juma

  1. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Huyu kijana Juma Lokole anapokuwa kwenye matukio ya kijamii hakai na Wanaume badala yake anaakaa na Wanawake

    Huyu kijana Juma Lokole anapokuwa kwenye matukio ya kijamii anakaa upande wa Wanawake badala ya kukaa na Wanaume Hii ni tabia mbaya sana hasa katika utamaduni wetu sisi Watanzania na kwa baadhi ya Mikoa mingine mfano Arusha, Kagera, Mwanza, Kilimanjaro, Mara inaweza kupelekea kupewa adhabu na...
  2. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Juma Mwambusi afukuzwa kazi Coastal siku moja kabla haijakutana na Yanga

    GSM mungu anakuona Mwambusi aliacha kazi Yanga huku machozi yanamtoka kwa kugombana na GSM Mwambusi alisikika kwenye mitaa ya makorola Tanga kuwa lazima awakazie Yanga. Kufumba na kufumbua anarudi ofisini anakutana na barua ya Thank You Return to sender Coastal anaenda kukutana na Yanga bila...
  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Moyo Mwema wa Juma Volter Mwapachu

    MOYO MWEMA WA JUMA MWAPACHU Tulikuwa tumeshamaliza kuzika taratibu tunarudi kwenye magari yetu tuondoke Pande turejee Tanga mjini. Akanijia mmoja wa vijana walionipokea Tanga nilipohamia mwaka wa 1997. Nitamtaja kwa jina moja tu la kificho "Mwinyi." Mwinyi alikuwa kati ya rafiki zangu...
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mazikoni: Chirau Ali Mwakwere, Juma Mwapachu na Ally Sykes

    KUTOKA MAZIKONI: CHIRAU ALI MWAKWERE, JUMA MWAPACHU NA ALLY SYKES Ally Sykes hakupata kunieleza kama alipata kukutana na Chirau Ally Mwakwere. Ali Mwakwere ndiyo kanifahamisha jana tukiwa Pande kumzika Juma Mwapachu. Pande iko kilomita kiasi cha 10 kutokea Tanga mjini na ndiyo kijiji...
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Laana ya Juma Mgunda imemtafuna Ally Kamwe

    Kuna tetesi kwamba Kamwe amepigwa ban ya miaka miwili. Nakubaliana na ban na yeyote anayeketa ujinga ujinga unaofanana na huyo apigwe na kitu kizito. Niwakumbushe tu huyu bwana mdogo aliwahi kumdhalilisha Juma Mgunda. Akasema kati ya Mgunda na Andazi, yeye anachagua andazi. Viongozi wa timu...
  6. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Marioo anajisikiaje 'mkewe' kushikana hivi na Juma Lokole kama mke na mume?

    Mbaya zaidi kashona had sale na Lokole
  7. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Juma Ayo: Refa wa mechi ya Namungo dhidi ya Simba apewe Derby ya Kariakoo, anajua kutafsiri vyema sheria za soka

    “Refa wa leo apewe derby nimependa namna ambavyo ametafsiri sheria ya mpira, Simba penalty zote 3 ni clear kabisa hakuna doubt hata kidogo. Huu mpira tunaucheza na tunaujua lazima tuwe wakweli Kudos kwa mwamuzi...hajaangalia idadi ya penalty anazotoa ameangalia zaidi matukio” Hayo ni maneno...
  8. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Lyrics: Inaniuma sana by Juma Nature Kiroboto

    Lyrics Siku ya kwanza kukutana naye alikuja kwetu usiku, alikuta nimechoka nimetoka ku record usiku, walikua kama wanne hivi ndani ya gari aina ya chaser, wamejaa hangover utazani jana yake walikesha, akaja mshikaji wangu mmoja, kutoka kwenye lilelile gari akaja moja kwa moja, mpaka kwenye...
  9. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Juma Lokole vs Stan Bakola wazichapa leo

    Jioni hii kumetokea ngumi kati ya Juma Lokole na Stan Bakola chanzo cha ugomvi ni juma kwenda kupinga kuwa kajala hawawezi rudiana na Harmonize huku Stan Bakola akipigania kajala kukubali msamaha wa Hamronize ili warudiane Juma alienda na bango lilosema kajala hataki shobo ndipo ugomvi...
  10. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Juma Abdul Mnyamani umecheza mpira muda mrefu lakini hujui kuuchambua,Azam TV mtoeni huyo mtu

