jinsi ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mcqueenen

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kushawishi watu

    Hello , Leo tuongelee mbinu za kushawishi watu. Hizi nlizisomaga kwny kitabu fulan miaka imepita..Lakini zimenisaidia sana kwa kujua au kutokujua. Nakuomba nishee na wewe pia. Ushawishi huu unaweza kuutumia popote iwe ni mahusiano ya kawaida, mapenzi, kazini, biashara, urafiki nk. Yani...
  2. Ibrahimeliza

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutafuta eneo (location) kwaajili ya biashara

    Watu wengi tushawahi kuwauliza watu eneo kwaajili ya kufanyia biashara fulani, yaani baada ya kupata wazo unalitekelezea wapi...?? Njia rahisi ya kupata eneo sahihi kwaajili ya biashara yako ni WAZO. Ndiyo wazo lako linathamani gani..?? Ukishakuwa nawazo fikiria wazo hilo au biashara hiyo...
  3. Mcqueenen

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutongoza mwanamke msiyejuana (Barabarani, kwenye daladala au popote)

    Wakuu vipi? Baada ya kusoma Points za huyu jamaa hapa https://www.jamiiforums.com/threads/shuleni-inabidi-waanze-kutoa-somo-la-namna-ya-kutongoza-ubakaji-na-ulawiti-kwa-watoto-wadogo-vimezidi.1989067/ Na baada ya kuona Malalamiko kama haya...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata mtaji katika forex kwa begginer

    Wakuu FOREX &STOCK TRADING ni biashara yenye hasara na faida kubwa yenye kuhiataji umakini ,na maarifa katika uwekezaji wake, Trading hack Maximum deposit 50$ Broker Deriv Instrument -Volatility 75(1s) Target per day profit 8$ Lot size maximum to be used 0.005 four possition, or...
  5. Mcqueenen

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza lean

    Niaje wakuu. Nilikuwa naumwa mafua sasa nikanunua zile dawa za maji. Nimepiga kifuniko kimoja tu nikapona. Sasa nkawa nawaza kuliko kutupa hii dawa kwanini nisiinywe kama kilevi/Lean? Kwa wanaojua kutengeneza lean (Lean manufacturing) naombeni maelekezo.
  6. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutunza afya ya Figo

    Figo hufanya kazi ya kuchuja damu kwa kuondoa maji na uchafu. Aidha, hufanya kazi za kuweka uwiano sawa wa tindikali na alkali za damu, kutengeneza sukari kwenye nyakati ambazo mwili wa binadamu huwa na upungufu mkubwa wa sukari, kudhibiti shinikizo la damu pamoja na kuzalisha vichocheo vya...
  7. Mwl Athumani Ramadhani

    JamiiForums Tanzania UDSM Fanyeni tafiti jinsi ya kutokomeza panyaroad bila rungu wala risasi pia kutokomeza janga la ajira nchini achaneni na masuala ya uchawi!

    Nimesikitishwa Sana na chuo changu kusikia eti wanatanya tafiti kuhusu uchawi na Imani za kishirikina! Hilo ni jukumu la viongozi wa kiroho kulifanyia sio wao. Sasa hivi kuna majanga makuu matatu, Panyaroad wanaoleta sintofahamu nchini,mngekuja na tafiti jinsi ya kuhodhi nguvukazi zilizokosa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kurejesha pesa nilizotuma kimakosa (Malipo ya Serikali)

    Habari wanaJamii, leo nimetuma pesa zilizozidi kimakosa kwenda RITA; kwa maana nimetuma 30,000 badala ya 3,000, ni utaratibu upi nawezafanya kupata kiasi nilizozidisha? msaada tafadhali.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba msaada kwa anaejua jinsi ya kufungua website na kulipia domain

    Wakuu naomba msaada kwa anaejua jinsi ya kufungua website na kulipia domain. Hela ya vocha ipo
  10. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya ku-search kupitia google kwa mtindo huu?

