jpm

  1. S

    JamiiForums Tanzania Simpendi na sikumchagua Magufuli lakini naunga mkono 100% msimamo wake kuhusu Korona

    Korona haina tiba wala haina kinga. Njia zote zinazoshauriwa ili kujikinga na korona ni za dhahania na nadharia tu. Ndiyo maana hakuna mahala popote walipofanikiwa kuiondoa na kuimaliza korona. Hizo chanjo zimekaa kisiasa na kibiashara tu. Mafua yana karne nzima mpaka leo hakuna kinga, ukimwi...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Wanaomaliza vyuo vikuu kipindi hiki cha awamu ya tano mpaka nawaonea huruma. Ajira zote zimezimwa kana kwamba nchi imesimama

    Nchi sasa hivi inajiendesha Kama haina Rais. Wafanyakazi sekta zote wengine wanastaafu na wengine wanakufa kila siku lakini jamaa hataki kabisa Wala kusikia kuhusu ajira. Yuko radhi wote mfe ilimradi barabara zijengwe. Elimu sasa hivi haina value tena Kama kipindi cha JK ambapo kuna vipaumbele...
  3. JamiiForums Tanzania Bwana Freeman Mbowe, tumia lugha ya staha unapoishauri Serikali ya Rais Magufuli dhidi ya COVID19

    Salaam Wana JF, Kupitia ukurasa wa twitter Bwana Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo" CHADEMA" ametumia haki yake ya Kikatiba kushambulia serikali hasa kiongozi wa nchi juu ya hatua zinazochukuliwa dhidi ya Covid19, Ukweli ni kwamba Bwana Mbowe ameshindwa...
  4. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Misimamo ya Serikali kuhusu Corona inaathiri wengi

    Yetu macho ==== Alichokiandika Mbowe Msimamo wa JPM na Serikali yake kuhusu #COVID19 ni aibu na jinai kubwa dhidi ya ubinadamu yenye athari kwa maisha & uchumi. Corona Tz ipo tele. Waso-hatia wanakufa. Woga & ukimya ni ujinga. Madaktari na wauguzi mna kiapo. Semeni ukweli. Kataeni uharamia...
  5. JamiiForums Tanzania Je, hawa wateule wa Rais ni sheria zetu butu, uzembe au?

    JE, NI SHERIA BUTU, UZEMBE AU NI MAZOEA? Na Elius Ndabila 0768239284 Nikitazama mchakamchaka wa watumishi pale tu Mkuu wa nchi anapotoa maagizo ninabaki kujiuliza je ni sheria zetu butu, je ni uzembe kwa watu ambao Mh Rais amewaamini kumsaidia kusimamia au ni mazoea ya viongozi wetu kuzoea...
  6. JamiiForums Tanzania Semina elekezi ni muhimu kwa Mawaziri wa Rais Magufuli

    Mzee wa msoga aka Jakaya aliona mbali pale alipokuwa anasisitiza ufanyaji wa semina elekezi kwa viongozi. Japokuwa mambo yalienda kombo baada ya kuonekana kuna matumizi mabaya ya ofisi. Hasa baada ya ile iliyofanyika Ngurdoto kuonekana ilitumia pesa nyingi za umma bila sababu ya msingi...
  7. JamiiForums Tanzania Gambo amwambia DED na viongozi Arusha hatishiwi Nyau

    Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amewaambia viongozi wa wilaya ya Arusha na mkurugenzi wa jiji la Arusha(DED) kuwa hatakubali kukwamishwa na viongozi wa jiji la Arusha wakati akitekeleza majukumu yake. Gambo ameyasema hayo wakati akiongea kwenye mkutano wa Baraza la wanawake wa UWT...
  8. JamiiForums Tanzania Namuunga mkono Rais Magufuli 100% kuendeleza Chato

    Nimeshawahi kusikia Watanzania wakiwalalamikia Marais waliopita kwamba hawakufanya mambo ya maana makwao kama Baba wa Taifa hakufanya mambo ya maana Musoma vivyo hivyo Mkapa hakufanya mambo ya maana Masasi. Nami naungana nao kuwalaumu. Kikwete hakufanya mambo ya maana Bagamoyo na Mwinyi...
  9. 4

    JamiiForums Tanzania Wakati Chato tunaendelea, basi tuiboreshe na Tanganyika - Tanga

    Wana jf heshima zenu zote nilishamkabidhi mungu bila kujali, dini, chama au umri. Mheza kama waenda Tanga mjini ipo sehemu yaitwa TANGANYIKA kabla ya kufika MKANYAGENI, na kabla ya kufika BAGAMOYO, KILAPULA, PONGWE, MAWENI, KANGWE then kwa MINCHI to TANGA MJINI. Sikuwahi jua chanzo cha jina...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato Dodoma

    Ninawasalimu ndugu kwa Jina lile lipitalo Majina yote. Mada yangu ni kuhusu ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato Dodoma ambao Serikali ilijinasibu kuujenga tangu Rais Magufuli ameingia madarakani. Awali ya yote naomba niweke kumbukumbu sawa hapa kulingana na muda, Msalato...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kuhusu miundombinu Chato, Rais anawaagiza au viongozi wenyewe wanaamua tu kuipeleka huko?

