Kuna kijana mmoja kampeni meneja wa John Pambalu huko Mwanza ana trend Sana YouTube, anasema, " ukitaka kumuua mbwa mpe majina yote mabaya"
Hii Ina maana gani?
Kwangu Mimi, nakubaliana na slogan hii, huwezi kumuua mbwa kwa kumwita majina uyapendayo, utamhurumia, lakini ukimpakaza majina mabaya...
Wanabodi,
Kwanza sikiliza hii
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongela, ni moja wa Ma RC very bold katika kuusema ukweli bayana!, leo amevunja mwiko wa ukimya kwa viongozi wa serikali kutompigia kampeni zozote za kisiasa kwa mgombea yoyote, kwasababu hawa ni viongozi wa kiutendaji, lakini RC John...
Katika kpindi hiki kigumu kuna maajabu mengi sana yanaendelea kutokea. Kwa kiasi kikubwa chanzo cha maajabu yote haya ni huyu Tundu Lissu. Mfano wa maajabu ni suala la bei ya umeme. Kule Kigoma mgombea wa CCM Dkt.Magufuli amemlaumu na kumshangaa Rais Magufuli kwa kushindwa kuweka ahueni ya...
"Mtu anasimama analalamika eti sina mahusiano mazuri na Nchi za Ulaya kwani ni lazima mtu kwenda huko Ulaya, hata sasa kuna mkutano wa umoja wa mataifa nimesema siendi nitatuma Mabalozi wetu wakatuwakilishe huko na ndiomaana tukawaweka huko watuwakilishe"
"Ningekuwa sina mahusiano mazuri je...
MKUTANO WA MGOMBEA URAIS JOHN POMBE MAGUFULI KUTOKEA CHATO, GEITA UKO LIVE
===
MAGUFULI: Ndugu zangu wa Chato na Geita kwa ujumla, mwaka 1995 nilikuja kuomba kura kwa nafasi ya ubunge, mkanipa miaka 5, nikaja tena mwaka 2000, nikaja tena 2005. Katika vipindi vyote vinne nikiwa mbunge...
Huyu mama wa CCM jimbo la Segerea wana CCM wanamzomea kila mahali kwenye mikutano yako jimbo la Segerea. Kila anapopita anapata wakati mgumu mpaka anatamani kulia.
Katika kitu ambacho Kamati Kuu ya CCM ni sikio la kufa ilikuwa kumrudisha Bonah Kamoli Segerea bila kujua alishinda vipi, huyu mama...
Wanajamvi,
Tunao wanasiasa ambao ukiwaangalia unaona kitu ndani yao. Binafsi, namuona John Mnyika Kama mwanasiasa wa upinzani asie na mawaa. I stand to be corrected.
Hatahivyo, Mnyika kwasasa hayuko sehemu sahihi. Pamoja na kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA bado kwa jicho la ndani namuona John akiwa...
Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na kupata habari, kuminya demokrasia, kuwadhulumu na kuwaonea wakulima na wafanyakazi?
NAHITAJI MAJIBU
Nimepitia kwenye account ya twitter ya John Mrema, kwa hakika anachofanya kimenifanya nistaajabu.
Mrema ni mkurugenzi wa mawasialiano na mambo ya nje wa CHADEMA, hivyo ni mtu ambae yupo supported na chama kwa 100%. Ila hiki anachofanya kimenifanya niwaze mara mbilimbili.
Anataka nusu ya...
Leo Jumatano, Dkt. John Magufuli yupo mkoani Geita baada ya jana kutoka jijini Mwanza kuendelea na kampeni ya Urais kuomba ridhaa ya kusalia madarakani kwa muhula wa pili. Tuwe sote kujuzana yatakayojiri.
=======
10:15 Asubuhi: Dkt. Magufuli awasili uwanjani
10:18 Asubuhi: Dua na Sala...
ASILIMIA 100 YA TABAKA LILILOJICHOKEAGA AWAMU ZOTE,AMBALO AWAMU YA TANO LINAOGOPWA NA WENYE PESA, WATAMPA KURA ZOTE RAIS JOHN POMBE MAGUFULI.
Leo 14:45hrs 06/09/2020
Tabaka la watu wanyonge wasio na chochote cha kujisifu nacho mbele za watu ambalo awamu zote limejichokeaga tu sema safari hii...
Sina shida na Wewe katika 'Utendaji' wako na unajitahidi japo 'Kibinadamu' bado kuna maeneo mengine hujaweza 'Kukamilisha' na pengine Watanzania tunaokuamini na hata wale waliokuwa hawakuamini nao kwa pamoja katika Uchaguzi huu Mkuu ujao wa tarehe 28 Mwezi Oktoba tukikupa tena 'ridhaa' zetu na...
Kila anapopita, hujieleza. Tena ni mambo yaleyale aliyoyahubiri na kuyatajataja kwa miaka yake yote mitano madarakani: ujenzi wa reli, ujenzi wa bwawa la umeme, barabara, zahanati, madaraja na kufuta ada za shule za msingi hadi kidato cha nne. Hana jipya katika sera zake. Hana mipango mipya...
Katika hali ya kushangaza kiongozi mwandamizi wa Chadema anayegombea ubunge Ndg. John Mrema anaanza kampeni zake kwa kuomba achangiwe.
Najiuliza iwapo kiongozi huyu ambaye amepata neema nyingi za kushirikishwa kwenye matukio ya Chama chao na kuwa mjumbe wa kamati kuu kwa muda wa zaidi ya miaka...
Hakuna mashaka yoyote kuwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, mchuano mkali sana wa kinyang'anyiro hicho cha urais utakuwa baina ya vyama viwili ambavyo ni CCM na CHADEMA.
Kwa maana hiyo ni lazima sisi wananchi tufuatilie kwa makini sana, kwa wagombea wa Urais wa vyama hivyo viwili vikuu, pale...
Tumia jicho lako la tatu kutueleza utofauti wa hawa viongozi wawili wenye ushawishi mkubwa kwenye uchaguzi mkuu wa 2020.
Baada ya kumalizika kwa kampeni za leo kwa wagombea wote wawili mmoja akiwa Dodoma na mmoja akiwa Dar es salaam wote waliandike jumbe kwenye kurasa zao za Twitter.
Kwa kauli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.