jumuiya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto adai Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakubaliana kumuunga mkono Odinga kuwa Mwenyekiti wa AU

    KENYA: Rais William Ruto amependekeza Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kumuunga mkono Waziri Mkuu wa zamani na Kiongozi wa Upinzani, Raila Odinga anayewania nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC). Akihutubia kikao cha EALA, Rais Ruto amesema Viongozi Wakuu wa...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) pamoja na Balozi wa Ujerumani nchini waitembelea JamiiForums

    Leo, Februari 28, 2024, JamiiForums imetembelewa na Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Christine Grau, pamoja na Thomas Terstegen, ambaye ni Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Ujumbe wa Mabalozi hao umepata nafasi ya kukutana na Watendaji wa JF na...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa 51 wa Makamishna wa mapato wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki

    25 JANUARY 2024 51ST EAST AFRICAN REVENUE AUTHORITIES COMMISSIONERS GENERAL MEETING HELD IN DAR ES SALAAM https://m.youtube.com/watch?v=peIXAFtfCco Mkutano wa makamishna wa mamlaka za mapato wa nchi za Afrika ya Mashariki wakutana nchini Tanzania kujadili masuala mbalimbali kubadilushana ujuzi...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Jumuiya za Kimataifa kutoa tamko kuhusu maandamano ya CHADEMA

    Leo nilifika Ubalozi wa Marekani kwa shughuli yangu binafsi. Nimekutana na jamaa yangu mfanyakazi wa Ubalozi huo. Ameniambia baada ya Mbowe kufanya mazungumzo na Ubalozi huo kuhusu masuala ya demokrasia na siasa za Tanzania, Marekani imemuunga mkono. Na baada ya Mbowe kuondoka Balozi huyo...
  5. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Jumuiya yenye hatma ya pamoja: Ushirikiano wa kilimo kati ya China na Afrika ni wa kunufaishana

    Afrika ina rasilimali kubwa za kilimo. Lakini kutokana na sababu mbalimbali, kiwango cha maendeleo ya kilimo barani humo kimebaki nyuma kwa muda mrefu, na hata nchi nyingi haziwezi kujitosheleza chakula. Kwa hivyo, nchi za Afrika zinachukulia maendeleo ya kilimo kama kazi kuu ya kujiendeleza...
  6. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Jumuiya yenye hatma ya pamoja: China yasaidia Afrika kukabiliana na changamoto ya mabadiliko ya tabianchi

    Ikilinganishwa na sehemu nyingine haswa nchi zilizoendelea, nchi za bara la Afrika zimetoa hewa ukaa chache. Hata hivyo, bara hilo limekuwa mojawapo ya maeneo yanayoathirika zaidi na mabadiliko ya tabianchi katika miaka ya hivi karibuni. Kutokana na mabadiliko hayo, majanga kama vile ukame...
  7. benzemah

    JamiiForums Tanzania Picha: Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Ngurdoto, Arusha 24 Novemba, 2023.

    Matukio mbalimbali katika Mkutano wa Ndani Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Ngurdoto Mkoani Arusha, tarehe 24 Novemba, 2023.
  8. Webabu

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Palestina watoa buriani, wauliza wako wapi majirani zao milioni 315. Na sisi twajiuliza iko ile jumuiya ya OIC

    Buriani kwa sisi waswahili ni maneno ya mwisho ya mtu ambaye amejiona yuko hatua za mwisho kufa na kuiacha dunia. Salamu kama hizo leo zimetolewa kwa wingi kwenye mitandao ya kijamii kama tiktok na miningene amabayo JF huenda haijawezesha kutumika matoleo yao. Mmoja kati ya wanaharakati hao...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa jumuiya ya China na Afrika yenye hatma ya pamoja waimarishwa

    Ujumbe wa China kwenye Umoja wa Afrika, Akademia ya Sayansi ya China, Shirika la Mpango Mpya wa Maendeleo ya Afrika, Shirika la Fedha la Teknolojia za Kilimo la Afrika na taasisi nyingine hivi karibuni zimetoa kwa pamoja pendekezo la “Kuimarisha Uvumbuzi wa Sayansi na Teknolojia kati ya China na...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Khamis Hamza Awapongeza Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya

    NAIBU WAZIRI KHAMIS WAKATI AWAPONGEZA AHMADIYYA Taasisi za dini na viongozi wake wametakiwa kuchukua hatua stahiki katika kurekebisha mmomonyoko wa maadili unaotokana na utandawazi na matumizi yasiyofaa ya teknolojia. Wito huo umetolewa na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango Mgeni Rasmi Mkutano wa 52 wa Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Phillip Mpango anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa 52 wa Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya ambapo Kauli Mbiu ya Mwaka 2023 hapa nchini ni: 'Tawheed ya kweli haiwezi kusimamishwa bila ya Ukhalifa'. Ikielezwa kuwa maana ya Kauli...
  12. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika zimekuwa jumuiya ya binadamu yenye mustakabali wa pamoja tangu zamani