    Sio kila aliyewahi kucheza mpira anafaa kuwa kocha Si kila aliyewahi kucheza mpira anafaa kuwa mchambuzi Amri Kiemba na Ally Mayai mko vizuri,ila kwaJumaAbdul Mnyamani nasema No,anashindwa hata na akina Samwel, Jeff Lea ambao hawajui kupiga hata danadana mbili
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Juma Duni Haji: Serikali ya Mtaa ndio Ufalme wenu, pigeni kura

    Mwenyekiti Mstaafu wa ACT Wazalendo, Juma Duni Haji akiwanadi wagombea wa ACT Wazalendo wa Mitaa ya Mwinyimkuu na Idrisa katika mkutano uliofanyika Mtaa wa Mwinyimkuu Kata ya Mzimuni Jimbo la Kinondoni, Novemba 22, 2024, amesema: "Sasa nyinyi mumeachiwa mitaa miwili. Itakuwa miujiza mitaa hii...
  12. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Mike Tee ft. Juma Nature - Nampenda Nani

  13. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Juma Mgunda yuko wapi?

    Kwenye benchi la Namungo yupo ngawina ngawina, kocha mgunda hayupo. Kuna nini, si alitajwa kuwa ndiye Kocha Mkuu wa Namungo?
  14. J

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Riziki Pembe Juma atembelea JamiiForums

    DAR: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, (Zanzibar) Riziki Pembe Juma ametembelea Ofisi za JamiiForums jijini Dar, leo Oktoba 28, 2024. Ziara yake ililenga kujenga mashirikiano katika maeneo anuai ikiwemo kuwalinda na kuwajengea uwezo Watoto na Wazazi wao hasa katika...
  15. M

    JamiiForums Tanzania SIKUMBUKI NI LINI TIMU YOYOTE IKIFUNDISHWA NA JUMA MGUNDA ILIWAI KUMFUNGA SIMBA!

    Kocha uyu kwa miaka yote aliyokaa coastal union ajawai kupata ata sare mbele ya Simba, lakini akikutana na timu nyingine unaona anapata matokeo! Uyu jamaa uwa ni mwanachama mwaminifu wa Simba anawasaidia sana kupata point kwenye timu yoyote anayoifundisha, aiwezekani Kila mechi ukose mbinu...
  16. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Jay Combat ndie mrithi wa Juma Mpogo au tusubiri mwingine?

    Namuona sana kijana mmoja mtandaon anaitwa jay Combat. Anajua kuimba nyimbo za uswazi almaaurufu mnanda au mchiriku au vanga. Kiukweli toka atutoke duniani Juma Mpogo GOAT wa mnanda bado pengo lake alijawai kuzibwa. Walikuwa wengi kabla ya General Mpogo na wakaja wengi baada yake ila bado...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Juma katueleza kisa alivyotapeliwa na wanawake huko Facebook

    Hapa hua tunakutana kwenye tangawizi na kahawa Mzee juma kafika na kanzu yake swafi na baraghashia yake kama kawaida, Mzee juma siku hizi ana simu ya kupangusa vidole hivo anakua busy kwenye simu , sio kama zamani alipokua anatumia kitochi, Hussein anamuuliza kiutani mzee J naona unaperuzi...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Isemavyo Sheria ya Mali za Ndoa na Kesi ya Kifo cha Juma Mfaume dhidi ya Wafanyakazi wa OYA Microcredit

    Kufuatia kifo cha kusikitisha cha Juma Said Mfaume, mkazi wa Mbagala Mlandizi, familia yake/mke anaweza kufungua kesi ya fidia dhidi ya wafanyakazi wa Kampuni ya OYA Microcredit. Juma, ambaye alikuwa mume wa Khadija, alifariki baada ya kupigwa na watu wanaodaiwa kuwa wafanyakazi wa kampuni hiyo...
  19. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Juma Said Mfaume: Je, tumpe Tuzo ya Man of The Year!?

    Habari wadau je jukwaa la wanaume na wanawake tumtangaze huyu jamaa ambae amekufa akimtetea mke wake dhidi ya wadai wake kama man of the year!? Maana si kawaida huenda mwingine angekimbia na kuacha "matatizo"kwa mke wake lakini yeye aliamua kuwavaa oya na kuwasababishia "matatizo" Zamani kabisa...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mke wa Juma aliyepigwa na Wafanyakazi wa 'OYA' aeleza alivyokopa

    Juma Said Mfaume, mkazi wa Mbagala Mlandizi, Pwani, amefariki dunia baada ya kupigwa na watu wanaodaiwa kuwa wafanyakazi wa Kampuni ya OYA Microcredit. Tukio hilo lilitokea alfajiri ya Jumanne, tarehe 8 Oktoba 2024, wakati wafanyakazi hao walipofika nyumbani kwake kudai marejesho ya mkopo wa Tsh...
Back
Top Bottom