Jinsi ya kuongeza manii

NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

JF-Expert Member
Oct 29, 2019
8,512
17,417
Wakuu,

Fanyeni hivi:
  • Chukua ndizi Saba au nane zilizoiva kabisa.
  • Zioshe kwanza kwa maji Safi.
  • Menya (toa maganda) halafu hayo maganda weka kwenye sufuria Safi,weka maji kwenye sufuria kama lita Moja hivi!
  • Chemsha mchanganyiko wa maji na maganda hadi uchemke kama chai Hadi maji yabadili rangi na kuwa kama njano hivi!!
  • Ipua mchanganyiko wako na uache upoe KWA dakika kadhaa uwe vugu vugu kunywa nusulita ya mchanganyiko huo wakati wa jioni Baada ya kula na kesho asubuhi Baada ya kuswaki.
Matokeo utapata ndani ya muda mfupi Sana!!! Sio kwamba utapiga bao zito tu bali uta titrate kabisa! Kama ni mwanamke uta squirt yaruke Hadi sebuleni!!

Jaribu unipe mrejesho

Asanteni kwa kusoma
 
Inaongeza kwa muda gani?
Acha huu ujinga wa huyu mtu, sasa kitaalamu maganda ya ndizi yanachangia nn kwenye manii? Mtalishwa mpaka mavi.

Ishu kubwa kwenye manii au via vya uzazi ni vyakula vya protini, kula vyakula vya protini vya kutosha. Manii hutengenezwa na protini zaidi. Mfano wa chakula hicho ni samaki, huoni watu wa visiwani au pwani wengi ngono ni shughuli.

Ukifanya tafiti za kisayansi utapata majibu halisi yenye sababu kuntu. Mtakuja lishwa visivyoliwa.
 
Back
Top Bottom