jukwaa

Jukwaa, also known as Dwokwaa, is a town in the Central Region of Ghana. It is the traditional capital of the people of Denkyira and is located in the Twifo-Ati Mokwa District in the Central Region. The Jukwa Senior High School is found in this town.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza atoa mada tunduizi Jukwaa la demokrasi 2024 linalofanyika Zanzibar

    16 Mei 2024 ASKOFU BAGONZA ATOBOA SIRI ''KUNA KUNDI LINATAMANI BAADHI YA VYAMA VIFUTWE''HUKO NYUMA HAKUENDEKI.. https://m.youtube.com/watch?v=NbSLsVnUDzo Askofu Dkt. Bagonza atoa hotuba ya karne tunduizi kuchambua hali ya kisiasa iliyopo Wadau walioshiriki Jukwaa la Demokrasia Tanzania...
  2. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Omar Juma Kipanga ashiriki ufunguzi wa Mkutano wa sita wa Dunia wa Jukwaa la PASET

    Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknologia Mhe Qs Omar Juma Kipanga akifuatilia kwa UMAKINI Ufunguzi wa Mkutano wa SITA wa Dunia wa Jukwaa la Pertnesship in applied science and engineering technology (PASET) na Reginal Scholarship and innovation fund (RSIF) Katika Mkutano Mkuu wa TVET kuhusu...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Jukwaa gani ni pendwa kwako ndani ya JamiiForums?

    Ni lipi jukwaa ambalo limekupa somo au shule ya maana, ushauri, maarifa, ufahamu na uelewa kutosha au kukukwamua juu ya masuala mbalimbali ya maisha, kisiasa, kiuchumi, kijamii, kitaifa na kimataifa?
  4. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Mbuga ya wanyama huko paris, 1905

    Mwishoni mwa miaka ya 1800 hadi miaka ya 1900, Wamarekani Weupe na Wazungu walitumia Waafrika kuunda "Zoo za Wanadamu" katika miji kama Paris, Hamburg, Antwerp, Barcelona, London, Milan, Warsaw, St Louis na New York City. Wazo la kijiji cha Negro lilikuwa maarufu zaidi nchini Ujerumani, ambapo...
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Wachangiaji M1 JF Jukwaa la Historia 2013

    MJADALA WA WACHANGIAJI M1 JF Jukwaa la Historia 2013 Yericko Nyerere (pichani) miaka 11 iliyopita alifungua uzi JF kwa nia ya kupinga historia ya uhuru wa Tanganyika kama nilivyoieleza katika kitabu cha Abdul Sykes. Huu ukawa mjadala mkali, mrefu uliokwenda kwa miezi sita mfululizo bila ya...
  6. Faana

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Hizi habari zipelekwe kwenye jukwaa lake

    Leo tumeamka na nyuzi za lugha mpya na zina dominancy ya kutosha humu, nashauri zipelekwe kwake kwenye eneo husika maana nimeliona lipo humu
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama unaenda Taifa Kwa Mkapa leo sema utakaa wapi / jukwaa gani ili uoshe Nyota kwa kukaa Jirani na GENTAMYCINE

    Ila sitaki tu tukikaa uanze kuomba kupiga Picha nami kwani hapo Utanikera sana kwani hakuna Kitu nakichukia duniani kama Kupiga au Kupigwa Picha.
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mjadala kuhusu Jukwaa la Kodi na Uwekezaji 2024, Ukumbi wa JNICC Jijini Dar es Salaam, Februari 28, 2024:

    Mjadala unaofanyika kwenye Jukwaa la Kodi na Uwekezaji 2024, Ukumbi wa JNICC Jijini Dar es Salaam, Februari 28, 2024: https://www.youtube.com/watch?v=flJ-sm9Ke0A MDAU: KUNA UTAMADUNI WA TRA KUTOA BENKI FEDHA ZA WATEJA WAO WENYE MIGOGORO YA KIKODI BILA USHIRIKISHWAJI Mdau ameshauri mamlaka ya...
  9. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Ayub Rioba: JamiiForums ni chombo cha habari na si jukwaa la mtandao

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayub Rioba Chacha amesema JamiiForums ni chombo cha habari na sio Jukwaa la mtandao kama linavyojulikana. Dkt. Rioba amesema hayo mkoani Mwanza wakati wa uwasilishaji mada za mitandao ya kijamii katika mkutano wa Mafunzo wa 108 wa...
  10. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Kabla hujaiponda Habari hakikisha kwanza upo Jukwaa gani

