jinsi ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Jifunze hapa jinsi ya kuzivuta fursa na kuzitumia ndani ya muda mfupi

    JIFUNZE HAPA: Jinsi Ya Kuzivuta Fursa Na Kuzitumia Ndani Ya Muda Mfupi. Unakwama Wapi Mpaka Sasa Hujui Jinsi Ya Kuzivuta Fursa? Huzioni fursa lakini wenzako wanaziona na kuzitumia je, unajua tatizo ni nini? Ulichofichwa kwa muda mrefu leo unakwenda kukifahamu na kukitumia ipasavyo. Angalia...
  2. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuishi na mwanaume mkorofi mwenye visa na gubu

    wanaume wa aina hii wapo wengi Sasa ukikutana na mwanaume wa aina hii ujue kuna kitu labda anataka muachane au ana mchepuko ama ni hulka yake tu kuwa mkorofi. Visa huwa haviishi sasa unatakiwa ujue jinsi ya kuishi naye; Mfano akianzisha ugomvi fanya kumuacha aendelee ili umsaidie kutoa yote ya...
  3. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutuma transferwise (WISE) kwenda Voda Mpesa

    Habari wanajamvi, Kwa wale tunaofanya kazi mtandaoni, what's the best way kutransfer hela from Wise kuja Mpesa/Tigopesa? Kuna rafiki yangu kaniambia Mpesa ni dakika 30, sasa bank transfer nilijaribu, wananiambia 48 hours! Msaada please.
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengenza dawa ya nguvu za kiume (Viagra) ya asili

    Chakula tunachukula kina uhusiano mkubwa na hali zetu za kupenda au kutopenda kufanya mapenzi. Kiujumla chakula chenye virutubisho vya kuusaidia moyo na mishipa ya damu kufanya kazi zao vizuri vitakuweka kwenye hali ya kuwa na matamanio ya kufanya tendo la ndoa. Ukweli huu unahusisha pia chakula...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujisajili BASATA kwa ajili ya kufanya sanaa

    Msanii anaweza kupata fomu ya usajili mtandaoni kwa kuingia www.basata.go.tz au kwa maafisa Utamaduni wa Wilaya na baadaye kujaza fomu na kuziwasilisha BASATA zikiwa zimeambatanishwa na wasifu binafsi (CV) wa Msanii husika
  6. JamiiForums Tanzania Mbinu ambazo wafanyakazi wanatumia kuibia waajiri wao

    Nchi yetu inasifika kwa kuwa na waajiri wasiowaaminifu. Hili mimi mwenyewe nimejionea. Sasa basi, ili kusaidia kukomesha hili tupeane mbinu ambazo wafanyakazi wanatumia kuibia waajiri wao. Weka kazi yoyote, uhasibu, ualimu, mabaa medi, fundi ujenzi, udereva nk. Wizi sio lazima pesa, weka wezi...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kulinda afya ya moyo wako

    Linda Afya ya Moyo wako kwa kufanya yafuatayo; Dhibiti matumizi pombe na sigara Dhibiti uzito, fanya mazoezi Kula mboga za majani na matunda kwa wingi Dhibiti kiwango cha chumvi kwenye chakula
  8. JamiiForums Tanzania Intensive discussion; ushauri wa kisera kutatua tatizo la ukosefu wa ajira nchini angalau kwa 90%. Visababishi, mkwamo na jinsi ya kutoka

    Kwenye mjadala huu 'serious' tutajadili kwa kina juu ya vipengele vifuatavyo kuhusu hali ya ajira kwa vijana nchini;- 1.Hali ikoje kwa sasa? 2.Matokeo ya tatizo hili la ukosefu wa ajira ni nini kwa wakati huu? 3.Tatizo hili linasababishwa na nini? 4. Hali hii ikiendelea hivyo hatari yake ni...
  9. JamiiForums Tanzania Ni vipi mtu anaweza kujua jina la mmiliki wa gari kupitia plate number?

