jpm

  1. P

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli ameacha legacy ya kuthubutu kufanya kitu bila ya kuomba ruhusa kwanza kwa mfadhili yeyote

    Viongozi wa kisiasa wana kazi ngumu sana. Kutakiwa kumridhisha kila wanayemuongoza kwa kadri ya uwezo binafsi, ni mtihani mgumu. Ni vigumu kwa kila anayeongozwa na kiongozi fulani kuwa na mtazamo ule ule kama wa mtu mwingine. Naamini kabisa kwamba hayati John Magufuli hakuwa na sifa ya kiongozi...
  2. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Mji mdogo wa Himo usipopewa hadhi ya Halmashauri chini ya Rais Samia wananchi watamkumbuka sana Hayati Magufuli

    Kupitia mgombea wa ubunge wa Vunjo Dkt. Charles Kimei aliahidi kuishawishi serikali iweze kuufanya mji mdogo wa Himo kuwa halmashauri ili kupanua mji huo unaokuwa kwa kasi na pia itafanya maendeleo kuja kwa haraka sana sababu baadhi ya huduma wananchi wanalazimika kwenda mpaka Moshi (manispaa)...
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kipindi mzee wangu Magufuli yupo walikuwa hawaongei ameondoka sasa ndio wanajidai wanajua kutumia maiki

    Kipindi mzee wangu JPM yupo walikua hawaongei ameondoka Sasa ndio wanajidai wanajua kutumia maiki. Watu hadi wanatunisha mishipa na misuli kama yote. Mpaka unaweza kukimbia yaani. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Msitufokeee bhanaaa, kama mlikua na ubavu mngezungumza kipindi yupo, huo ndio uanaume kinyume na...
  4. Ng'wamapalala

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?

    Nimejiuliza na kufikiria sana sana kuhusu kifo cha Rais Magufuli kilichosababishwa na mfumo wa umeme wa moyo uliokuwa unaratibiwa na pacemaker/defibrillator. Kujiuliza na kufikilia kwangu kumetokana onyo la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Marekani (Department of Homeland Security-DHS) lililotolewa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbowe anakuwa sehemu ya mjadala wa bunge la bajeti pasipo na ulazima? Je, ni kwa sababu ni Mtu Maarufu?!

    Jana na Leo jina la mbunge wa zamani Freeman Mbowe limekuwa likitajwa tajwa sana bungeni huku wabunge wakipiga makofi na wengine vigelegele. Nijuavyo mimi hili ni bunge la bajeti na Freeman Mbowe siyo mbunge na wala hajishughulishi na kazi za bunge Kinachonishangaza wabunge wanapojadili...
  6. Hero

    JamiiForums Tanzania Msimuingizie agenda zenu Rais Samia, maana maono yake ni yaleyale ya Hayati Magufuli

    Watu wanataka Samia aje na vision yake katika urais Tanzania Kimsingi huyu mama hata VP hakuwahi kuuota, na kwa hiyo hakuwahi kuwa na picha ya nini afanye akiwa VP! Kwa hiyo, kwa uaminifu kabisa aliendelea kumsaidia JPM kufikia maono yake juu ya kuwa nchi liyo na uhuru kamili kwa kujikomboa...
  7. Ngaliwe

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Bagamoyo aka Mbeganizhou ya Wachina

    Bandari ya Bagamoyo haitajengwa na wachina kwa mkopo. Wanajenga mali yao wenyewe. Mali ya china ndani ya tanzania kwa miaka 99. Hakuna mtanzania ataruhusiwa kuingia pale kufanya lolote pale mbeganizhou ya Bagamoyo. Nilichogundua huo mradi wa bandari ya Bagamoyo ni do or die project kwa...
  8. Naja naja

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mazishi ya Hayati Magufuli tuambiwe ni kiasi gani cha pesa kilichotumika kwenye shughuli nzima

    Kwa jinsi hii shughuli ya msiba inavyoendeshwa inaonyesha wazi kuna mabilioni ya fedha yanapotea kwa kutumia mgongo wa kumzika kiheshima Rais Magufuli. Kuna wengine bila shaka wanatumia fursa hii kupiga pesa, pesa ambazo kwa namna moja au nyingine zingesaidia mambo mengi mno MF madawa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania PLO Lumumba amlilia Hayati Magufuli

    Lumumba ni mzalendo wa kweli Afrika. Kajidhihilishia hilo katika kipindi hiki kigumu cha msiba wa Hayati Magufuli. Machozi yanamtililika Kwa uchungu wa dhati. Kiukweli waafrika tumepoteza jembe.
  10. goroko77

    JamiiForums Tanzania Mwambieni CAG, sisi tumeridhika kwa kuwa tumezoea kuibiwa

    Sasa najiuliza ikiwa ripoti ya CAG imeonesha madudu je, ni jinsi gani sasa kama taifa tumeingiaje uchumi wa Kati? Ikiwa tumeibiwa Sana namna hii. Kuna bandiko linatembea nazani ni kutoka timu Sukuma Gang kujibu tuhuma za Msoga gang. ===== MWAMBIENI CAG, SISI TUMERIDHIKA! 1. Mwambieni CAG...
  11. Peasant educator

