jpm

  1. Ndokeji

    JamiiForums Tanzania TANESCO ya sasa imekuwa pambo; kipindi cha Magufuli ilikuwa ni ya kiutendaji

    TANESCO ya sasa kwa siku 100 imekuwa ikiweka nguzo kama Mapambo bila kuunganisha umeme, hili limekuwa tatizo kubwa wananchi mpaka wamefikia hatua yakusema hakuna msaada serikalini kwa kuwa kuna nguzo zimeweka zaidi ya miezi mitatu 3 tangu Mh Rais samia awe Mkuu na Rais wa nchi hii, wa Tanesco...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa ni nadra sana kuwakuta hawa viongozi wapo Dodoma Makao Makuu, wote imekuwa ni njia moja Dar

    Yaani kwa sasa ni nadra sana kuwakuta hawa viongozi wapo Dodoma makao makuu - wote imekuwa ni njia moko Dar - Magari yenye bendera za Mawaziri na Watendaji wengine wa Serikali wamerudi Dar kwa kasi kubwa mno. Yaani haipiti saa tatu ukiwa Morogoro kila siku unaona gari la kiongizo liko spidi...
  3. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Marais Wastaafu, Mawaziri Wakuu wastaafu watembelea Bwawa la Nyerere la mto Rufiji

    Kwa kutambua umuhimu wa mradi wa kufua umeme wa Mto rufiji Marais wastaafu na mawaziri wakuu wastaafu wametembelea bwawa la kuzalisha umeme la NYERERE Hii ni hatua kubwa za kuenzi legacy ya JPM Ndio maana tunasema JPM rest in power === Viongozi wakuu wastaafu Rais Ali Hassan Mwinyi na Jakaya...
  4. S

    JamiiForums Tanzania CCM inaweza kutupatia kiongozi mwingine mwenye uthubutu kama Hayati Magufuli?

    Pamoja na kutokutupatia baadhi ya haki zetu kama wafanyakazi, lakini nakiri kuwa nime mmiss JPM. Nawaza tu hivi kweli CCM itakuja tupatia kiongozi mwenye maono na uthubutu kama chuma aka Jiwe ? R.I.P mwamba...
  5. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa amkimheshimu sana John Mnyika akimuona ni kijana smart sana

    Toka Mnyika ni Mbunge wakati huo JPM alikuw Wizara ya Ujenzi. Mara nyingi alipenda kuongea na Mnyika akiwa Mbunge na kuchukua hoja zake kuzifanyia kazi. Magufuli aligundua kuwa Mnyika alikuwa na uchungu hasa wa maendeleo ya watanzania. Na hili lilimfanya mara nyingi atamani Mnyika aje CCM. CDM...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wapingaji wa kazi na wafuasi wakubwa wa Magufuli, kazi nyingine ya kupinga kazi zake hii hapa

    Nawaonea huruma wanaharakati wa Tanzania ambao wamejitwika zigo la misumari vichwani mwao kuhakikisha kazi na sifa njema za aliyekuwa Raisi wetu JPM wanazipinga na kuwakwamisha wote waliokuwa wafuasi wake kama wanavyajaribu kwa mwanamziki wa kimataifa wa Kitanzania Maarufu kwa jina la Daimond...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu machozi ya Sabaya kwenye msiba wa Hayati Magufuli

    Ukitumia jicho la tatu kwenye machozi mazito aliyotoa aliyekuwa DC wa Hai, Lengai Ole Sabaya kwenye msiba wa kitaifa wa JPM utaelewa yule bwana pale dhamiri yake ilikuwa inaongea waziwazi si msiba tu ulikuwa unamliza ila kuna msiba mkubwa zaidi ya huo haswa juu ya hatma ya maisha yake. Mojawapo...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Geita yakubali kuundwa Mkoa wa Chato; Kakonko, Biharamulo na Ngara kumegwa. Sengerema kwenda Geita..

    Geita yaridhia kuanzishwa Mkoa wa Chato. RCC yatoa mapendekezo. Baadhi ya maeneo kutoka mikoa jirani. RC Geita Mhe Rosemary Sitaki awashukuru Wananchi kukubaliana kwa hekima bila ushabiki. Kikao cha Kamati ya Ushauri ya mkoa - REGIONAL CONSULTATIVE COMMITTEE (RCC), Kilichokaa kama kikao Maalum...
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Serikali wapeni watu nafasi ya kufanya mambo yao, msiwe front sana

    ====== Speaker wa bunge,Job Ndugai " Government intervention inatakiwa ndio iwepo lakini minimal, yaani katika nchi za wenzetu nchi zilizoendelea kampeni moja wapo katika uchaguzi mkuu ni kitu kinaitwa less Government yaani less Government katika maisha ya watu sio ukigeuka serikali, ukigeuka...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu (Legacy) ya Dkt. John Pombe Magufuli

    Kila awamu huacha kumbukumbu zake muhimu wengine hutumia neno "Legacy". Kwangu mimi ninaamini wananchi na Taifa litamkumbuka Rais Dr JPM kwa mambo yafuatayo baada ya muda wake kuisha: 1. Nidhamu maofisini haijawahi kutokea maadili na nidhamu kurejeshwa hivi hata kama bado kuna changamoto ya...
  11. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kutoipa kipaumbele ikulu ya Dodoma: Je, kuhamia Chamwino ilikuwa matakwa binafsi ya Hayati Magufuli?