    Hello JF, Naomba kujua ni kwa namna gani naweza kumtambua mmiliki wa chombo cha usafiri hususani gari bila purukushani za kwenda polisi. Je, inawezekana kupata taarifa online? Majina, namba za simu?
  10. JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuunlock Tecno RC6 (r7+).

    Wataalam kuna hii simu tajwa hapo juu inatumia line mbili ila iko locked kwenye vodacom. Nimejaribu kuunlock kwa kutumia NCK Android MTK ile cracked nimeshindwa. Nakutana na error 36 phone not support meta connection, lakini inakuwa tayari ishaboot upande wa meta ila connection inastop hapo...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuupata wimbo huu wa zamani (zilipendwa)

    Jamani natafuta huu wimbo muda mrefu Bila mafanikio sijui jina lake staili ya uimbaji ni kama ya magic system au papa Wemba ile nyimbo kama sio mkongo aliyeimba Basi ni watu kutokana West Africa au central Africa hii nyimbo inaimbwa kwa mtindo huu naandika Kiswahili. "Kiberenge kinaokoaaaa...
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku_unlock azumi vodafone

    Baada ya Vodacom kuidindisha TCRA na kukomaa na vifurushi vipya ,swala la kutemana nalo halina mjadala. Nimesajili line ya ttcl lakini simu nayotumia ni ya voda. Nafanyeje ili niweze tumia line zote?
  13. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwa sehemu sahihi kwa wakati sahihi

    Kila Mtu anao ufunguo wake.Unaweza kuutumia ufunguo wako kwa kujifungia au kujifungulia fursa. Moja kati ya changamoto kubwa ni uwezo wa kuwa sehemu sahihi,kwa wakati sahihi kwa ajili ya fursa sahihi.Hii condition lazima itimie ili mtu aweze kupiga hatua ya kimaendelea katika maisha au jambo...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuanza uchimbaji mdogo wa madini (Almasi na Dhahabu) bila mtaji

    Habari za leo wakuu, Nahitaji kufahamishwa jinsi ya kuanza uchimbaji mdogo wa madini bila mtaji. Karibuni wakuu.
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujua kama charger ni fake au original

    Kama mnavyojua sikuhizi kupata charger original ya uhakika ni shida sana. Charger nyingi madukani humu zinaandikwa fast charger ila ukienda kuitumia ni matatzo tupu. Leo nitaelezea njia rahisi ya kujua kama charger ni fake or original. Kwanza charger fake ni ile isiyofikia kiwango chake...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa namna ya kuendana na mwanaume mwenye changamoto za kiuchumi

    ...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani jinsi ya kufanya conference/merge calls kwa laini iliyozuiwa

    Nina laini ya halotel ambayo wamelock conference/merge calls. Kw yeyote anaejua jinsi ya kutoa msaada tafadhari.
  18. JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Tsh 1,000,000 anaweza kufanya biashara gani?

    Nina ndugu yangu ambaye natamani sana msaidia sababu ana changamoto ya kazi. Sina pesa nyingi kwa sasa but nadhani angalau hiki kidogo nlicho nacho afanye kitu. Nina tsh 1,000,000. Nataka aipande hii kwenye biashara flani then aweze zalisha. Isiwe biashara ya kutembea sana sababu alipata ajali...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa jinsi ya kupakua notes zilizo katika mfumo wa google drive

    Mwenye ujuzi anifahamishe tafadhari. Nawasilisha
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ni matumaini yangu Waziri Kabudi utakuwa umejifunza jinsi ya kutoa Hotuba fupi na yenye Mambo yote Muhimu kama aliyoitoa Rais Mwinyi wa Zanzibar

    Kwa ninavyokujua Mzee wangu Waziri wa Mambo ya Nje Profesa Palamagamba Kabudi ungepewa Wewe nafasi ya Kuzungumza Zanzibar leo usingetumia dakika 15 tu alizotumia Rais wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi. Hongera sana Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa Hotuba yako nzuri, fupi, yenye Mambo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…