KUMSIFIA JPM SIO KIGEZO CHA KUKUTEUA- HASSAN NGOMA
" Kigezo cha kusifia Mh. Rais sio njia ya kuteuliwa wangeteuliwa watu wengi sana, lakini Mh. Rais anachoangalia ni vyeti, kama unakuwa Kiongozi huna masters sahau kuteuliwa ngazi ya kuwa Kiongozi, cha kwanza ni sifa " @hassanngoma360, Katibu...