Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,497
- 5,533
Kila Mtu anao ufunguo wake.Unaweza kuutumia ufunguo wako kwa kujifungia au kujifungulia fursa.
Moja kati ya changamoto kubwa ni uwezo wa kuwa sehemu sahihi,kwa wakati sahihi kwa ajili ya fursa sahihi.Hii condition lazima itimie ili mtu aweze kupiga hatua ya kimaendelea katika maisha au jambo lolote.
Wengine hujikuta wako sehemu sahihi ila wakati sio sahihi na wengine hujikuta wakti ni sahihi ila hawako sehemu sahihi.Hii huwapelekea kupishana na fursa au kama wanvosema watoto wa mjini Kupishana na gari la mshahara.
Swali la msingi la kujiuliza ni JE unaweza kuchukua hatua ya kukuwezesha kuwa sehemu sahihi kwa wakati sahihi?Jibu la swali hili Ni ndio ila inahitajika uchukue hatua madhubuti na ubadili kabisa mfumo wako wa maisha pamoja na mtazamo wako kuhusu watu na matukio na hata kuhusu wewe mwenyewe.
Huwa napenda kutoa ushauri rahisi sana kwa vijana kwamba "Opportunities are directly proportional to human potentials,The more potentials you have the more opportunities you will have so the best thing you can do is investing in your human potentials and the right opportunities will be shown to you"
Kwa ufupi ni kwamba ili uweze kuwa katika sehemu sahihi kwa wakati sahhi ni lazima uwe mtu wa wakati wote na sio mtu wa sehemu zote."Be Current,Be Uptodate,Learn,learn and learn" Ninaposema learn simaanishi ukusanye makaratsi AKA vyeti,NO namaanisha JIFUNZE na upate REAL knowledge makaratsi unachapisha TU.
Sasa what is REAL KNOWLEDGE? Real Knowlege is knowledge that has the potential of impacting your life and the life in your community,Any other knowledge is not REAL knowledge. REAL knowledge inapatikana katika POSTS kama hizi kwenye JF,social media,blogs,wikipedia,you tube etc.Unaweza pia kujifunza kutoka katika Jamii inayokuzunguka na kuhakikisha kwamba unakuwa na hazina ya maarifa na taarifa za kutosha.KUMBUKA kadiri unavokuwa na maarifa na ujuzi ndio kadiri unaweza kuona fursa.
Kuna mbinu nyingine kama vile kutengeneza aina sahihi ya NETWORK an pia kuwa na mtazamo CHANYA yaani UITAZAME FURSA kwa jicho sahihi kwa sababu Pale ambapo wenzio wanaona matatizo wewe unaweza kuona FURSa kama ukitazama kwa usahihi.
Karibuni tujadili zadi juu ya namna bora ya kuweza kuona FURSA na kuzitumia na ZAIDI namna bora ya kuhakikisha kuwa upo sehemu sahihi kwa wakati sahihi.
Karibuni