TANESCO ya sasa imekuwa pambo; kipindi cha Magufuli ilikuwa ni ya kiutendaji

Ndokeji

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
698
474
TANESCO ya sasa kwa siku 100 imekuwa ikiweka nguzo kama Mapambo bila kuunganisha umeme, hili limekuwa tatizo kubwa wananchi mpaka wamefikia hatua yakusema hakuna msaada serikalini kwa kuwa kuna nguzo zimeweka zaidi ya miezi mitatu 3 tangu Mh Rais samia awe Mkuu na Rais wa nchi hii, wa Tanesco wamekuwa wakiweka Magunzo bila kuunganisha umeme hii imekuwa sugu katika kituo cha Nyakato Mwanza

Waziri amka sasa acha kulala kwa mujibu wa katiba, Mwananchi ndio mwenye Mamlaka na ndio Mwajiri wako, fatilia sehemu zote zenye nguzo bila umeme, fukuza hao manager, surveyor ajili wengine.

By wako Mwanadiplomasia
 
Kwangu binafsi ni kama umeongea kinyume. Kipindi cha mwendazake walizingua sana,ila kwa mama yamekuwa mtelezo.
wewe unaongozwa namapenzi yako binafsi,sasa hivi hawa watu wanafanya kama wavyotaka, siyo Maagizo ya serikali, Faatilia wananchi wanalalamika sana
 
Ficha upumbavu wako, kwa taarifa yako baada ya tamko la waziri walileta nguzo na kusimika bila hata kufuatiliwa.

Pambana na hali yako mkuu.
 
Huu ujinga wako ndio unaodidimiza Taasisi kuwa na utaratibu endelevu, Hujui hata kinachoendelea , Hebu faatilia ndio utajua ni jinsi gani ni zero brain
 
TANESCO ya sasa kwa siku 100 imekuwa ikiweka nguzo kama Mapambo bila kuunganisha umeme, hili limekuwa tatizo kubwa wananchi mpaka wamefikia hatua yakusema hakuna msaada serikalini kwa kuwa kuna nguzo zimeweka zaidi ya miezi mitatu 3 tangu Mh Rais samia awe Mkuu na Rais wa nchi hii, wa Tanesco wamekuwa wakiweka Magunzo bila kuunganisha umeme hii imekuwa sugu katika kituo cha Nyakato Mwanza

Waziri amka sasa acha kulala kwa mujibu wa katiba, Mwananchi ndio mwenye Mamlaka na ndio Mwajiri wako, fatilia sehemu zote zenye nguzo bila umeme, fukuza hao manager , surveyor ajili wengine
By wako Mwanadiplomasia
Hebu mwacheni Madam President afanye kazi zake.Tumepewa uhuru wa kuandika na kusema mnachotaka lakini wakati wa hayati JPM usingethubutu kuandika ulichoandika.
 
Wewe ni negative brain, ungekuwa vizuri reply yangu ya kwanza ungeielewa.
 
Hebu mwacheni Madam President afanye kazi zake.Tumepewa uhuru wa kuandika na kusema mnachotaka lakini wakati wa hayati JPM usingethubutu kuandika ulichoandika.
Ni kweli uhuru katupa hiyo ni hatua kubwa sana, ispokuwa anaungushwa na watendaji kazi wake, asiwachekee wanapenda rushwa sana hawa watu
 
Si mlikuwa mnamtukana Magufuli?

Si mlisema mama anaupiga mwingi na sasa ufipa mnapumua?

Season ya nyumbu migration imeanza rasmi

Yule alikuwa kiongozi dhalimu na muovu, tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea lile ibilisi bila damu kumwagika.
 
Hasa kwa wazembe, wezi, wararushwa,wenye kupende wa kwao
Wote mliokuwa kwenye kundi lake la watu wasiojulikana, mnadhani mkitaja hizo sababu mtaficha uovu wake. Ni hivi alikuwa dhalimu na muovu fullstop.
 
TANESCO ya sasa kwa siku 100 imekuwa ikiweka nguzo kama Mapambo bila kuunganisha umeme, hili limekuwa tatizo kubwa wananchi mpaka wamefikia hatua yakusema hakuna msaada serikalini kwa kuwa kuna nguzo zimeweka zaidi ya miezi mitatu 3 tangu Mh Rais samia awe Mkuu na Rais wa nchi hii, wa Tanesco wamekuwa wakiweka Magunzo bila kuunganisha umeme hii imekuwa sugu katika kituo cha Nyakato Mwanza

Waziri amka sasa acha kulala kwa mujibu wa katiba, Mwananchi ndio mwenye Mamlaka na ndio Mwajiri wako, fatilia sehemu zote zenye nguzo bila umeme, fukuza hao manager , surveyor ajili wengine
By wako Mwanadiplomasia
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
 
Hawa jamaa ndio kauli zao , Tumeskia ombi lako kazi,tuta ......ovyo kabisa JPM nguzo unaiona leo baada ya siku tatu surveyor siku ya 8 umeme,sasa hivi ni Mapambo

Back
Top Bottom