    WanaJF, Hongereni na usiku wa mapinduzi ya Zanzibar. Na naenda kwenye mada moja kwa moja. Kumekuwepo na maoni mengi sana siku za karibuni kuhusu uwekezaji au miondombinu inayojengwa wilayani Chato(nyumbani kwa rais wetu). Kila kundi wameongea yao; Wanasiasa, wanaharakati, wasomi wa kawaida...
  12. JamiiForums Tanzania Bandari ya Nyamirembe - Chato ipo tayari kwa matumizi

  13. JamiiForums Tanzania Barua" fupi" kwa Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Magufuli

    Salaam Wana JF, Naanza andiko hili fupi kwa kumshukru Mungu kwa wema wake wote kuendelea kutupenda sisi Watanzania na kutujalia kheri za kila namna katika shughuli zetu za kila siku. Baada ya Salaam hizo niangazie kusudi la barua hii fupi, Andiko hili kimaudhui ni kutambua Mchango wa kipekee...
  14. JamiiForums Tanzania Rais nakuomba umteue Joseph Kasheku Msukuma awe Waziri

    Baada ya kuchoka na blaa blaa nyingi za hawa watu wanaojiita wasomi (wenye degrees, masters,PhD na maprofessa) naleta ombi kwako Mh Rais JPM umfikirie bwana Joseph Kasheku Msukuma kwenye nafasi ya uwaziri licha ya Elimu yake ya darasa la saba. Kama mtu aliyekwenda darasani kabisa anashindwa...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Vision ya Rais Dkt. Magufuli ni kuipeleka Tanzania mbele kupitia njia waliyopita Singapore

    Huwa ni kwa vile watu ni wagumu sana kuelewa. Vision ya Rais Dkt. Magufuli ni kuipeleka Tanzania mbele kupitia njia waliyopita Singapore. Singapore walikuwa masikini mara 3 ya Tanzania ya leo. Miaka ya mwanzo ya 70 walikuwa na GDP per capita $320. Sisi leo GDP per capita ni $930. Leo Singapore...
  16. JamiiForums Tanzania Gazeti la Daily News ni kichefuchefu. Kila siku front page ni JPM ......

    Haya magazeti huletwa kazini kila siku ya kazi ili kutimiza azma ya kuwapa watumishi haki yao ya kupata habari kama katiba inavyosema. Sasa karibu kila siku lazima ukutane na title ya JPM kafanya hili, mara JPM kasema hili, mara JPM kamtumbua kigogo. Hata kama ni mahaba sasa haya ni mahabati too...
  17. JamiiForums Tanzania Rais wa China ampigia simu Rais Magufuli, ampongeza kwa ushindi na kwa utekelezaji wa miradi ya kimkakati

    1. Amempongeza kwa ushindi. 2. Amempongeza kwa kukabiliana na Corona 3. Amempongeza kwa kazi nzuri aliyoifanya kwa miaka 5 iliyopita 4. Amesema anaiona Tanzania kuwa nchi itakayo ongoza kwa uchumi barani Africa 5. Amempongeza kwa utekelezaji wa miradi ya kimkakati ikiwemo mradi wa SGR, Nyerere...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Zitto ataka wanaoikosoa ACT-Wazalendo waanzishe chama chao

    Nimeshangazwa na majibu ya mkuu wa chama cha ACT Wazalendo ndugu Zitto Kabwe aliyoyatoa kwenye mtandao wa twitter. Zitto alikuwa akimjibu mwananchi mmoja aliyekuwa akionyesha frustrations zake juu ya uamuzi wa chama cha ACT kujiunga na Serikali ya CCM huko Zanzibar katika kile kinachoitwa...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Naomba majibu kutoka kwa Rais Magufuli au wasaidizi wake au wanaCCM wenzangu ili ukweli uwe wazi

    %KUBWA NILIAMINI KUWA MH: RAIS NI MSEMA KWELI NA MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU, ILA HILI LA LEO LA MH: RAIS KUTAKA REGULATION ZIBADILISHWE ILI, ILI WALIOKUWA WAFANYAKAZI WA WAKARA WA MADINI (TMAA) WAPUNGUZIWE MISHAHARA , IMENIFANYA NILETE UZI HUU HAPA ILI TUTAFSIRI KWA PAMOJA UKWELI WA MH RAIS...
  20. E

    JamiiForums Tanzania CCM, tafuteni namna ya kumshauri Rais Magufuli maana muda mwingine anaumiza sana

    Nimesikiliza hotuba ya mh. JPM baada ya kumuapisha Naibu Waziri wa madini Prof. S. E.Manya. Moja ya sababu zilizosababisha kuleta huu uzi ili wana CCM wenzangu ambao wanaweza kutafakari uzi huu na ikibidi kumshauri mh. Rais. KIMEJIRI KITU GANI KWA MAONO YANGU? Mh. Rais alizungumzia mambo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…