Kwanini Jumuiya ya kimataifa isimtumie Kanye West kama msuluhishi vita ya Urusi na Ukraine

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,742
29,146
Mzuka Wanajamvi!

Watu kama hawa Kanye West wanaweza kuwa na hulka ya diplomasia na ushawishi wa kuzaliwa.

Tuliona jinsi Denis Rodman alivyokaribishwa na kim North Korea na kiaina kulegeza kwa mbali uhusiano na Marekani.

Kanye West anaweza kuwapatanisha Putin na Zelensky wakakaabmeza moja na kujadiliana mustakabal mzima wa hii vita na kupanua wigo mpana wa mazungumzo zaidi kupelekea amani ya kudumu.

Tumeona mabingwa waliobobea kwenye diplomasia wameshindwa. Kwanini wasimjaribu Kanye west ambaye ni maarufu ana ushawishi wa asili?

Tunachotaka amani duniani. Hii vita inapoelekea siyo nzuri. Putin kuna siku atapiga kombora ndani sweden Finland ama uholanzi akasingizia ni bahati mbaya. Na iyo bahati mbaya ikapelekea watu kunusa ladha ya mionzi.
 
Vita ni vita mura
 
Mtanange kati ya Urusi na west haujaisha kwa sabab wakubwa hawajataka uishe na si kwa sabab hajapatikana msuluhish
 
Mbona wasuluhishi kabla ya vita tena hao hao walikuwa wanamiminika Kremlin kumsihi asianzishevita
 
Mzuka Wanajamvi!

Watu kama hawa Kanye West wanaweza kuwa na hulka ya diplomasia na ushawishi wa kuzaliwa.

Tuliona jinsi Denis Rodman alivyokaribishwa na kim North Korea na kiaina kulegeza kwa mbali uhusiano na Marekani.

Kanye West anaweza kuwapatanisha Putin na Zelensky wakakaabmeza moja na kujadiliana mustakabal mzima wa hii vita na kupanua wigo mpana wa mazungumzo zaidi kupelekea amani ya kudumu.

Tumeona mabingwa waliobobea kwenye diplomasia wameshindwa. Kwanini wasimjaribu Kanye west ambaye ni maarufu ana ushawishi wa asili?

Tunachotaka amani duniani. Hii vita inapoelekea siyo nzuri. Putin kuna siku atapiga kombora ndani sweden Finland ama uholanzi akasingizia ni bahati mbaya. Na iyo bahati mbaya ikapelekea watu kunusa ladha ya mionzi.
Kwanza mkuu rodman siye yeye aliyetakiwa kwenda huko aliyetakiwa hakuwa na nafasi ikabidi aende yeye. Na wala si kweli kuwa rodman na kiduku ni marafiki, nilibahatika kuona mahojiano yake rodman mwenyewe anamkandia kiduku na kueleza ilikuwaje hadi akaenda kule.
 
Mzuka Wanajamvi!

Watu kama hawa Kanye West wanaweza kuwa na hulka ya diplomasia na ushawishi wa kuzaliwa.

Tuliona jinsi Denis Rodman alivyokaribishwa na kim North Korea na kiaina kulegeza kwa mbali uhusiano na Marekani.

Kanye West anaweza kuwapatanisha Putin na Zelensky wakakaabmeza moja na kujadiliana mustakabal mzima wa hii vita na kupanua wigo mpana wa mazungumzo zaidi kupelekea amani ya kudumu.

Tumeona mabingwa waliobobea kwenye diplomasia wameshindwa. Kwanini wasimjaribu Kanye west ambaye ni maarufu ana ushawishi wa asili?

Tunachotaka amani duniani. Hii vita inapoelekea siyo nzuri. Putin kuna siku atapiga kombora ndani sweden Finland ama uholanzi akasingizia ni bahati mbaya. Na iyo bahati mbaya ikapelekea watu kunusa ladha ya mionzi.
Putin hawezi kubali Zele ni Msaliti, alikiuka makubaliano yaliyopelekea Russia kuondoa vikosi Kyiv, sasa hivi ha aminiki tena.
Ni kichapo mpaka akae.
 
Haya sasa amvamie na Finland aliyekiuka makubaliono asijiunge NATO
 
Mzuka Wanajamvi!

Watu kama hawa Kanye West wanaweza kuwa na hulka ya diplomasia na ushawishi wa kuzaliwa.

Tuliona jinsi Denis Rodman alivyokaribishwa na kim North Korea na kiaina kulegeza kwa mbali uhusiano na Marekani.

Kanye West anaweza kuwapatanisha Putin na Zelensky wakakaabmeza moja na kujadiliana mustakabal mzima wa hii vita na kupanua wigo mpana wa mazungumzo zaidi kupelekea amani ya kudumu.

Tumeona mabingwa waliobobea kwenye diplomasia wameshindwa. Kwanini wasimjaribu Kanye west ambaye ni maarufu ana ushawishi wa asili?

Tunachotaka amani duniani. Hii vita inapoelekea siyo nzuri. Putin kuna siku atapiga kombora ndani sweden Finland ama uholanzi akasingizia ni bahati mbaya. Na iyo bahati mbaya ikapelekea watu kunusa ladha ya mionzi.

Ameshawahi kusuluisha mgogoro upi?
 
Back
Top Bottom