jpm

  1. Mario Kempes

    JamiiForums Tanzania Bado tunakukumbuka Jemedari John Pombe Magufuli

    Hii picha huwa naikubali sana, mpiga picha (Issa Michuzi) aliipatia sana! Bado tunakukumbuka Jemedari John Pombe Magufuli
  2. N

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli (R.I.P), Hivi Aliwezaje kufanya yote haya?

    Nimeangalia kinachoendelea sasa katika nchi na kujikuta nalazimika kumuuliza yafuatayo kuhusu mpendwa wetu Magufuli (r.i.p); 1. Hivi aliwezaje kuwafanya watu wamuogope vile? hofu ile ni kutumbuliwa tu au?!!! namkumbuka mkuu mmoja wa mkoa (nikifanikiwa nitaitupia clip) alivyokuwa anatetemeka...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alitufundisha walalahoi kuchagua walalahoi wenzetu

    Kuna watu hawawazi kama kuna watu kupata milo miwili kwa siku ni shida. Unakuta baba ni fundi na anategemea akitoka akapata kibarua ndiyo nyumbani wanasonga ugali, baba ni machinga akitoka akatembeza vitu mitaani ndiyo familia inakula. Wapo watu tangu wamezaliwa hawajawahi kukosa chai kuanzia...
  4. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Katika utawala wake, hayati Magufuli hakwenda New York kuhutubia UNGA, je tulirudi nyuma kiuchumi na kisiasa?

    Miaka mitano yote akiwa madarakani tuliwakilishwa na mawaziri wa nje. Na hakuna mtanzania aliyeona labda tumepungukiwa kiuchumi. Zaidi ya kuona maendeleo kwenye sekta za afya, miundo mbinu na ukusanyaji mapato. Safari hii tumewakilishwa na mkuu wa nchi. Je, ndio kusema taasisi kubwa kama Imf...
  5. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Dkt. Magufuli kuipasua CCM 2025

    Unaweza ukadhania ni masuala ya hadithi za kudhania lakini ukweli ni kuwa mpaka sasa watanzania wengi wanaamini kuwa haikuwa jambo la kawaida. Wengi wanaamini zilikuwa ni njama za wanaCCM kumuondoa kipenzi cha wanyonge na mtu aliyetetea wananchi wanyonge wa kawaida. WanaCcm wanaopenda...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Mpinzani wa kweli alikuwa ni Rais Magufuli

    Upinzani wa Tz unatakiwa kuzaliwa upya kwa kutumia mifumo ya demokrasia komavu na pevu za USA na Uingereza ambapo mgombea anaposhindwa uchaguzi mmoja basi uchaguzi unaofuata hagombei tena bali anaachia ngazi kwa kutoa nafasi kwa sura mpya asilani. Sura moja ikizoeleka sana ni sawa na adui kuzoea...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Wapinzani tusimamie sera za Hayati Magufuli zitatulipa

    Kwa kifupi awamu ya 5 ilisimamia sera zetu wapinzani tulizozisimamia kwa muda mrefu tofauti iliyokuwepo ni kwamba tofauti za kisiasa zilifanya awamu hiyo itushambulie na sisi wapinzani. Ni wakati sasa kwa wapinzani kurejea katika sera zetu za kumkomboa Mtanzania mnyonge kwa kusimamia rasiliamli...
  8. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Miezi sita bila Dkt Magufuli: Watanzania waliisoma na kuielewa dhamira ya Rais Magufuli iliyotiririka kama maji

    MIEZI SITA BILA JPM: WATANZANIA WALIISOMA NA KUIELEWA DHAMIRA YA RAIS MAGUFULI ILIYOTIRIRIKA KAMA MAJI. Leo 10:15hrs 19/09/2021 Rais John Magufuli, alikuwa Mzalendo mwenye mapenzi ya kweli kwa Nchi yake,hakuijua China,Marekani wala Ulaya toka achaguliwe, yeye ni Morogoro, Arusha, Iringa...
  9. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kwa uzandiki aliofanya January Makamba kwa Hayati Magufuli hakupaswa kuteuliwa kuwa waziri. Uzandiki dhidi ya Rais ni kosa kubwa sana

    Japokuwa uteuzi huwa ni bakshishi za kisiasa kwa watu wa karibu wa mwenye mamlaka lakini teuzi lazima zizingatie maadili,utii na sifa njema. Urais ni taasisi na sio mtu mmoja tu. Kama January alionyesha uzandiki na hila kwa rais aliyepita na kisha akanaswa akimsengenya kimajungu mkuu wa nchi...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mbali na kuwa Rais, Magufuli alikuwa nani katika nchi hii? Tumechoka sasa

    Kipindi cha nyuma nilikua nampenda na namkubali JPM kwa utendaji wake kazi lakini kwa sasa naona kama vile nikisikia hata jina lake napata kichefuchefu sasa maana imekua too much katika hali isiyo ya kawaida mimi nashangaa na ninasikitika sana, nimejiuliza sana Hayati JPM alikua na kipawa cha...
  11. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Katika ziara zake, Hayati Magufuli alikuwa akigawa pesa kwa ajili ya maendeleo, Sasa hivi wananchi wanakamuliwa

