BAKWATA ijitenge na Juma Namusoma, ambaye ametumia mitandao ya kijamii kutoa kauli zinazowalenga na kuwashambulia masheikh, pamoja na wale wanaoendelea kumlinda.
Kinachotia mashaka ni kwamba kila anapokosolewa kwa kauli zake, huonekana kujisitiri nyuma ya viongozi wa BAKWATA. Aidha, mara nyingi...