Jinsi ya Kutengenza dawa ya nguvu za kiume (Viagra) ya asili

Ethan Cruz

JF-Expert Member
Apr 29, 2021
231
331
Chakula tunachukula kina uhusiano mkubwa na hali zetu za kupenda au kutopenda kufanya mapenzi. Kiujumla chakula chenye virutubisho vya kuusaidia moyo na mishipa ya damu kufanya kazi zao vizuri vitakuweka kwenye hali ya kuwa na matamanio ya kufanya tendo la ndoa. Ukweli huu unahusisha pia chakula chenye madini ya zinc ambacho huongeza na kuboresha mbegu za mwanamme.

Pamoja na kuyafanya hayo, jaribu kuutengeneza na kuutumia mchanganyiko wa matunda kama inavyoonyeshwa kwenye video hii hapa chini. Mchanganyiko huu wa matunda umeonyesha kuwa na nguvu ya kuamsha ari ya kufanya tendo la ndoa. Tuuite mchanganyiko huu “Viagra Asilia” kwani unatengenezwa na vitu vya asili tu.

Nitaonyesha video mbili ili uweze kuchagua ile utakayoona ni rahisi kwako kuifuata. Video ya kwanza inaonyesha jinsi ya kutengeneza viagra ya asili kwa kutumia mchanganyiko wa matunda ya aina nyingi. Tazama video hii hapa:

Video ya pili inaonyesha jinsi ya kutengeneza viagra asilia kwa kutumia matunda ya aina mbili tu na kuyachemsha. Tazama video hiyo hapa chini:

Kila mtu anaelewa kwamba VIAGRA inaongeza nguvu kukuwezesha au kumfikisha mwenza wako endapo una hofu. Kuna siri ndogo sana nyuma yake na itakuwezesha kupata virutubisho na kuimarisha urijali wako.

MAHITAJI:
  • Tikitimaji
  • Limao
MAANDALIZI:
  • Saga tikitimaji lako kwenye brenda au kwenye kifaa maalum cha kusagia na upate lita moja
  • Kamulia limao 2 katika Juisi ya Tikitimaji kisha saga tena ili upate mchanganyiko mzuri
MATUMIZI:
  • Unashauriwa usiwe umekula kitu tumboni ndo unywe kisha ufanye ambalo umedhamiria kufanya
  • Jinsia zote Wanaume na wanawake hata kwa wazee haina madhara
Pia unaweza tengeneza kwa matunda ma 4, Matunda hayo ni Tikiti_maji, Limao, Beetroots na Strawberry.
 
Hiyo kitu n fix tu hakuna kitu hapo. Kama unataka kua fit fanya hivi...
Piga tizi lolote angalau dk 30 halafu malizia na tizi la skwati angalau 150 kwa Siku
Kunywa maji mengi ili uwe na mzunguko mzuri wa damu na mwisho jiamini mapenzi ni starehe si kukomoana maana haiwezekani utaumia wewe.. Nazani tumeelewana au nasema uongo ndugu zangu
 
uliijaribu
 
Back
Top Bottom