    Ofisi ya Habari ya Baraza la Serikali la China Jumanne ilitoa waraka wa “Jamii ya Binadamu Yenye Mustakabali wa Pamoja: Mapendekezo na Hatua za China”, ukisema miaka kumi iliyopita, Rais Xi Jinping wa China alitoa pendekezo la kujenga jumuiya ya binadamu yenye mustakabali wa pamoja. Kama jumuiya...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya MOI yapokea vifaa tiba vya upasuaji kutoka Jumuiya ya St. Roch ya Uingereza vyenye thamani ya Tsh Bilioni 3

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu ametembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) ambapo kwa niaba ya Waziri wa Wizara hiyo Ummy Mwalimu amepokea msaada wa vifaa tiba vya upasuaji kutoka Jumuiya ya St. Roch ya nchini Uingereza wenye thamani ya Th. 3 bilioni. Katika...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Gabon yasimamishwa Uanachama wa Jumuiya ya Madola baada ya kutokea kwa Mapinduzi

    Uamuzi huo umechukuliwa wakati huu Gabon ikiwa chini ya utawala wa Kijeshi ambao ulimtoa madarakani Rais Ali Bongo. Uamuzi huo umetolewa na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Madola huku wakitoa hoja kuwa Gabon inatakiwa kufanya uchaguzi haraka iwezekanavyo. Jeshi lilimwondoa Bongo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Jumuiya ya kimataifa isimtumie Kanye West kama msuluhishi vita ya Urusi na Ukraine

    Mzuka Wanajamvi! Watu kama hawa Kanye West wanaweza kuwa na hulka ya diplomasia na ushawishi wa kuzaliwa. Tuliona jinsi Denis Rodman alivyokaribishwa na kim North Korea na kiaina kulegeza kwa mbali uhusiano na Marekani. Kanye West anaweza kuwapatanisha Putin na Zelensky wakakaabmeza moja na...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Bunge laridhia Itifaki ya Biashara ya Huduma ya Jumuiya ya SADC ya Mwaka 2012

    Bunge la Tanzania Agosti 31, 2023 limeridhia Itifaki ya Biashara ya Huduma ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) ya Mwaka 2012 ambapo pamoja na mambo mengine, itaondoa vikwazo vya kikodi na visivyo vya kikodi kwa wafanyabiashara wa Tanzania katika nchi za jumuiya hiyo. Akizungumza na...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania laridhia Itifaki ya Biashara ya Huduma ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) ya Mwaka 2012

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia Itifaki ya Biashara ya Huduma ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) ya Mwaka 2012. Itifaki hiyo imeridhiwa Agosti 31, 2023 Bungeni jijini Dodoma na Wabunge wa Bunge hilo ambao walitoa maoni na mapendekezo mbalimbali yaliyolenga...
  18. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika zajenga jumuiya yenye hatma ya pamoja katika nyanja za amani na usalama

    Kongamano la tatu la Amani na Usalama kati ya China na Afrika lenye kauli mbiu ya “Utekelezaji wa Mpango wa Usalama wa Kimataifa, Kuimarisha Mshikamano na Ushirikiano kati ya China na Afrika” linafanyika mjini Beijng, na kuhudhuriwa na zaidi ya wajumbe 100 wakiwemo viongozi wa majeshi ya nchi za...
  19. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Hivi na hapo Vatican wakatoliki huwa wanakutana jmosi asubuhi kusali jumuiya?

    Hapo Vatikani, Marekani, Ulaya, Sao Paulo, HongKong na maeneo mengine duniani wakatoliki huwa wanautamaduni Kama hapa nyumbani kukutana kila jumamosi asubuhi kusali . Na Kama mtu hashiriki siku akifariki hapati Misa maalum kanisani? Lidumu kabisa katoliki la mitume
  20. The Sunk Cost Fallacy 2

    JamiiForums Tanzania Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunnah Tanzania (BASUTA) kuhusu mkataba baina ya Tanzania na DP World

    Helo Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunna Tanzania (BASUTA) Wameshutumu Vikali kile wamepita Undumilakuwili na Ukosefu wa Uadilifu Kwa Wanaopinga mkataba wa Bandari kwa kile wameita kugumbia macho Mikataba ya hovyo iliyowahi ingiwa hapo kabla. --- Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar...
Back
Top Bottom