Jukwaa, also known as Dwokwaa, is a town in the Central Region of Ghana. It is the traditional capital of the people of Denkyira and is located in the Twifo-Ati Mokwa District in the Central Region. The Jukwa Senior High School is found in this town.
Kurasa rasmi za Serikali zimekuwa jukwaa la familia ya Samia?
Kurasa rasmi za serikali na wizara zake katika mitandao ya kijamii kama Facebook, X (zamani Twitter) na Instagram ziliundwa kwa lengo moja kuu: kuwahudumia wananchi kwa kutoa taarifa za sera, huduma, tahadhari na maamuzi ya serikali...
Jukwaa la Kimataifa la Nasser limeshiriki kikamilifu katika Kongamano la Vijana wa Afrika (Pan-African Youth Forum 2025) uliofanyika nchini Djibouti kuanzia Novemba 4 hadi 6, 2025, chini ya uratibu wa Tume ya Umoja wa Afrika, ukiwa na kaulimbiu isemayo “Kutoka kwenye ndoto hadi vitendo: Vijana...
Kama mtu wa kufanya research ndogondogo hii hali inatisha kwakwel sio kawaida ya watanzania kabsa toka nizaliwe watanzania wao ni mpira na ngono tu lakini hali kwasasa ni tofaut Kwenye mitandao yote sio jamii forum tu
Kote hali tete, mada za kiwaki zote hazna wachangiaji kabsa
Kweli watu...
TAARIFA KWA UMMA
JUKATA kwa majonzi makubwa inatoa pole za dhati kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki wote ambao wapendwa wao wameuawa, kujeruhiwa au kutoweka wakati wa maandamano yaliyozuka siku ya uchaguzi tarehe 29/10/2025. Tunalaani vikali vitendo vya kikatili vya kuwapiga risasi wananchi...
Kuna huyu msanii anaitwa Magambo, akitumbuiza katika mkutano wa kampeni za CCM mbele ya Samia Suluhu, ameonekana akiwa kavaa suruali yenye muonekano kama ya Jeshi. Ni kosa kuvaa nguo zenye mfanano sawa na majeshi ya nchini na kuna kipindi fulani tulisumbuliwa sana, nikiwepo mimi chupuchupu...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums kwa muda wa siku 90 na kuzuia upatikanaji wa jukwaa hilo, kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni
TCRA imesema uamuzi huu umetokana na JamiiForums...
BREAKING: Viongozi wa Palestina WAPIGWA MARUFUKU kuingia Marekani.
Katibu wa Jimbo Rubio anazuia visa vyao kwa sababu ya uhusiano wao wa kigaidi na "kulipa-Fadhila kwa Magaidi" pesa za damu. Marekani HAITAWAPA thawabu wale wanaotukuza mauaji.
Inatia ukakasi MTU ameshazeeka yupo 30s anakuja kutafuta pension sehemu ambayo hakuwahi kufanya kazi.
Utasikia Mara ohhh nataka awe mchaMungu , Mara awe mrefu mwenye kipato
Are you insane?
Ndugu zangu wapendwa,
Ninapenda kutoa shukrani za dhati kwenu kwa sapoti na msaada wenu mkubwa mlionipa hadi kufanikisha kupata tenda ya Tigo YAS ya kubandika mabango. Ingawa tenda hiyo imeisha, imenifungulia njia na kuniongezea imani kubwa katika kazi zetu.
Naomba kuendelea kuwaombea...
Kama wiki mbili niliomba kazi humu na nikafanikiwa kupata tenda ya tigo yas ya kubandika mabango narudi kwenu tena kuomba Kazi au kibarua chochote kitakachokuwepo 🙏🙏
Katika dunia ya sasa ya kidigitali, miundo (designs) bora ni silaha ya kwanza ya ushindi katika biashara, ujasiriamali, elimu, au hata content creation ya mitandaoni. Lakini si kila mtu ana muda wala ujuzi wa kutumia programu tata kama Photoshop. Hapo ndipo Canva inapotokea kama mkombozi.
Ikiwa...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki kikao cha awali cha maafisa waandamizi cha Jukwaa la Majadiliano kati ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Serikali ya Marekani...
Admin JF please Jukwaa la sasa la ajira na tenda kwa kweli limejaa mambo ya ajira mengi sana kiasi kwamba kama unatafuta tenda uta scroll mpaka basi. Nashauri jukwaa la tenda liwe peke yake au lichanganywe na kazi za consultancy; Na jukwaa la ajira libaki peke yake ili watangaza ajira na...
Tech, Gadgets and Science Forum
Hapo utawakuta hawa wamba wamejitandaza wakitoa elimu bila hiyana na kwa utulivu mkubwa sana wapewe maua yao.
Mwl.RCT
Chief-Mkwawa
Uliza mambo ya IT/ICT n.k kama wapo karibu watakupa darasa bure kabisa. Nimekuwa nikiwafuatilia sana. Tusiache kutambua michango...
Ladies kuna njia nyingi za kujipa promo humu zaidi ya "ku-belittle" wanaume ili muonekane matawi fulani hivi.
Anyway sishangai sana maana hamna masikini humu, kila kidume humu anatembelea crown na kila mrembo humu ana 25yrs
Maisha yaendelee🤣
Wakuu habari zenu, Ni Matumaini yangu kuwa mpo wazima wa afya na mna nguvu pia.
Nimegundua maarifa yapo huku hili ni moja ya jukwaa Bora sana kuwahi kutokea nimejoin Leo rasmi ili niendelee kujifunza mambo kadha wa kadha, naombeni mnipokee kijana wenu
Ahsanteni!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.