    Kumekuwa na Tabia kwa baadhi ya watu kudharau habari zinazopandishwa kwenye majukwaa ya JamiiForums. Unakuta Habari imepostiwa kwenye jukwaa la Celebrities inamuhusu msanii eg. Harmonize, Diamond, Nandy n.k ila anatokea mtu from nowhere ana-reply "Tuondolee habari za kitoto" mwengine unakuta...
  11. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la mabazazi

    🤣🤣. Only the legend will understand
  12. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Gentamycine arudishwe jukwaa la sport limepoa na linaboa

    Moderator fanyie kazi hili swala jukwaa limepoa sana halina vionjo vyovyote vile na vijembe kitu ambacho ni kizuri Mfano kipindi cha usajili wa ligi ya bongo ukija kwenye jukwaa mpaka unakereka limepoa Moderator mrudisheni
  13. R

    JamiiForums Tanzania Huyu nguli wa sheria JF kwenye jukwaa la sheria yuko wapi: Dragoon

    Amepotea kabisa jukwaani na jukwaa alilo liasisi limekufa
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wachangiaji wa Jukwaa la JF English ONLY FORUM ni Wakenya, Waganda,. Wanyarwanda na Watanzania ni wa Kuhesabika?

    Kudadadeki sijui ni nani alitulaani Watanzania katika Suala zima la Kuelewa na Kuzungumza Lugha ya Kiingereza ambayo GENTAMYCINE ndiyo siijui na wala Siishobokei kabisa.
  15. theartfuldodger

    JamiiForums Tanzania Nimefurahi kuwa sehemu ya jukwaa hili

    Habari, Nimefurahi kuwa sehemu ya jukwaa hili. Natarajia kusoma nyuzi kadhaa nzuri.
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna hujuma kukwamisha kituo cha Misugusugu kufanya kazi?

    Ningependa kuwauliza wizara ya Uchukuzi kupitia Waziri Bashungwa ni lini Kituo cha ukaguzi wa mizigo kilichopo kata ya Misugusugu mkoani Pwani kitahamia Vigwaza kuliko jengwa kituo kikubwa cha ukaguzi kupitia fedha za udhamini wa Bank ya Dunia? Sababu kituo cha Misugusugu ni kama kipo kimtego...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mahawanga azindua Jukwaa la Wanawake kata ya Ndugumbi na kusisitiza ushirikiano

    MBUNGE MAHAWANGA AZINDUA JUKWAA LA WANAWAKE KATA YA NDUGUMBI NA KUSISITIZA USHIRIKIANO. Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Mahawanga Janeth amezindua Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi katika Kata ya Ndugumbi Wilaya ya Kinondoni ikiwa ni muendelezo wa kufanya ziara ya kukutana...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Habari Njema: JF ina Jukwaa la kufichua maovu, Wafichuaji hawatajulikana

    Tunashukuru sana kwa kuongezewa eneo lingine la kuanikia uchafu . ====== Maxence Melo: JamiiForums Tumetengeneza "Jukwaa Maalum" la kusaidia wananchi kupaza sauti zao bila kuweka wazi utambulisho wao. Jukwaa hili linaitwa "Fichua Uovu" Mwananchi yeyote anayetaka kutoa taarifa ya Uovu wowote...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Na Mimi nataka kuwa Mfalme wa hili Jukwaa la Michezo hapa kama GENTAMYCINE sijui nitaweza? Mniombee....

    Najua GENTAMYCINE ni Mwamba ila popote alipo ajue kuwa nami MINOCYCLINE sasa nimekuja rasmi Kuupindua Ufalme wake hapa Jamiiforums kwa kuja na Taarifa za Ndani, Uchambuzi na Kulichangamsha Jukwaa na naamini mpaka atoke BAN yake atakuta Mimi sasa ndiyo Natamba hapa na hata Tuzo ya mwaka huu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hili jukwaa ndo linaongoza kuwa na mada mpya

    Habari wakuu nimetembelea jukwa zote kwa mwezi mzm nimegundua hili la mapezi linakimbiza Sana Nyuzi Kama kula tunda kimasihara
Back
Top Bottom