jinsi ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri: Jinsi ya kujiandikisha kama Private Candidate kwa mitihani ya Kidato cha Sita

    Habari wakuu, Ninahitaji kujua jinsi ya kujiandikisha ku re-sit mtihani wa kidato cha sita. Na ipi inaweza kuwa rahisi kati ya kurudia mtihani ama kusoma kozi ya diploma na kuendelea zaidi mbele? Kozi zipi pia za diploma za muda mfupi mtu unaweza kusoma kwa matokeo ya form four ya div2. Asante.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kutumia free Facebook

    Sorry kwa usumbufu jamani nina shida nataka nijue jinsi ya kutumia free Facebook yaan niweze kuona picha natumia Facebook lite apk asanteni!
  3. J

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa jinsi ya kuweka global rom kwenye oppo a57

    Naomba msaada oppo yangu a57 ina chinnes rom nahitaji kuweka global rom, nipatieni maelekezo zaidi
  4. JamiiForums Tanzania Imeandikwa muishi nao kwa akili, akili ya kwanza hii hapa jinsi ya kuishi na wanawake

    Habari wakuu Mwanamke kama namtongoza akiniuliza una mpenzi au mke ?? Nitamjibu kwa kujiamini kabisa ndio nina mke. Watu wengi wanadhani wakisema wanamke basi watakataliwa. Lakini majibu ni kinyume chake Hebu tutumie mfano wa duka lenye wateja wengi na lisilo na wateja, Duka lenye wateja...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Uingereza, Marekani na Australia zatangaza kuanza kushirikiana katika utafiti wa silaha za hypersonic na namna ya kujilinda dhidi ya silaha hizo

    Mpango huo utakuwa sehemu ya ushirikiano wa AUKUS, mkataba wa usalama uliotangazwa na nchi hizo tatu mwaka jana. Nchi hizo tatu (Uingereza, Marekani na Australia) zimelalamika kuwa mataifa pinzani yakiwemo Russia, China na North Korea yameshawaacha mbali ktk teknolojia ya makombora ya...
  6. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuzuia tatizo la kuharisha safarini

    Tatizo la kuharisha safarini linatatiza sana na pia huabisha. Shida hii husababishwa na sumu zilizotengenezwa na bakteria au virusi uliowameza kwenye msosi. Ni jinsi gani ya kujizuia. 1. Usile vyakula vichafu hasa usiku kabla ya safari. Wengi wanaopata shida ya kuharisha safarini si sababu ya...
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuukata mnazi jirani ya nyumba bila hasara.

  8. JamiiForums Tanzania Hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza tovuti yako binafsi/ofisi au kwaajili ya kujiingizia kipato

    Habari za sasa Mabibi na Mabwana, Matumaini yangu ni kuwa mnaendelea vyema kabisa.. Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ✋ ANGALIZO: Popote utakaposhare post hii au kuihifadhi, tafadhali usibadilishe/usiedit chochote pia toa Credit kwa Muandishi UTANGULIZI Ikiwa unahitaji kufungua tovuti kwaajili...
  9. JamiiForums Tanzania Anayejua jinsi ya kulipia bima ya afya NHIF kupitia huduma ya TIGOPESA

    Habarini jamani, Kama kuna mtu anajua jinsi ya kulipia huduma ya NHIF kupitia TIGOPESA naomba maelezo, maana nilisahau kuwalipia madogo, kwenda ofisini kwao uvivu😬
  10. JamiiForums Tanzania Msaada wa wataalamu jinsi ya kuondoa hiki katika simu

    Msaada
  11. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika Ugali mweupe wa mihogo

    Jukwa la mapishi silioni, ninatamani kuelezea jinsi ya kupika ugali wa mhogo na ukatoka mweupe na si mweusi kama bada tulilo lizoea. Bada ninapenda sana tena liwe na mboga ya kuku wa kienyeji apikwe chukuchuku. Back to the topic. Mhogo uliochemshwa na kuiva kabisa ukiwa bado wa moto unwekwa...
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kushughulika na Mtoto Mwenye Milipuko ya Hasira

    Shikilia msimamo wako. Ikiwa unampa mtoto wako kila kitu anachotaka kwa sababu tu analipuka kwa hasira, yaelekea ataendelea kufanya hivyo kila mara anapotaka kitu fulani. Kwa utulivu mwonyeshe mtoto wako kwamba hutalegeza msimamo wako. Elewa hali yake. Mtoto wako si mtu mzima. Kwa kuwa hajui...
  13. JamiiForums Tanzania Mafunzo ya Jinsi ya Kuanzisha na Kusimamia Biashara Ndogo

    Habari za wakati huu; Kama wewe ni mfuatiliaji wa makala zetu basi utafahamu kwamba tumekuwa tukijitahidi kwa kadiri ya uwezo wetu kushea baadhi ya maarifa na taarifa ambazo tunazo kwa ajili ya kuwawezesha wajasiriamali wadog na wakati katika kusimamia na kuendesha biashara zao.Wengi ambao...
  14. JamiiForums Tanzania Changamoto ya Haki za Binadamu Zanzibar, somo latolewa kwa AZAKI jinsi ya kupambana

    Taasisi ya Watetezi wa Haki za Binadamu Nchini Tanzania (THRDC) imetoa mafunzo kisiwani Zanzibar kwa kujengea uwezo AZAKI visiwani humo juu ya namna ya ufuatiliaji, uandishi wa ripoti za haki za binadamu na utunzaji wa kumbukumbu. “Mafunzo haya yanakwenda kuwajengea uwezo namna ya kufuatilia...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kusoma ukurasa wa mtandao bila matangazo ya biashara

    Habari wanaJF. Siku hizi matangazo ya biashara kwenye kurasa nyingi za mitandaoni yamezidi - hadi kufunika ulichofungua kurasa kusoma. Matangazo mengine yanafunguka katikati ya shughuli. Iko njia ya kusoma hizi kurasa bila bugudha kwa kutumia mfumo wa browser READER'S MODE. Browser ni...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza kuandaliwe Kanuni za Mikutano ya Vyama vya Siasa Nchini

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge kwa kushirikiana na Tanganyika Law Society (TLS) pamoja na Zanzibar Law Society (ZLS) ameagizwa kuandaa kanuni zitakazoelekeza namna ya kufanya mikutano ya hadhara ya Vyama vya Siasa. Rais Samia ameelekeza hayo baada va kupokea...
  17. JamiiForums Tanzania Wazamiaji wa Kiafrika nchini Ukraine wakiwa hawajui la kufanya wala jinsi ya kuondoka

    Unofficial African in ukraine, treated badly
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi gani ya kumshitaki mjeshi anayesumbua wananchi?

    Mambo vip jman Ni nani anajua jinsi ya kumshtaki mwanajeshi anaesumbua wananchi nipo huku naona Mzee anaonewa kweli Mzee anaumri wa miaka 66 anarukishwa kichura chura uraiani.
  19. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kulinda taarifa zako ununuapo bidhaa mtandaoni

    JINSI YA KULINDA TAARIFA ZAKO UNUNUAPO BIDHAA MTANDAONI Chati hii inaonyesha kwa asilimia nchi zinazoongoza kwa ukuaji wa mauzo ya rejareja ya biashara mtandaoni, huku Ufilipino ikishika nafasi ya juu zaidi Ukuaji wa Teknolojia ya mawasiliano nchini Tanzania, umechangia kwa kiasi kikubwa...
  20. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata TIN NUMBER ONLINE

    Wakuu habari, Kuna mtu anaitaji TIN ya TRA , Je! anaweza kuipata ONLINE wakuu?! Kwa namna zipi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…