jinsi ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kufahamu Uwekezaji Wa Ardhi/Majengo Ambayo Ni Hatarishi Mwaka 2022

    Sio kila kiwanja kinaweza kukutengezea fedha. Sio kila nyumba ya kupangisha inaweza kukutengezea kipato kikubwa na kipato endelevu kwa kila mwaka. Kwa sababu hii, unahitaji kufanya tathmini kabla ya kufanya uwekezaji kwenye ardhi/nyumba. Kwenye somo hili nimekuandalia mambo ya msingi sana ya...
  2. JamiiForums Tanzania iPhone6+ kuandika No service jinsi ya kufix

    Wakuu Nina iphone six plus ila ukiweka chip inaandika no service, ktk setting network inaandika not available Carrier pia not available
  3. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuacha ajira na kujiajiri bila kujutia mbeleni

    USIACHE AJIRA KABLA YA KUJITATHIMINI KWANZA: hapa namaanisha ujiulize je ajira yako inakupa furaha au inakukera na unaenda tu ili uweze kukidhi mahitaji yako ? na je ukijitathimini ukiwa uzeeni kwako baada ya kuendelea na hiyo ajira bila kujaribu kujiajiri utajilaumu au hautajilaumu? basi...
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuongeza manii

    Wakuu, Fanyeni hivi: Chukua ndizi Saba au nane zilizoiva kabisa. Zioshe kwanza kwa maji Safi. Menya (toa maganda) halafu hayo maganda weka kwenye sufuria Safi,weka maji kwenye sufuria kama lita Moja hivi! Chemsha mchanganyiko wa maji na maganda hadi uchemke kama chai Hadi maji yabadili rangi...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kubadilisha Operating System ya simu

    Mimi nina simu hizi za gougle lakini nataka kubadilisha operating system iwe ya android maana hii gougle ipo limited sana kuliko android. Nimejaribu ku root na pc ya samsung lakini bado. Je, naweza kuroot hiyo operating system
  6. JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kutengeneza Android App bure

    Karibu tena jamaniina leo nakuleteya kitu ambacho ulikuwa unatamani ukifanye alafu unashiindwa.. kuna wakati unahitaji sana kutengeneza Android Application lakini haujui kuhusu lugha inayotumika kutengeneza hizo Android Application yaani JAVA au Python na jinsi ya kutengeneza mpaka ikamilike...
  7. JamiiForums Tanzania Misaada: jinsi ya ku update software ya simu (redmi note ten)

    Nimejaribu kwa muda mrefu lakini imebaki kwenye 0% Mwanzo inataka nitumie WiFi
  8. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuseti muda wa kutumia application fulani kwenye simu yako kuepuka addiction

    Hii inasaidia sana kuwa productive na kuweza kufocus na mambo muhimu badala ya kukesha instagram au ukicheza candy crush saga. Ingia settings bofya screen time turn on screen time kama hujawasha bofya App limits bofya add limits chagua application yako kisha set muda wako unaotaka utumie hiyo...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Wanajua jamani jinsi ya kublock msg za whasap group

    Habari wataalam nifafanue kidogo ni kwamba kuna wakati huwa nalifuta faili la whasap kisha nalirudisha. Sasa hapo ndio huwa shughuli inaanza au tuseme vita ya kiev na moscow inapoanza meseji zinaingia kama upupu.Sasa kuna utaalamu hapo wa kuzizuia hizo msg zisiingie? Karibuni.
  10. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu jinsi ya kuagiza bidhaa Amazon

    Msaada ndugu zangu naomba mnipe procedure za kuagiza bidhaa kwa kutumia Amazon. Wana free delivery au?
  11. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufaulu Kidato cha Tano

    Habarini natarajia kuingia form five PCB combination so nilikua nataka kujua tips za kuweza kufaulu na mwenye ushauri anaweza kunipa.
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kukokotoa Ongezeko la Asilimia Mshahara!