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Hayati Magufuli kwa NSSF

    Habari wadau. Katika sera za Hayati Magufuli kuelekea uchaguzi wa oct2020 alitoa ushauri kwa NSSF kutowekeza tena kwenye makongo na kuwekeza kwenye ujenzi wa viwanda. Tathmini ndogo tu iliyofanyika ila sijachapa hii report, jengo la mlimani la blue (PPF tower km sijakosea) liligharimu about...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli hakupata muda wakukabidhi nchi, je hakuna watu wamekalia fedha na rasilimali zetu?

    Tumezoe kwenye familia tukiulizwa anayedaiwa na Marehemu ajitokeze, anamdai Marehemu ajitokeze. Kauli hii inaungwa mkono na kampeni yakuandika husia. Husia serikalini nikukabidhi Mali na dhamana uliyopewa kwa mrithi wako. Ni bahati mbaya kwamba Mzee wetu JPM alitwaliwa katika ulimwengu huu bila...
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kupingana na mazuri aliyoyafanya hayati Magufuli ni kupingana na nguvu ya umma, huko mbeleni tutaona nani mshindi

    Hata alipokuwa hai hayati JPM kama bunge lingesema limkatae kwa kutumia ibara ya 46 ya katiba ya JMT na kumuondoa madarakani wananchi wangesimama na hayati JPM. Hili halina ubishi. Kwa hiyo kama wanachi wangesimama na JPM basi ni wazi kuwa angeshinda. Na bunge lingeonekana kituko. Maana...
  14. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Kama kilichoripotiwa na CAG ni Kweli, basi Magufuli alikuwa sahihi mara 3...

    Na. M. M. Mwanakijiji Ufisadi uliofanyika wakati wa miaka mitano ya Rais Magufuli tunaambiwa ni mkubwa sana. Kwamba, mabilioni ya fedha yameliwa na wajanja na kuwa fedha hizi zimeliwa na watu walioteuliwa na kusimamiwa na Rais Magufuli. Kwa haraka haraka - kama kawaida naona siku hizi -...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha na Waziri wa Ujenzi, msijisahaulishe kuweka ahadi ya barabara za jimbo la Kibamba aliyotoa JPM (RIP) wakati akizindua stand ya mbezi

    Kwa kuwa kila anayesimama anasema tutamuenzi kiongozi wetu Hayati JPM, basi waziri wa ujenzi na yule wa fedha msije kusahau kuwa kabla ya umauti kumkuta mzee wetu alikuwa ameagiza TANROAD kuanza kushughulika na barabara za jimbo la Kibamba kwa maana ni jimbo pekee ndani ya Dar ambalo lina chini...
  16. fasiliteta

    JamiiForums Tanzania Tunasimama na Hayati Dkt. Magufuli

    "NAAAM....! Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa...
  17. Ngaliwe

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dkt. Mpango ni mpango kamili?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameendelea kuwashangaza na kuwapa matumiani Watanzania kwa namna alivyoanza utendaji wake wa kazi, taratibu na kwa uhakika anathibitisha kwamba kauli yake kwamba nchi iko kwenye mikono salama na hakuna kitakachoharibika. Uteuzi wa Dk...
  18. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli anashambuliwa kila kona. Siyo kesi, ila mambo yaende; yasipoenda wananchi watawazomea kila kona

    Spidi aliyokuwa nayo Marehemu Magufuli ya kufanya mambo yaende na kufanyika kwa kasi inayoonekana wazi kwa kila mtu, ni challenge kwa waliopo iwe serikalini au bungeni au Mahakamani kuifikia baada ya kifo chake Matarajio ya wananchi ni kuwa spidi itakuwa kubwa kuliko ile au itabaki ile ile...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania CAG: ATCL imetengeneza hasara ya Tsh. Bilioni 153.542 ndani ya miaka Mitano

    Kampuni ya Ndege imekuwa ikitengeneza hasara kwa miaka 5 mfululizo na mwaka huu ilitengeneza hasara ya Sh. Bilioni 60.246. Kwa miaka mitano imetengeneza hasara ya Sh. Bilioni 153.542. ==== Kampuni ya Ndege Tanzania Nilifanya ukaguzi wa kiutendaji (Startegic and Operational Efficiency)...
  20. Zakamwamoba

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuichafua oil chafu, itakuchafua. RIP Dkt. Magufuli

    Siyo siri tena, nimebaini mchezo mchafu unaendelea kwa lengo la kumchafua Hayati Dkt Maguli. Taratibu wanafiki wanaanza kujionesha mmmoja mmoja, wanahaha kama mtu aliyekula nyama ya binadamu. Mpaka kufikia June wanafiki wote watajulikana. Nizungumzie Report ya CAG. Sijaona mahali popote...
Back
Top Bottom