    Katika hali za sintofahamu juu ya utendaji wa tofauti sana kati ya rais wa sasa na yule aliekuwa mtangulizi wake, kwa muda mchache sana tumeona mengi yakibadilishwa kwa kasi ya kimbunga. Huku wengine wakihoji vipi mahusiano yao ya awali kati ya rais SSH na JPM kiushirikiano yalikuwaje kwa...
  12. X

    JamiiForums Tanzania Hofu miongoni mwa wana CCM ni udhaifu wa siasa za Hayati Magufuli: Rais Samia anajiamini

    Kumeibuka mada na mijadala mingi hapa JF na mitandao ya kijamii kutoka miongoni na wafuasi wa CCM inayokosoa, kulaani au kulalamikia mwenendo na misimamo ya utendaji wa Rais Samia. Zaidi kinachoendelea kwenye mijadala hii ni kumtaka Rais Samia “avae mabuti” na kupita njia za mtangulizi wake...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais azuru Kaburi la Magufuli akiwa njiani kuelekea Kibondo

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango ametembeleaa kaburi la aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt John Magufuli. Dkt Mpango alizuru kaburi hilo akiwa njiani kuelekea Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma ili kufunga kampeni za Uchaguzi za CCM jimboni Muhambwe...
  14. Thailand

    JamiiForums Tanzania Kwa uwajibikaji huu wa Wizara ya Michezo, hakika Dkt. Magufuli tutakukumbuka mzee wa msimamo

    Yaani wizara ya michezo chini ya waziri Bashungwa inakuja na tamko jepesi kuhusu kuwarudishia mashabiki pesa zao za viingilio kutokana na kuhahiriswa kwa mechi ya simba na yanga bila kuwajibika kwa aliyesabisha tatizo hilo. Bila kifikiria adha na usumbufu watu walioacha shughuli zao huko...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tujitafakari: Kwanini wananchi wanyonge wamlilie Hugo Chavez na hayati Magufuli?

    Chozi la mnyonge halina thamani? Hapana Mungu huwa analiona. Kwa nini Hugo Chavez na Hayati Magufuli waliliwe na wanyonge kiasi cha kushangaza dunia? Mbona George Bush snr hakuliliwa na wanyonge? Siasa zina mambo mengi sana. Ila mengi ni mabaya.
  16. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kusema yeye na Hayati JPM walikuwa kitu kimoja sio tiketi ya JPM kufananishwa na malaika, alikuwa mwanadamu tu.

    Ninamuelewa sana Rais Samia anaposema kuwa yeye na Hayati JPM walikuwa kitu kimoja. Kwamba ni maamuzi ya Hayati yaliyompa yeye nafasi ya kuwa mgombea mwenza. Kwamba yeye na Hayati walihangaika majukwaani na wakapigwa na jua pamoja mwaka 2015 ili waingie ikulu, hivyo haupo uwezekano wa wao...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Sasa ni takribani mwezi mmoja na siku kumi baada ya Tanzania kumpoteza Dkt. Magufuli

    Ni mwezi mmoja sasa Baada ya kumpoteza JPM Rais wa Awamu ya Tano wa Serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Sasa imepita mwezi mmoja na siku karibu kumi na moja kwa Serikali ya awamu ya sita chini ya mama yetu Samia Suluhu Hassan lakini ni wazi kabisa kwamba mfumo wa kuongoza na kuendesha...
  18. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Siku 40 bila mwamba: Ulituheshimisha sisi wanyonge na masikini, pumzika kwa amani Hayati Dkt. Magufuli

    SIKU 40 BILA MWAMBA: ULITUHESHIMISHA SISI WANYONGE NA MASIKINI,PUMZIKA KWA AMANI JPM. Katika awamu ya nne ya Rais Mstaafu Kikwete kurudi nyuma hadi Azimio la Zanzibar, Matajiri na Wafanyabiashara walikuwa na Jeuri za kila aina,kwa maana walianza kufanikiwa kuifanya CCM kuwa ya Wafanyabiashara...
  19. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alifanikiwaje kuwafanya watu wa vipato vya chini kumuamini kiasi kile?

    Jana maeneo ya matumbi matraffic wakiwa wametanda kila kona, Dereva wa daladala alipowaona tu akasema " Baba yetu amefariki sasa wameanza kutusumbua". Kauli kama hizi zimekuwa zikisikia kwa watu wa vipato vya chini kuona kama hayati alikiwa ndio kila kitu. Na sasa hivi kila rekebisho...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Mabeberu, Vibaraka wa Mabeberu, Wazalendo wa Hayati Magufuli, na Mradi wa Bandari ya Bagamoyo

    UTANGULIZI Amini usiamini, wale wale ambao wamekuwa wakijivika uzalendo, linapokuja suala la Mradi wa Bandari ya Bagamoyo, ndiyo hao hao wanaotumikia Mabeberu bila wao kujijua! Nitajadili mada hii katika sehemu mbili:- Kwanini wale wanaoitwa Mabeberu hawawezi kuwa tayari kuona miradi kama ya...
Back
Top Bottom