    Habari zenu wataalam Naomba kujua jinsi yakusachi ilikupata taarifa kutoka mtandao mmoja pekee. Mfano: Nataka kusachi neno fulani tuseme "ushonaji". Matokeo nataka yatokee kutoka katika mtandao mmoja pekee. Na sii mchanganyiko mchanganyiko kama ambavyo inatokea mtu akisachi kupitia...
  11. plan z

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku unlock abilities zilizopo ndani yako

    Hiki ni kisa ambacho kitakufanya uweze ku unlock abilities(uwezo) ambao upo ndani yako. Hapa tunaona mfano wa simba mdogo ambaye amekua tangu akiwa mdogo pamoja na kundi la kondoo, hali iliyomfanya adhani yeye ni kondoo na kuishi pamoja na kula majani kama kondoo. Hali hii iliendelea hadi...
  12. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupima kiwanja/shamba kwa google earth.

    1. Kwanza unasearch mji/ mtaa au sehemu kiliko kiwanja. Labda Arusha. 2. Kisha unazoom kukipata hicho kiwanja. Labda kiwanja pembeni na uwanja wa Sheikh Amri Abeid. 3. Unaclick kwenye hiyo alama ya pili toka kulia. Iliyo kama alama ya rula. Itakuletea hako kaduara kama ka kulenga. Utakaweka...
  13. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuset autoreply kwa wanaonipigia nikiwa sipatikani

    Habari wakuu Wiki ijayo natarajia kuwa mbali na network. Naomba msaada wa kuset autoreply message ili atayenipigia, aelekezwe kutumia whatsapp call au whatsapp text. Natumia infinix smart 6 Nawasilisha Chief-Mkwawa
  14. anonymousbeing

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kufanya installation ya PS4 digital

    Naombeni msaada mtu anieleze jinsi ya kufanya bishara ya kuuza ps4 na ps5 digital games bila kujailbreak
  15. Kumar Singh

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya Kuactivate ofa ya simu iliyonunuliwa Tigo shop

    Habari wakuu. Mwezi uliopita nilinunua simu Tigo shop redmi 10 A na nikaungwa na ofa zilikua GB 5 Kwa ajili ya mwezi uliopita na muhudumu akaniambia kuwa ofa ni ya mwaka mzima na kila mwezi nitakua napata GB kadhaa sasa Leo ni tarehe 1 ila Naona patupu. Naomba msaada Kwa anejua jinsi ya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kutumia logo remover

    Naombeni msaada jinsi ya kuondoa logo kwenye video, nilijaribu kutumia logo remover lkn bado sielewi vizuri. Msaada kwa wataalamu jamani
  17. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Shule aliyopelekwa Polepole ilimfundisha jinsi ya kucheka kama Balozi?

    Ninaweza nisieleweke, ila kimsingi tangu Mh. Polepole ateuliwe na aripoti ubalozini nchini Malawi Kuna jinsi anacheka kwa kweli, mpaka ukimwona kwenye picha unashindwa kuelewa mbona anacheka kicheko cha hela yote? Saa nyingine picha anazotupia kwenye mtandao hazioneshi content ya kumfanya...
  18. Innocent Ngaoh

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi ya kuboresha uhusiano wako na watu wanaokuzunguka kwenye jamii yako

    Mtaji mkubwa wa mtu ni watu kwa maana hiyo unahitaji kuwa na ujuzi wa kuishi vizuri na watu “Interpersonal skill” pasipo kujali upo wapi na unafanya nini; lakini kupitia makala hii utaenda kuwa mtu mwenye kuishi vizuri na watu na kufanya watu kuvutiwa na uwepo wako kwenye jamii yako, na amini...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Nchi za Magharibi zinapaswa kujifunza kutoka China jinsi ya kushirikiana na nchi za Afrika

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken hivi karibuni aliahidi kwamba Marekani inapanga kutumia dola bilioni 200 kati ya mpango wa miundombinu wa dola bilioni 600 uliotangazwa hapo awali na G7 kupambana na "nafasi ya uongozi ya China barani Afrika na nchi nyingine maskini." Mwezi...
  20. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Nini kitaleta bahati nzuri au jinsi ya kujua nambari yako ya bahati?

    Tangu nyakati za zamani, watu wametumia uchawi wa nambari. Wanasaikolojia wanasema kwamba kwa kila mtu Duniani kuna ishara ya kichawi ya nambari. Nambari zitakusaidia kupata utajiri, kuwa na mafanikio zaidi na kuvutia. Kwa tarehe ya kuzaliwa Tatu - furaha kwa mtu aliyezaliwa siku hii. 1 -...
Back
Top Bottom