    Nimeona wengi wanauliza nikaona nianzishe uzi labda kusaidia, ni hivi chukua asilimia ya kilichoongezwa mf. 28% gawanya kwa 100 yaani 28:100 halafu zidisha na Mshahara wako, yaani 0.28*(mshahar wako kabla ya kodi)= halafu jibu lake jumlisha tena na Mshahara wako, jibu lake ndiyo kiwango...
  13. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza blog au tovuti

    Hamjambo marafiki, natumain mji wazima Leo hii nineamua kuchukua fursa hii kutoa mwingozo kiaina kwa yeyote ambaye anavutiwa na wazo la kumiliki blog. Blog Ni nini ... Blog Ni kurasa za taarifa mbali mbali zeny kufuata kundi au aina ya taarifa, yaweza kuwa michezo,muziki,chakula nk Mfano wa blog...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa jinsi ya kurekebisha taarifa za maombi ya kazi za sensa

    wanabodi salaam. Naomba msaada kwa anayejua jinsi ya kurekebisha taarifa kwenye form ya maombi ya kazi za sensa,,, mistake imefanyika kwenye email account hivyo pasword and username sijapata.. Naomba kwa anayejua anisaidie plz Sorry kama utaboreka lakini nisaidiwe jamani
  15. I

    JamiiForums Tanzania Miti gani inafaa kupandwa kwenye makazi yaani nyumbani?

    Nielezee na jinsi ya kuipanda ikiwezekana tafadhali
  16. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kusogeza kitu bila kushika

    ninatamani sana kuweza kufanya hili jambo maana kuna video ya megician mmoja anasogeza vitu bila kushika nani atanisaidia Bado na search tutorial youtube
  17. JamiiForums Tanzania Naomba Msaada jinsi ya kuwa mjanja ushamba umenizidia.

    Mimi BabaMorgan ni mshamba licha ya kuwa nimezaliwa jijini(Amana Hospital-Ilala) huko Dar es salaam ila kwa sasa naishi huku kaskazini magharibi ushamba wangu unaanzia kwenye lafudhi licha ya kuzaliwa Dar es salaam kitu cha kustaajabisha nina lafudhi ya kisukuma na ulimi mzito kiasi kwamba...
  18. JamiiForums Tanzania Masada, Tatizo la Yellow Light of Death (YLOD) kwenye PS3, Chanzo na Jinsi ya Kuliondoa

    Wakuu Kwema? Ps3 yangu ina tatizo la kuwaka na kuzima hapo hapo, ambapo wenyewe wanaita "Yellow light of Death". Iliwahi kutokea mara ya kwanza mwezi November last year nikapeleka kwa jamaa flan hivi pale Machinga Complex wakachukua 50k kuliondoa. Sasa imetokea tena. Kuna mwenye kujua hii...
  19. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujiandaa pale mwenza wako apatapo Mimba Kwa Vijana Masikini; ili Kupunguza Ugumu siku ya kujifungua na uzazi!

    JINSI YA KUJIANDAA PALE MWENZA WAKO ANAPOPATA MIMBA KWA VIJANA MASIKINI ILI KUPUNGUZA HALI NGUMU WAKATI WA KUJIFUNGUA NA UZAZI na MALEZI KWA MIAKA 10 Anaandika, Robert Heriel. Andiko hili lawafaa Sana Vijana wa Aina zote hasahasa Vijana Masikini. Andiko hili halitamuumiza yeyote, hivyo mtu...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Serikali iangalie utaratibu mzuri jinsi ya kuwafidia Wakandarasi

    Wakandarasi wengi wa Tanroads na Tarura walipewa kazi kabla bei za vifaa vya ujenzi na mafuta kupanda. Ieleweke kuwa asilimia kubwa ya vifaa vinavyotumika katika ujenzi vimepanda bei kwa asilimia kubwa na bei iliyofikiwa kati ya Wakandarasi kwa sasa ni ya chini sana na kazi wanazofanya kwa sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…