Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 24,858
- 33,586
Ukitaka kuona ukubwa wa Mzee Yusuph kasikilize kipande cha wimbo wa times fm(Juma dede) kilichoimbwa na Mzee Yusuph.
Huu wimbo ulikuwa mahsusi kwenye sherehe za times fm hivyo wasanii wa taarabu wale magwiji waliungana kwa pamoja kutoa wimbo wa Juma dede.
Yani Mzee alithibitisha ukubwa wake humu aliwagaragaza vibaya mno wenzake mpaka wengine mpaka leo wanajua ule wimbo ni wa Mzee Yusuph (Jahazi) .
Jamaa humu aliua sana ameimba mpaka kwa kihindi vibe lake sio la nchi hii.
Turudi kwenye pointi ya msingi sasa.
Chukua nyimbo kumi za diamond uone kama unaweza ukazisikiliza zaidi ya mara 5 bila kuchoka .
Huyu Mzee apewe maua yake, hata ipate miaka buku hatokaa atokee yeyote wa kuziba pengo lake.
Kuna muda aliposimama muziki Prince Amigo alijitahidi kujitutumua lakini wapi hakufua dafu.