni 409.4

    Watumishi hao ni Richard L. Kubona, Adelina K. Leonard na Musa S. Kalumba ambao ni Maafisa Biashara wa Manispaa ya Bukoba wamefunguliwa Kesi ya Uhujumu Uchumi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Bukoba Mkoani mbele ya Hakimu Mfawidhi Janeth Massesa. Washtakiwa wamesomewa Makosa ya Matumizi Mabaya...
  17. JamiiForums Tanzania Kagera Mtukula: Wanafunzi wanatumia kifaru cha jeshi kwenye michezo Shuleni

    Niko Missenyi/Mutukula Nchini Tanzania. Nimekuta moja ya vifaru vilivyotumika kumkimbiza Idi Amini Dada kikiwa kwenye eneo la Shule ya Msingi Mutukula. Sasa kimebaki kuwa chombo cha wanafunzi kucheza michezo kadhaa. Je, kwanini JWTZ wasikiweke kifaru kicho kwenye makumbusho? Hii ni An...
  18. JamiiForums Tanzania Abu Dhabi kuikopesha Tanzania Tsh Bilioni 70 kujenga njia ya kusafirisha umeme Benako hadi Kyaka mkoani Kagera

    Tanzania na Mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi wa Umoja wa Falme za Kiarabu zimetiliana Saini mkataba wa mkopo nafuu wa dola za Marekani milioni 30 sawa na shilingi bilioni 70 za Tanzania kwa ajili ya Ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme Msongo wa kV 220 kutoka Benaco hadi Kyaka na Upanuzi wa Kituo...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Shule ya msingi Kigarama iliyopo Kata ya Igurwa, Karagwe Mkoani Kagera

    Shule ya msingi Kigarama iliyopo katika Kata ya Igurwa wilayani Karagwe mkoani Kagera ni miongoni mwa shule kongwe wilayani Karagwe. Shule hii kwa sasa inakabiliwa na changamoto nyingi zikiwemo upungufu wa madarasa pamoja na shida vya matundu ya vyoo kwa ajili ya wanafunzi. Mwaka jana 2022...
  20. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mamlaka za Uhamiaji tusaidieni Bukoba Mjini, kuna raia wa kigeni anatishia maisha ya watu

    Jeshi la Uhamiaji Tanzania tunawashukuru kwa kazi nzuri, tunaomba msaada huku Bukoba Mjini, kuna jamaa mmoja raia wa Uganda anaishi Mtaa wa Kagondo, aliua mtu kwa kumchoma na moto, jamaa huyo ni Mwalimu wa chekechea anaitwa Karangwa Pascal. Alikamatwa yuko Polisi Bukoba sasa hivi ni wiki mbili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…