    Kila alipokuwa akifanya ziara tulishuhudia hayati JPM akitoa pesa kwa ajili ya ujenzi wa maendeleo. Sasa hivi kila mtu anashangaa imekuwa ni kukamuana tu kwa kila namna.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi alitembelea nyota ya Dkt. Magufuli, hana uwezo nje ya dola na mbele ya msingi wa haki

    Mhe. Lukuvi awamu iliyopita alikuwa anazunguka na kutoa amri zakufuta hati kila siku huku akiwatetemesha makampuni ya upimaji wa ardhi yakimbizane na deadlines. Alionekana Kama anajua kazi yake na ana uwezo wakusimamia kazi ikaenda. Leo hii ameondoka aliyekuwa bosi wake na yeye amepotea Kwenye...
  13. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hii ndio tofauti niliyoiona kati ya Rais Samia na Hayati Dkt. Magufuli hadi sasa

    Amani iwe nanyi wanabodi Leo nimeona nishare na nyie tofauti ndogo niliyoiona kati ya JPM na Samia Hadi sasa 1. Samia anafanya kazi kubwa sana ila haja invest kwenye mapambio ya kusifu na kuabudu. Kielelezo cha haya ni takwimu kubwa zinazombeba zinazoendelea kutolewa hadi sasa kuhusu Tanzania...
  14. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Chanjo ni kinga dhidi ya maradhi. Kama chanjo ya Uviko-19 sio kinga kwa 100% kwanini tuipigie debe kwa nguvu? Tutakukumbuka hayati JPM

    Tumeambiwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa kuwa chanjo ya Jonhsonjonhson ni super shot. Maana yake unadungwa shot moja na unakuwa umepata kinga. Wanaoinadi wanatuchanya zaidi kwa kutoa maelezo kuwa hata kama ukipata chanjo hiyo lazima ubaki ukichukua tahadhari kama kuvaa barakoa, kunawa...
  15. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Hatimae mizizi imepewa tena kipaumbele

  16. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Kukatika kwa Umeme ni Dar es Salaam yote au baadhi ya maeneo tu?

    Leo umeme umekatika majira ya saa nne hivi asubuhi, mi niko Kariakoo Jiji la Ilala mkoa wa Dar es Salaam, kwa style ulivyokatika umeme sikuona kama kuna tumaini la umeme huu kurejea mapema. Nikaamua kuuliza maeneo mengine kama Tabata nk nako hakuna Umeme pia. Nambie we uko wapi? Kwako kuna umeme?
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mungu ni mwema sana, sasa tunawafahamu waliokuwa wakimpotosha Hayati Magufuli kuhusu Corona

    Askofu Gwajima anaonesha kuwa ni mmojawapo waliokuwa wanamshauri vibaya Rais JPM (rip). Hizi chanjo hata Ulaya na Marekani wanachanja kwa wingi sana. Inamaana wao watakuwa mazombi ili Gwajima akazoe Dola zao kwenye mabenki watakapogeuka kuwa mazombi kama anavyosema Gwajima kuwa chanjo hizi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ndoto za Hayati Magufuli na Tanzania Mpya

    Hayati John Pombe Joseph Magufuli, ni mzaliwa wa chato mkoani Geita, pia alikuwa mbunge, naibu waziri na waziri katika nyakati tofauti, tofauti enzi la utawala wa Benjamin Mkapa na Rais mstaafu wa awamu ya nne Mh. Jakaya kikwete, hatimaye mnano mwaka 2015 alijitosa kugombea urais wa jamhuri ya...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ukweli: Legacy aliyoiacha hayati Mkapa ni kulipatia taifa uongozi wa hayati JPM tuache kupindisha ukweli

    Hayati Benjamini Mkapa aliona mbali mwaka 2015 baada ya CCM iliyokuwa chini ya Jakaya kuwa imepoteza imani kwa wananchi. Mkapa aliona mbali na kuhakikisha taifa letu linapata kiongozi ambae atalinyoosha taifa lililopinda. Ukweli ni kuwa hayati Mkapa ndie alieona umahiri wa hayati JPM kusimamia...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Viwanja vya maonyesho ya biashara sabasaba vya Mwalimu Nyerere, visiwekewe sanamu la Magufuli, ni kuchanganya Magufuli na Nyerere

    Viwanja vinaitwa vya mwalimu Nyerere, kwa nini unaweka sanamu Magufuli. Magufuli atafutiwe viwanja vingine huko Nanenane Mbeya au Dodoma. Hivyo viwanja vya sabasaba vibaki kwa jina la Kambarage. Viwanja hivyo ni vya wafanyabiashara, hawa watu wameumizwa sana na Magufuli , sanamu hili kuwekwa...
Back
Top Bottom